mkali kwanza
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 1,301
- 1,186
Kama unataka kula kale kwenu kwani huna kwako? Mnafikiri mnaweza kuleta mazoea ya kijinga katika jamii za watu kama mtemi kweli nenda kavimbiane na mamlaka za serikali ufundishwe adabuNa ndio maana kufunga ukifung wewe, usimkataze mwingine kula, kwanini mkataze wengine wasile kwa imani isiyo wahusu? Kwani akila wewe funga yako inaathirika vipi?