Kwa muda mfupi Zanzibar imeweza kukarabati Amani stadium kwa viwango vya FIFA, imejenga kiwanja kipya cha Gombani, Tanganyika yenye watu 60m tumeshindwa kumalizia kiwanja kimoja cha Arusha hadi tuombe mkopo.
Tanzania ni mwenyeji wa AFCON 2027, kiwanja tunachokitegemea ni Benjamin Mkapa nacho kila siku kipo kwenye marekebisho. Kiwanja cha Arusha tuliambiwa (kisiasa) kipo kwenye finishing touches, nimekuja kukiona kumbe ni skeleton tupu.
Tuna-feli wapi.
New Amani Complex
Gombani Stadium
Arusha Complex