Super Don
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,978
- 1,784
Mbona povu mtu wangu, sema majibu hunaWanaume tunafunga wavulana ndio mnasikia njaa. TANZANIA haiwezi kuacha kuwa na maajabu.Naona hamna hoja zaidi ya kuropokaropoka tu kama vitoto vya paka
Mbona povu mtu wangu, sema majibu hunaWanaume tunafunga wavulana ndio mnasikia njaa. TANZANIA haiwezi kuacha kuwa na maajabu.Naona hamna hoja zaidi ya kuropokaropoka tu kama vitoto vya paka
Najisikia kuandika lakini mkono unatetemeka sijui ni nini??Siwezi kushangaa sabb huko elimu hakuna. Ukicheza na mjinga atakuua ndiyo maana unaamua kumpuuza tu. Zanzibar elimu hakuna vitoto vinaenda madrasa badala ya shule sasa unategemea nini kama siyo kutengeneza makundi km ya boko haram, ISIS, Al shabab n.k
Hoja mufilisi kama hizi ndizo zinafanya vijana wa kitanzania mshindwe hata kuajiriwa sababu hamna maarifa.Wewe mwenyewe mtupu kichwani huna ujualo kuhusu elimu ya MADRASSA.Buy the way wenye akili kubwa tunafahamu makundi ya waasi duniani yana mkono wa wazungu sasa kwa JUHA kama wewe kwa kuwa hujielewi huwezi ukaelewa sababu unaendeshwa na mihemko badala ya akili.Siwezi kushangaa sabb huko elimu hakuna. Ukicheza na mjinga atakuua ndiyo maana unaamua kumpuuza tu. Zanzibar elimu hakuna vitoto vinaenda madrasa badala ya shule sasa unategemea nini kama siyo kutengeneza makundi km ya boko haram, ISIS, Al shabab n.k
Udini hautokufikisha mahala, tatizo chuki zenu ndio munatokwa na mapovu humu JF. Znz itabaki ilivyo hata ukichukia kazi bureSiwezi kushangaa sabb huko elimu hakuna. Ukicheza na mjinga atakuua ndiyo maana unaamua kumpuuza tu. Zanzibar elimu hakuna vitoto vinaenda madrasa badala ya shule sasa unategemea nini kama siyo kutengeneza makundi km ya boko haram, ISIS, Al shabab n.k
Majibu kwenye kitu gani? Ukiongea utumbo kuhusu imani yangu na wewe unastahili UTUMBO kujibiwa tu. Huna hoja. Usishindane na WANAUME utaumbukaMbona povu mtu wangu, sema majibu huna
Sijui niongezee kitu hapa au tuu nikae kimya !!??Hoja mufilisi kama hizi ndizo zinafanya vijana wa kitanzania mshindwe hata kuajiriwa sababu hamna maarifa.Wewe mwenyewe mtupu kichwani huna ujualo kuhusu elimu ya MADRASSA.Buy the way wenye akili kubwa tunafahamu makundi ya waasi duniani yana mkono wa wazungu sasa kwa **** kama wewe kwa kuwa hujielewi huwezi ukaelewa sababu unaendeshwa na mihemko badala ya akili.
We una uanaume gani? Wanaume wanafunga na wanapiga kazi kama kawa, hawajionyeshi kwa wengine kama wamefunga, na akimuona mtu anakula wala akasiriki, kwa sababu yeye kufunga kwa ajili ya mungu sio kujitangaza na kujionyesha kwa watu kama nyieMajibu kwenye kitu gani? Ukiongea utumbo kuhusu imani yangu na wewe unastahili UTUMBO kujibiwa tu. Huna hoja. Usishindane na WANAUME utaumbuka
Huna hoja nenda kacheze na wavulana wenzioSijui niongezee kitu hapa au tuu nikae kimya !!??
Ngoja nikae kimyaa kwa manufaa ya watu kama wewe.
Msikohoe na nyie sasa
Hafu hizo ajira za watu mtawalipa kwa kuwasababishia hasara kisa tuu ni mwezi mtukufu??
Hapa naona nabishana na wale wakina nanihiii.....
Ndio unataka kusema nini? Kwamba wenyeji wanaadhibiwa kwa kosa la kutokuwa waislam ila wageni wanasamehewa kwa kuwa wanaingiza pesa za kigeni? Are you listening to what ur saying dude?
Wewe una uanaume gani kukashifu imani za wengine? Aliyekwambia waislamu wanafunga kwa kujionesha nani?Tatizo lako unapenda ligi za kivulana katikati ya kundi la wanaume.Chuki yako dhidi ya UISLAM haitokusaidia na neno lako halina athari yoyote sababu sisi tuko kwenye kufunga kama kawaida kwa hiyo VIDAMPA kama nyinyi tunawategemea mtushobokee sana. POVU likutoke mpaka.We una uanaume gani? Wanaume wanafunga na wanapiga kazi kama kawa, hawajionyeshi kwa wengine kama wamefunga, na akimuona mtu anakula wala akasiriki, kwa sababu yeye kufunga kwa ajili ya mungu sio kujitangaza na kujionyesha kwa watu kama nyie
Vumilia kaka ukweli unauma lkn ni dawa.Wewe una uanaume gani kukashifu imani za wengine? Aliyekwambia waislamu wanafunga kwa kujionesha nani?Tatizo lako unapenda ligi za kivulana katikati ya kundi la wanaume.Chuki yako dhidi ya UISLAM haitokusaidia na neno lako halina athari yoyote sababu sisi tuko kwenye kufunga kama kawaida kwa hiyo VIDAMPA kama nyinyi tunawategemea mtushobokee sana. POVU likutoke mpaka.
Katika hawa wote wanaochangia hakuna mwenye ustaarabu hata mmoja wote wamejawa na chuki na mihemko ya kipumbavu sana kisa waislamu kufunga.Usijifanye mjuaji kwa kitu ambacho hukijui kabisa. Migahawa ya kilocal karibia yote inamilikiwa na waislam. Hivo kwa maamuzi yao wenyewe wameamua kuifunga mchana. Ila migahawa ambayo hutumika kuhudumia wageni ipo wazi kama kawaida, mfano six degrees ambayo ipo stone town, sitegemei kama unaijua wala stone town kama unaijua lakini utajua kuwa ni mjini, kgahawa huu upo wazi na unahudumia wanaokula mchana, mmiliki wa huu mgahawa sio muislam lakini ni mstaarabu na humfikii ata chembe ya ustaarabu, hakuna bastard aliekuwa na ustaarabu duniani. Huweka mapazia makubwa ili anaepita nje asijishughulishe na kutizama watu wanachokula akaja kupatwa na hamu ya kula na kuvunja funga yake.
Na cha kushangaza, unalalamika wewe wakati wakiristo Zanzibar hawakuwahi kuilalamikia serikali ikiwa vibarazani wala kwenye medias. Wala hakuna mkiristo anaelalamika kuwa mfungo wa ramadhan kwao ni adhabu, only bastards complain about that. Migahawa ipo, kwako unapo, eti unalalamikia choice ya mtu kufunga duka!
Hakuna ukweli hapo sijaona zaidi ya rubbish tu.Nenda kawakoge wavulana wenzio sio mimi sio level yako kabisa.Nawafundisha wavulana kama wewe namna ya kuwa na heshima kwa watu na jamii zingine.You need to GROW UP bado hujakua kiakiliVumilia kaka ukweli unauma lkn ni dawa.
Kawafundishe huko zenji basiHakuna ukweli hapo sijaona zaidi ya rubbish tu.Nenda kawakoge wavulana wenzio sio mimi sio level yako kabisa.Nawafundisha wavulana kama wewe namna ya kuwa na heshima kwa watu na jamii zingine.You need to GROW UP bado hujakua kiakili
Hizo ni adoloscent behaviours sisi PEER EDUCATORS tunajua kuna umri fulani ukifika unajiona mkubwa kuliko babako kumbe ni MIHEMKO tu ya ujana inakuzuzuaVumilia kaka ukweli unauma lkn ni dawa.
Naanza na wewe kabla sijaenda ZENJIKawafundishe huko zenji basi
Mimi nimeelimika brotherNaanza na wewe kabla sijaenda ZENJI
Mtu aliyeelimika hawezi kuthubutu kukashifu imani za wengine,wewe ni mmoja wa vijana ambao hamjaelimika na huwezi kukaa na watu wenye imani tofauti kwa comments zako kama hizi.Napata mashaka sana iwapo kama siku mtu asiye wa dini yako akija kukuomba msaada unapoishi kama utamsaidia.Mimi nimeelimika brother
Duuu, kweli ukosefu wa elimu ni mzigoTatizo lenu elimu hamna. Soma jina la Id unayotumia na neno la mwisho kwenye comment yako ndiyo utajua elimu hamna. Sehemu ambayo watu wameenda shule na ni educated huwa hawana ujinga wa kupindua sheria. Funga yako inawahusu nini wengine? Km siyo ujinga nini.
Ww uliishia darasa la ngapi? Hata neno struggle linakushinda kuandika? Kingine usichanganye alama za uandishi. Unapotumia mkato basi herufi ndogo huandikwa baada ya mkato lbd km ni jina la mtu. Hio-hiyo