viwanja vya michezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mzee Philip Mangula: Viwanja vya Michezo ni mali ya CCM

    "Mwenye Ku- mobilize alikuwa ni Chama cha Mapinduzi CCM. Wakati huo tunajenga CCM Kirumba, Mwanza nilikuwa wilaya ya Kwimba. "Tuligawana kila wilaya itafute wadau na Chama kitafute watu kwa ajili ya ujenzi. Tulianza kuchangia. Tulifanya kampeni tulizunguka wilaya nzima. Watu walichangia...
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania Responded Wizara ya Michezo na TAMISEMI wako wapi wakati viwanja vya michezo na maeneo ya kijamii vikiendelea kubadilishiwa matumizi?

    Kuna mambo ya kusikitisha, na mengine yanayoumiza. Ni matukio yanayokufanya ujiulize maswali mengi bila kupata majibu hasa ukiwaza mwelekeo kesho kwenye mambo muhimu yanayogusa ustawi wa jamii. Mnamo Agosti 12, 2024, aliyekuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro, alifika...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wanatoa wapi pesa za kujenga viwanja vya michezo bila kukopa?

    Kwa muda mfupi Zanzibar imeweza kukarabati Amani stadium kwa viwango vya FIFA, imejenga kiwanja kipya cha Gombani, Tanganyika yenye watu 60m tumeshindwa kumalizia kiwanja kimoja cha Arusha hadi tuombe mkopo. Tanzania ni mwenyeji wa AFCON 2027, kiwanja tunachokitegemea ni Benjamin Mkapa nacho...
  4. T

    JamiiForums Tanzania David Kafulila kwanini ujenzi wa viwanja vya michezo nchini haufaniki kwa ushirikiano na sekta binafsi?

    Habari Ndugu Kafulila, Naomba unisaidie kufahamu, ni kwa nini ujenzi wa viwanja vya michezo ukianza na ule wa Arusha na sasa huu wa Dodoma haufanyiki kwa PPP? Michezo ni biashara na hivyo sekta binafsi inapaswa kujenga miundo mbinu ikiwemo viwanja vya michezo na kuviendesha kibiashara, mbona...
Back
Top Bottom