3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,885
Huyo kiongozi ameona kula hadharani tu.
Kwa nini asifunge nyumba zote za kulala wageni.. Kila mtu alale kwake mwezi huu mtukufu.
Sababu naona amejitoa kuzuia dhambi na chakula kwa pesa ya mtu au utafutaji napo sheria.. Utafikiri wanauzia relini au kula juu ya msikiti.
Daah tutafika tu