Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,518
- 9,807
Kama dini yenu ndo inawafundisha hivyo, nn maana ya kufunga mwezi wa Ramadan? Hivi kumfanyia mwenzio fujo au kumpiga kisa anakula adharani ndo unapata thawabu? Nn maana ya wewe kuheshimu mwenzako?Zanzibar haiwezi kuyumbishwa na wapita njia, wazanzibar wote ni waislamu waliobaki ambao si waislamu si wazanzibar. Kwanini wasiweke sheria?
Wageni lazima watii sheria bila shuruti na adhabu kali ichukuliwe kwa atakae kwenda kinyume. Kila nchi ina uhuru wake wa kujiamulia kwa maslahi ya watu wake na sio wageni.