Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

Status
Not open for further replies.
Kuna mambo ya muungano na yasiyo na muungano hivo hilo ni sawa kwa mujibu wa taratibu zao kwavile halipo katika orodha ya maswala ya muungano
 
Tanzania Kuna Vituko Vingi Sana, Pia Elewa Suala La Mila Na Desturi Zetu Zilivyo,si Mbaya Kuwaunga Mkono Wenzetu Wakati Wa Funga Yao
 
Mimi tutapigana aisee...Hela nitafute mimi na kula mnipangie... BTW nchi hii haina dini hata kama kule ZNZ asilimia 90 ni waislamu ili mradi sijakashifu dini yake wala sijampa maudhi aliyefunga
kula hadharani bado hujampa maudhi !? ...wacha kujichanganya !
 
Cha msingi mnapiga kutwa mara 3 ila mmeiproject kwenda usiku!
Sasa mimi nawaambia,msosi natandika kama kawaida,anibughudhi mtu aone cha moto!

Kama wewe unajiamini tafadhali karibu Zanzibar uje ujilie hadharani (mbele za watu) mchana katika mwezi mtukufu wa ramadhani.
 
Kwaresma mnashindwa hata kufunga kwa saa 6 tu, funga isiyo na utaratibu maalum kila mtu na tafsiri yake !

Mtu saa 10 unaamka kushindilia msosi,kwann ushindwe kukaa kutwa bila kula ukisubiri saa moja upige,kikishuka saa 5 upige,halafu unaweka alarm saa 10 alfajiri unashindilia tena
 
Kama wewe unajiamini tafadhali karibu Zanzibar uje ujilie hadharani (mbele za watu) mchana katika mwezi mtukufu wa ramadhani.
Kiufupi utaratibu wangu wa maisha haubadiliki,kama nilikuwa nakula mgahawani nitaenda kula huko!Kama nilikuwa nakula kibarazani nitakula hapo,siwezi fanyishwa ibada kwa lazima,ebo!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom