Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,955
Funga yoyote ikiambatana na mambo yaha chini hiyo si funga bali ni unafiki au utamaduni wa kawaida tu;
-Kuelemea wengine, hapa unataka funga yako ilete unafuu kwako kama vile kukwepa kazi kisa umefunga. Au kufanya kazi tofauti na awali kabla ya kufunga.
-Kuhusisha funga yako wale wasiofunga. Ukifunga hupaswi kumuhusisha kwa namna yotote ile mtu asiyefunga.
-Mbiu/matangazo, funga haipaswi kunadiwa kama samaki feri. Ukifunga unajinasibu mara eehh leo kiu(Swaumu) kali mara yaumi (njaa) kali.
Kuwakataza watu wasile kisa mwezi mtukufu ni uhuni na dhambi kubwa.