Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

Status
Not open for further replies.
Kwa maneno haya pindi uisilamu unapohusishwa na ugaidi huwa mnakasirika nini?
Mwakajembe kama kuna mtu anahusisha uislam na ugaidi wala sio tatizo huo utakuwa ni mtazamo wake binafi.
Lakini kama na ww umo ktk hao basi mm nataka kukuambia uislam sio mtu sio taasisi wala taifa UISLAM NI QURAAN.
Kama wako waislam magaidi huo ni wakwao binafsi ingawa mm sijui maana ya ugaidi mpaka umri huu nilio nao.
Na kuhusu tangazo la SMZ la kukataza kula hadhari mwezi mtukufu wa ramadhani ni tangazo la SMZ sio tangazo la waislam wa znz.
Nafikiri kama waislam wa znz wengekuwa na uwezo wa kukataza mambo yanayoenda kinyume na uislam wasinge ishia kukataza kula mchana hadharani tu mwezi wa ramadhani wangeenda mbali zaidi na wangetumia fursa hiyo kukata kila aina ya uchafu unaomghadhibisha allah muumba ardhi na mbingu na vilivyomo.
Znz kuna mambo mengi yanayo fanyika yaliyo katazwa na allah tusifanye na naamini waislam wa znz wanatamani wapate fursa na yenyewe yakatazwe lakini hawana uwezo wa kufanya hivyo.
kwahiyo ww usipate taabu na waislam wala uislam hili ni katazo la SMZ serikali halalali iliyochaguliwa na wananchi ww lia na SMZ tu sisi waislam hatuna shida na mtu yeyote anae kula mchana anae lewa anae zini huo ni uwamuzi wake mm nipo Dsm umri wangu wote na nafunga miaka yote na napisha na watu wanakula wanalewa wanatembea uchi lakini sijawahi hata kukasirika.
Kila mtu atabeba msalaba wake huu nimsemo maarufu nadhani unaujua.
 
Kwani nyie mnafunga au mnafanya utani !.? ati kuacha kunywa bia pia ni kufunga badala yake unywe soda !
Ninyi mnaojiita mnafunga kumbe ni maigizo tu,badala yake mmebadili ratiba ya kula tu!Yaani usiku mmeufanya kuwa mchana,mtu anakula futari saa 1,saa 5 anapiga daku,saa 10 anaiga kitu kizito!Yaani kutwa mara 3 iko pale pale,sema ratiba inabadilika na kuwa usiku!
 
Kafiri wewe!
 
Kwa hiyo siku hizi tunapaswa kuvaa kiafrika??? Tuwekewe vazi la taifa basi, tujitwike kaniki zetu au vitenge au kanga au batiki au bazee.
Acha kutetea upuuzi

Mimi ni muislamu lakini hiyo napinga kwa 100% hiyo sheria yao
 
Ngoma ya kiislam mnataka hata wapagani waicheze?? Ajabu sana hii
Sio ajabu ww ukienda ugenini yakupasa ufuate masharti ya mwenyeji wako sio ww upange yako. Sasa ujiulizi why Zanzibr tu isiwe Moshi,Arusha,Iringa,Au Mbea. Hizo ni sheria tulizo jiekea watu wa pwani ukija basi yakupasa kuzifuata .
 
Ni utaratibu tu..afu nchi hizi udini hakuna we we kuambiwa waanza lalama...ni sheria tu..usipanic wala ucjipe stress...
Msituletee mambo ya udini hapa,kuna sheria gani inanibana nisile ntakakavyo?.Jinsi Hii inchi ilivyo na figisi na ingekuwa tena nchi ya serikali ya kidini tungeshuhudia ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.
Jibu kwa fact
 
Ninyi mnaojiita mnafunga kumbe ni maigizo tu,badala yake mmebadili ratiba ya kula tu!Yaani usiku mmeufanya kuwa mchana,mtu anakula futari saa 1,saa 5 anapiga daku,saa 10 anaiga kitu kizito!Yaani kutwa mara 3 iko pale pale,sema ratiba inabadilika na kuwa usiku!

Kwa akili hizi ndio maana Mh. Makonda anataka kuwachapa viboko.

Wakati wa mchana mtu kajizuia na kula, kunywa huku anahisi njaa na kiu na bado anafanya shughuli zake za kumpatia riziki halafu ulinganishe na wakati wa usiku ambao muda mwingi unapiga mbonji kitandani, hii ni hatari.
 
Cha msingi mnapiga kutwa mara 3 ila mmeiproject kwenda usiku!
Sasa mimi nawaambia,msosi natandika kama kawaida,anibughudhi mtu aone cha moto!
 
Christians wanafanya nini huko? Siwezi ishi nchi kama hiyo?
 
Watu kibao huwa wanagonga misosi vizuri tu ndani mwao. Hii ya kufunga Hotels mchana ni changa la macho na sanasana kuwatesa waksristu, wageni na waislamu wagonjwa ambao hali yao ya afya haiwaruhusu kufunga
When you go Rome do as Romans!! unless... 😀😀😀
 
Sijaona hoja yako bado,tambua kuwa somalia hakuna kanisa wala parokia ndiko amani haipo zaidi hakuna jeshi linaloongoza duniani kwa kusali kama la somalia ila ndiko vifo vya watu vimejaa.Angalia nigeria bokoharamu wanavyosumbua ni nchi ya kiislamu wameteka na kufila watoto hadi wamewazalisha bila kulipa hata mahali kisa dini.
Robo tatu ya wakimbizi duniani ni waislamu sasa huyo Mungu mnayemwabudu yuko likizo hadi asiwajibu?.Uislamu ni amani,uislamu ni upendo uislamu ni baraka iweje mkose vitu hivyo wakati nyinyi ni waislamu?.
Lini mliwaona wakristo wakikimbilia nchi za kiarabu kutafuta amani.
Tumepewa uhuru wa kuishi popote lakini kwa amani.Watumwa wote wa kiume waliopelekwa ulaya wamezaliana wana watoto lakini waliopelekwa nchi za kiislamu uarabuni waliishia kuhasiwa kama ngombe na kufilwa na wamekufa na uzazi wao.Mna matukio machafu yasiyoelezeka.Hapo ulipo ukienda uarabuni utaukuta msikiti wa watu weusi pekee na wa waarabu pekee.
Hata hapa Tanzania kuna misikiti mtu mweusi hawezi kuswali.
Ubaguzi misikitini ukiisha na kauli hizi nazo zitakufa.
Ndio maana serikali ya Tanzania ilishaona, siku nyingi kama Zanzibar ingekuwa imepewa mamlaka kama nchi kungekuwa na machafuko sana. Ndio maana kule ni Jwtz mwanzo mwisho. Haya mambo madogo madogo tunayakaushia, lakini upuuzi upuuzi mwingine ni kichapo tuuu. Hakuna jinsi mzanzibar bila kiboko haendi
 
Kafiri wewe!
Kafiri maana yake nini?Mi nasikia tu jamii ya kiisalmu wanatumia huo msemo ila mimi siutambui!
Mimi nilishawaambia ndugu na jamaa wanaonitembelea,wakikuta kitoweo nyumba cha kuku wasile maana nachinja mwenyewe!Sina huo muda wa kipuuzi eti nimtafute abdallah kisa jina ndio achinje,sinaga hizo!Hutaki kula unaacha,ila wengi wanakula tu!
 
Ndio maana serikali ya Tanzania ilishaona, siku nyingi kama Zanzibar ingekuwa imepewa mamlaka kama nchi kungekuwa na machafuko sana. Ndio maana kule ni Jwtz mwanzo mwisho. Haya mambo madogo madogo tunayakaushia, lakini upuuzi upuuzi mwingine ni kichapo tuuu. Hakuna jinsi mzanzibar bila kiboko haendi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] umetisha,mbavu zangu mie.
 
Hiyo kwaresma wakristo hawaiheshimu afu unataka Muislam aiheshimu akili zako ziko sawa wewe?
Kma umefnga Kwa iman hat watu jiran zako wale nini haitakutingisha funga yko...wanaotaka watu wasile njiani au hadharan hawajiamini...wanahisi watakuja fungulia Kwa tamaa
 
Cha msingi mnapiga kutwa mara 3 ila mmeiproject kwenda usiku!
Sasa mimi nawaambia,msosi natandika kama kawaida,anibughudhi mtu aone cha moto!
Huo mkwara utaishia humu humu JF !
 
90% watanganyika ni wakristo ila ua hatuwapangii hawa ndugu zetu kwakuwaheshimu. 90% zanzibar waislam.. Ila wanazarau zile 10%ambazo ua tunaziheshimu sisi.. Basi itabid tuwaletee waislam wao na wao watuletee wakristo wetu... Iii kitu mwalimu hakuitizama vizur
 
Mkuu visasi havina faida yoyote. Na vitabu vya dini vinatutaka tuwe wanyenyekevu na watu wa kujishusha. Tit for tat huongeza uadui badala ya kuupunguza.
 
Sio ajabu ww ukienda ugenini yakupasa ufuate masharti ya mwenyeji wako sio ww upange yako. Sasa ujiulizi why Zanzibr tu isiwe Moshi,Arusha,Iringa,Au Mbea. Hizo ni sheria tulizo jiekea watu wa pwani ukija basi yakupasa kuzifuata .
Mfano wako ni sahihi ila je, Kwani Zanzibar ni nchi ya kiislamu mpaka nifuate masharti?

Mbona mikoa ya Lindi na Mtwara, waislam ni Wengi lakini hakuna masharti hayo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom