Zanzibar: Ole wao watakaouza vyakula mchana

Zanzibar: Ole wao watakaouza vyakula mchana

Status
Not open for further replies.
Usisema waliofunga sema washinda njaa na wanafki wa kubadili muda wa chakula..

Eti kufunga?? Kufunga my foot
That is according to you,yaani uzuri ni kwamba wewe hunipunguzii chochote katika mwezi huu sababu kwanza naona unapoteza muda tu kuponda sababu maneno yako ni ya kanga wala sijaona jipya. Na huo unafiki utakuwa unaujua wewe na kiongozi wako wa kidini anayekubrainwash na kukufanya uwe mjinga bila kujielewa.Kama wewe inakuuma waislam kufunga itakuuma sana mpaka upasuke
 
Mkuu wewe umefunga au umeshinda na njaa (ili ukeshe unakula usiku)
Yaani wewe na mimi nisiefunga hatutofautiani chakula tulichokula kwa masaa 24..

Mimi nimekula lunch na msosi wa usiku (sijafunga)

Wewe unaejiita umefunga unaanza kula jioni futali la nguvu na bado mida ya saa 10 unaamkia unakula tena daku...sasa hapo una tofauti gani na asiyefunga?? Au ndio unafiki wa kubadili mida ya kula badala ya mchana mnapiga usiku watu wakiwa wamelala ili msionekane.....acheni unafiki
Basi tutafunga usiku na mchana bila kula mkuu kwa mwezi mzima ili ufurahi sawa? [emoji23] [emoji23]
 
Hiyo haijakaa poa hata kidogo, kwahiyo na sisi huku bara kipindi cha kwarezima tuwe tunatangaza hakuna mtu kula ovyo hazarani mpaka kwarezima iishe, je tutakuwa tumewatendea haki ndugu zetu waislamu!???.
 
serikali ina dini siku hizi? Imani nyingine za kijinga sana. . .
Hivi na wewe unaamini kabisa serikali ya Zanzibar imezuia watu kutokula mchana? misconceptions ni kwamba watu wasile hadharani muda wa mchana wakati huu wa mfungo hasa ukizingatia jamii ya wazanzibari waislam ni zaidi ya 98%. Wapo waislam wengi tu wenye matatizo mbalimbali na wanakula mchana kama kawaida huko Zanzibar. Ila povu linalotolewa hapa sasa daaah utadhani kuna mkristo kachinjwa huko kisiwani.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Zanzibar haiwezi kuyumbishwa na wapita njia, wazanzibar wote ni waislamu waliobaki ambao si waislamu si wazanzibar. Kwanini wasiweke sheria?

Wageni lazima watii sheria bila shuruti na adhabu kali ichukuliwe kwa atakae kwenda kinyume. Kila nchi ina uhuru wake wa kujiamulia kwa maslahi ya watu wake na sio wageni.
 
Halafu ajabu wanaotoa povu ni wale ambao sio wakazi wa ZANZIBAR.sema ukuwadi tu umewajaa.ZANZIBAR wenyewe kimya ila VIDAMPA bana full makelele. Na ile ni desturi yao miaka yote ukileta UNDEZI unapata haki yako
 
Nimewaona wazungu wanatii sheria vizuri sana hawana hata chupa za maji mikononi wameziwacha hotelini, wamejifunga kanga za viuno wamependeza na wanajipongeza. Full mapicha hawaamini kama wamependeza.

Tii sheria bila shuruti
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom