Zanzibar: Ole wao watakaouza vyakula mchana

Zanzibar: Ole wao watakaouza vyakula mchana

Status
Not open for further replies.
Mkuu Nazungumzia Watanzania wanaoishi Zanzibar,unataka kuniambia hakuna wakristo huko Zanzibar?

Wakristo wapo ni wageni wote sio wazanzibar wazawa. Hakuna Mzanzibar mkristo mwenye asili ya uzanzibar. Ambae anaishi zanzibar. Kwaiyo wageni na wenyeji wanatakiwa kutii sheria iliyopo kwenye nchi. Tii sheria bila shuruti
 
Judging at your comments inaonesha ninachat na kitoto ambacho kilikuwa facebook,kimekuja Jamii Forum na kutafuta kiki za kipumbavu kupitia mwamvuli wa dini kiki ambayo mpaka sasa naona inaeleka kaburini.Huna jipya jipange upya
Mkuu Huo ndio ukweli, nyie mmebadili tu ratiba za kula usiku badala ya mchana then mnadai mmefunga

Hakuna kitu kama hicho, ni upuuzi tu
 
Sijaelewa viwanda vya teknolojia ya juu vina uhusiano gani na katazo la kutouza vyakula mchana huko visiwani.

Naongelea mfumo wa kufiriki( rational thinking) . Kama mtu anaona ni sawa kukataza watu kula kipindi hicho kwa mfumo huo huo wa kufikiri hawezi kuzindua na kuendesha viwanda vya kiteknolojia vinavyohitaji rational thinking
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom