Asilimia zaidi ya 99.9 ya wanaishi Zanzibar ni waislamu.Na tamaduni zote za kizanzibar zinaendana na uislam kuanzia mavazi,chakula,misiba,harusi,maongezi,elimu,malezi Hata kazi.n.k.
Wasio waislam ni chini ya asilimia moja maana Kuna makanisa na wengi ni wahamiaji,kikazi au kuolewa au biashara,na ndiyo maana maana Zanzibar swala tano mfanyakazi anaruhusiwa kuswalia kazini bila shida.muda wa swala ukifika anaenda eneo lake anaswali then anarudi kazini.
Hairuhusiwi kula chochote hadharani wakati wa Ramadhani,lakini usiye muislam unaweza kupika kwako na kula lakini Si hadharani.
Wanaruhusiwa kula wale wasiweza kufunga tu.wala Dukani huwezi kuuziwa soda
Hata sikukuu ya Idd kwa Zanzibar ni siku 4 siku 2 za kwanza hatuendi kazini then 2 zilizobaki kazi nusu siku.