Zanzibar: Ole wao watakaouza vyakula mchana

Zanzibar: Ole wao watakaouza vyakula mchana

Status
Not open for further replies.
Kwani mimi nikila na wewe umefunga ina kuhusu nini?? Kwani tulazimishane kufunga pasipo sababu.
Huu mfungo kamani thawabu inatafutwa basi hakuna atake pata, wewe pambana na funga yako acha mimi ni weke NGURUWE mezani. Watu wanakula usiku mzima mnasema mmefunga.
Kwaresma ikifika husiki mtu akimbugudhi mtu ila ifike hii ramadhani ni matamko tuu.
Tumewachoka sasa.
 
Kwani mimi nikila na wewe umefunga ina kuhusu nini?? Kwani tulazimishane kufunga pasipo sababu.
Huu mfungo kamani thawabu inatafutwa basi hakuna atake pata, wewe pambana na funga yako acha mimi ni weke NGURUWE mezani. Watu wanakula usiku mzima mnasema mmefunga.
Kwaresma ikifika husiki mtu akimbugudhi mtu ila ifike hii ramadhani ni matamko tuu.
Tumewachoka sasa.
hii ndio tofauti yetu na wao
ndio maana mitihan wanaishia kupata zero
 
Umeshaambiwa mgeni mgonjwa, kwao wapi sasa? Anachoweza ku-afford ni chakula mgahawani cha buku buku
alienda kwa nani?
kuna lodge zina cafteria na bei ni affordable,
Acheni kupokea maneno na kuyasambaza bila ushahidi na utafiti,

Zanzibar kipindi hiki kinachizuiliwa ni kula/kupika hadharani tu lkn haina maana kama watu hawali mchana....sio kweli.
 
Funga yoyote ikiambatana na mambo yaha chini hiyo si funga bali ni unafiki au utamaduni wa kawaida tu;
-Kuelemea wengine, hapa unataka funga yako ilete unafuu kwako kama vile kukwepa kazi kisa umefunga. Au kufanya kazi tofauti na awali kabla ya kufunga.
-Kuhusisha funga yako wale wasiofunga. Ukifunga hupaswi kumuhusisha kwa namna yotote ile mtu asiyefunga.
-Mbiu/matangazo, funga haipaswi kunadiwa kama samaki feri. Ukifunga unajinasibu mara eehh leo kiu(Swaumu) kali mara yaumi (njaa) kali.
Kuwakataza watu wasile kisa mwezi mtukufu ni uhuni na dhambi kubwa.
Huyo mshenzi anatafuta cheap publicity(kiki), ni mjinga tu kwa kweli.
 
Ila huyu jamaaa mkuu wa mkoa magharibi nimemufuatilia sana anapiga kazi japokuwa maamuzi mengine anakosea niya kiubinadamu lakini 90% anafanya vizuri huyu awamu ijayo hakosi uwaziri
 
ngoja niweke video hapa ikionyesha vijana wa kizanzibar wakimuadhibu mzee mmoja wakimwambia hapa sii bara huku wakimchapa kwa waya wa umeme
mijitu inafunga kama igizo na sio kiiman kwa hali hii n halali kupata div zero kila mwaka
Ninavyojua hawa watu hufunga kula siyo kufunga kwa ajili ya kuacha dhambi. Umefunga halafu unamchapa mtu na waya kisa amekula. Ni hatari sana
Tatizo elimu hawana. Mtu ukiendesha shule na ukawa educated huwezi kufanya upuuzi km huu.
 
Inaendeshwa kwa mila na desturi za kiislam
Tatizo lenu elimu hamna. Elimu ya madrasa wapi wapi? Ndiyo maana mnashindwa kujua nchi inaongozwa kwa misingi gani. Wapelekeni watoto wenu shule wakafundishwe. Nchi siyo ya kidini mnaendekeza udini kisa waislamu wengi. Hapo mjue hamna elimu vichwani. Ukiangalia madai ya boko haram ndiyo utajua elimu inahitajika. Bara hatuna huo upuuzi.
Mtu akikosa elimu huwa mjinga sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom