Zanzibar wanatoa wapi pesa za kujenga viwanja vya michezo bila kukopa?

Zanzibar wanatoa wapi pesa za kujenga viwanja vya michezo bila kukopa?

Gentleman,
ni muhimu zaidi kulipa kodi bila shuruti kwa maendeleo ya nchi yetu na si vinginevyo. Dosari na changamoto ndogondogo zilizopo, ni muhimu kuzifanya kua fursa ya kukusanya mapato mengi na makubwa zaidi ili hatimae taifa kujitegemea kufadhili miradi ya maendeleo bila kutegemea wahisani:NoGodNo:
Tunaolipa kodi ni wachache ila wanaozitumia kwa kuiba ni wengi sana aisee..
Naamini hii kodi tunayolipa ingekua inafanya kazi stahiki tungekua mbali sana sema Majambazi yapo mengi mno nachoshangaa TRA wanaishia kutangaza kuvunja rekodi huku majambazi nayo yakiwa karibu kuiba sio mantiki ya TRA kukitangaza huku mbele hakuna kitu cha maana kinachofanyika.
 
Mmeyataka wenyewe, acha Zanzibar iendelee kuwanyonya mpaka mpate akili.
Kukubali kutawaliwa na jambazi la kike kutoka Zanzibar hayo ndiyo matokeo yake, jambazi linapora waziwazi huku chawa wa Kitanganyika wasivyojitambua wanaendelea kulishangilia.
Huo ujambazi umekuwa ukifanyika pengine kabla hata hujazaliwa, tulia waache watu wafanye kazi.
 
Tanganyika ni kapu la mjinga,wanajichotea tu wanapeleka upande wa pili.

Hata lile deni la umeme lisilolipika la ZECO tumeambiwa et TANESCO imelipwa awamu hii.

Fuatilia na skuli zinazoporomoahwa kule visiwani ni ghorofa za kibabe hlf linganisha na shule za secondary za wasichana huku kwenu zinazijengwa kila mkoa ni mabanda ya chini tu.
 
Wewe ndiye mjinga, usiyejua wajenzi wamejipanga vipi unakuja humu kupinga kila kinachofanywa na serikali.

Bajeti yao ilishatengwa miaka iliyopitwa msidanganywe na uongo wa instagram.
Kama kwa umri ulionao unashindwa kutambua hadi sasa kuwa SAMUYA HANA AKILI.... NANI MUHALIFU MKUBWA SANA NA FAMILIA YAKE YOTE ...BASI WEWE UNA SHIDA YA UANITHI WA AKILI.
 
viwanja vya michezo Zanzibar na Bara vitajengwa na serikali husika kwa fedha za ndani, na ikibidi pia fedha za nje pia zitatumika kwa kazi hizo muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya michezo nchini.

hata hivyo,
ni vyema kwa viongozi kujiepusha na vitendo vya rushwa, lakini pia wananchi kujiepusha na ukwepaji kodi wa makusudi na kuikosesha serikali mapato ya kukamilisha miradi ya maendeleo. Muhimu zaidi kama taifa hatuna budi kwa pamoja kudumisha umoja, amani na mshikamano ili kuipa nafasi serikali kutekeleza na kukamilisha majukumu hayo muhimu kwa wakati na kwa maslahi mapana ya wananchi wote.

Fedha za kufadhili miradi ya maendeleo Tanzania zipo za kutosha ikiwa sote tutaungana kuipiga vita rushwa na kujiepusha na ukwepaji kodi wa makusudi.
Zanzibar na Jamuhuri ya muungano hazihitaji misaada ya nje tukiungana katika kuyadhibiti hayo hapo juu :1Head:
Siasa.

Naibu waziri wa mambo ya nje alisema wamewaomba wachina watusaidie kujenga, kati yako na yeye nani anasema ukweli.

Kuhusu kodi nani anakwepa kodi, TRA wamesema hawajawahi kukusanya kodi kama kipindi hiki. Sasa tatizo liko wapi narudia tena tunafeli wapi.
 
Tunaolipa kodi ni wachache ila wanaozitumia kwa kuiba ni wengi sana aisee..
Naamini hii kodi tunayolipa ingekua inafanya kazi stahiki tungekua mbali sana sema Majambazi yapo mengi mno nachoshangaa TRA wanaishia kutangaza kuvunja rekodi huku majambazi nayo yakiwa karibu kuiba sio mantiki ya TRA kukitangaza huku mbele hakuna kitu cha maana kinachofanyika.
Gentleman,
Changamoto ya upotevu wa mapato kwenye makusanyo na hatimae katika matumizi mabaya ya makusanyo hayo na rushwa ni mtambuka karibu katika mataifa yote ulimwenguni. Hata hivyo, katika africa mashariki Tanzania tunafanya vizuri sana katika kukusanya mapato na kudhibiti rushwa licha ya kwamba changamoto bado ipo katika maeneo machache.

Rai yangu kama mtanzania na kiongozi wa wananchi, ni kwamba ndugu zangu tufanye kazi halali na tulipe kodi stahiki bila kukwepa kwa mustakabali wa maendeleo ya taifa letu.
Tuungane kupiga vita rushwa :1Head:
 
Tuungane kupiga vita rushwa
Msigwa na Mwinjuma wamekula sana 10% hasa kwenye ukarabati wa uwanja wa Mkapa kila mwaka tens of billions zinatumika kwenye ukarabati usioisha.
 
Mmeyataka wenyewe, acha Zanzibar iendelee kuwanyonya mpaka mpate akili.
Kukubali kutawaliwa na jambazi la kike kutoka Zanzibar hayo ndiyo matokeo yake, jambazi linapora waziwazi huku chawa wa Kitanganyika wasivyojitambua wanaendelea kulishangilia.
Wa kulaumiwa ni Mabeyo na Mkunda, we as common citizens we played our part.
 
Siasa.

Naibu waziri wa mambo ya nje alisema wamewaomba wachina watusaidie kujenga, kati yako na yeye nani anasema ukweli.

Kuhusu kodi nani anakwepa kodi, TRA wamesema hawajawahi kukusanya kodi kama kipindi hiki. Sasa tatizo liko wapi narudia tena tunafeli wapi.
Gentleman,
huenda hukumuelewa ipasavyo,
hata hivyo, China huwa haisaidii bila faida, ina fact hua inakopesha tu. Daima haiwezi kukufanyia jambo bila yenyewe kupata faida zaidi.

kuhusu kodi,
bado kama taifa tuna changamoto kubwa mno ya ukwepaji kodi licha ya kwamba tunaendelea kupiga hatua kubwa zaidi katika ukusanyaji mapato ya kodi na kuongeza idadi ya walipa kodi kwa hiyari nchini.
Tupo pazuri na tunaelekea pazuri zaidi kimapato kama Taifa :NoGodNo:
 
viwanja vya michezo Zanzibar na Bara vitajengwa na serikali husika kwa fedha za ndani, na ikibidi pia fedha za nje pia zitatumika kwa kazi hizo muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya michezo nchini.

hata hivyo,
ni vyema kwa viongozi kujiepusha na vitendo vya rushwa, lakini pia wananchi kujiepusha na ukwepaji kodi wa makusudi na kuikosesha serikali mapato ya kukamilisha miradi ya maendeleo. Muhimu zaidi kama taifa hatuna budi kwa pamoja kudumisha umoja, amani na mshikamano ili kuipa nafasi serikali kutekeleza na kukamilisha majukumu hayo muhimu kwa wakati na kwa maslahi mapana ya wananchi wote.

Fedha za kufadhili miradi ya maendeleo Tanzania zipo za kutosha ikiwa sote tutaungana kuipiga vita rushwa na kujiepusha na ukwepaji kodi wa makusudi.
Zanzibar na Jamuhuri ya muungano hazihitaji misaada ya nje tukiungana katika kuyadhibiti hayo hapo juu :1Head:
Serikali haramu huzaa matendo haramu. Msitegemee Baraka kwenye matendo yenu.
 
Back
Top Bottom