Zanzibar ni member wa SADC?

Zanzibar ni member wa SADC?

Msaada tutani,Hivi makamu wa Radio s,akiwa Zanzibar,ki protocol,Kati yake na Rais wa Zanzibar ni nani yupo juu ya mwenzie kimadaraka?
Muungano wetu ni unique, nje ya muungano kimataifa, Tanzania ni nchi moja ya JMT na muungano wetu ni union yenye nchi moja tuu ya JMT, yenye rais mmoja na serikali moja ya JMT. Hivyo kimataifa Rais wa JMT, Makamo na Waziri Mkuu ndio viongozi wakuu wa JMT. Hivyo Makamo ni mkubwa kuliko rais wa Zanzibar.

Ndani ya muungano, muungano wetu ni federation wenye nchi mbili, serikali mbili na marais wawili, kwa upande wa Zanzibar rais wa Zanzibar ndiye Mkuu kuliko hata rais wa JMT.

P
 
Kiukweli elimu ya uraia inahitajika sana. Kumbe watu hamjui kuwa rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum na alifanikiwa na JPM. Nchi yetu Ina viongozi wakuu 5 wa kisiasa wanaotembea na msafara wa vingora.
  1. Rais wa JMT
  2. Makamo wa Rais
  3. Waziri Mkuu
  4. Rais wa Zanzibar
  5. Makamo wa Zanzibar
P.
Acheni kuogopesha watu wasio jua sheria Dr shein sio waziri asiye na wizara maalumu.... cheo hiki by that time alikuwa nacho mwandosya....Tuwekee evidence ya uteuzi ama kifungu cha katiba kinachompa nafasi hiyo. Anaingia kwenye baraza la mawaziri kwa cheo chake. Tena msimchanganye JPM anaweza akaafikiana na uongo wako
 
Kumbe Ni kwa mujibu wa ving'ola sio kwa mujibu wa katiba... Trust me hata msafara was kenyata unaving'ora akiwa TZ sijui yeye tumterm awe wa 6
 
Muungano wetu ni unique, nje ya muungano kimataifa, Tanzania ni nchi moja ya JMT na muungano wetu ni union yenye nchi moja tuu ya JMT, yenye rais mmoja na serikali moja ya JMT. Hivyo kimataifa Rais wa JMT, Makamo na Waziri Mkuu ndio viongozi wakuu wa JMT. Hivyo Makamo ni mkubwa kuliko rais wa Zanzibar.

Ndani ya muungano, muungano wetu ni federation wenye nchi mbili, serikali mbili na marais wawili, kwa upande wa Zanzibar rais wa Zanzibar ndiye Mkuu kuliko hata rais wa JMT.

P
Hata kama inapambwa hii kitu inazo kasoro Pascal . Nenda Zanzibar halafu utamke kuwa makamu wa Rais wa JMT, ana nguvu kuliko Rais wao kama utaeleweka !!.
 
Muungano wetu ni unique, nje ya muungano kimataifa, Tanzania ni nchi moja ya JMT na muungano wetu ni union yenye nchi moja tuu ya JMT, yenye rais mmoja na serikali moja ya JMT. Hivyo kimataifa Rais wa JMT, Makamo na Waziri Mkuu ndio viongozi wakuu wa JMT. Hivyo Makamo ni mkubwa kuliko rais wa Zanzibar.

Ndani ya muungano, muungano wetu ni federation wenye nchi mbili, serikali mbili na marais wawili, kwa upande wa Zanzibar rais wa Zanzibar ndiye Mkuu kuliko hata rais wa JMT.

P
Yaaaani kajifunze Constitution mkuu.... Rais wa zanzibar anakuwa mkuu kwa mambo yasiyo ya Muungano.... Kwa mambo ya Muungano JPM Ni mkuu kule
 
Tanzania ni JMT ya TZ Bara na TZ Visiwani, Rais wa Zanzibar ni mmoja wa viongozi 5 wakuu wa JMT wakiongozwa na President, VP, PM, Rais wa Zanzibar na Waziri Kiongozi kwa mujibu wa katiba ya JMT, au Makamo wa I na II kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ambapo rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum. Hivyo amehudhuria kama kiongozi wa kitaifa.
P
Nadhani muulizaji anahoji (secretly) kuhusu hadhi ya Zanzibar kama nchi (according to the Zanzibar's constitution).

Au hapa tunatumia ile dhana ya Zanzibar ni nchi ndani lakini nje si nchi?
 
Akidi kutimia ilikuwa sio mchezo nasikia maraisi walitakiwa 16 Sasa waliotokea ni 4 tu, ikabidi Karume, Shein, JK, Ruksa, Mkapa ngoma 9 wale shavu
Hivi Shen kahudhuria mkutano anawakilisha nchi gani?

Uzi tayari
 
Kiukweli elimu ya uraia inahitajika sana. Kumbe watu hamjui kuwa rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum na alifanikiwa na JPM. Nchi yetu Ina viongozi wakuu 5 wa kisiasa wanaotembea na msafara wa vingora.
  1. Rais wa JMT
  2. Makamo wa Rais
  3. Waziri Mkuu
  4. Rais wa Zanzibar
  5. Makamo wa Zanzibar
P.
Kwamba waziri mkuu na makamu wa Rais ni mabosi wa Rais wa Zanzibar
 
Tanzania ni JMT ya TZ Bara na TZ Visiwani, Rais wa Zanzibar ni mmoja wa viongozi 5 wakuu wa JMT wakiongozwa na President, VP, PM, Rais wa Zanzibar na Waziri Kiongozi kwa mujibu wa katiba ya JMT, au Makamo wa I na II kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ambapo rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum. Hivyo amehudhuria kama kiongozi wa kitaifa.
P
Kwa hiyo Spika wa Bunge hayumo kwnye 5 bora za JMT?
 
Acheni kuogopesha watu wasio jua sheria Dr shein sio waziri asiye na wizara maalumu.... cheo hiki by that time alikuwa nacho mwandosya....Tuwekee evidence ya uteuzi ama kifungu cha katiba kinachompa nafasi hiyo. Anaingia kwenye baraza la mawaziri kwa cheo chake. Tena msimchanganye JPM anaweza akaafikiana na uongo wako
Kutokujua kitu fulani ni ujinga, nimekuelimisha kuwa Rais wa Zanzibar anaingia kwenye cabinet kama Waziri asiye na Wizara maalum. Rais JPM alimteua Dr Shein kuwa Waziri na alimuapisha Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mtu mjinga akiisha elimishwa akielimika ujinga himtoka na kuwa mwerevu, ila mtu mjinga akiisha elimishwa akawa haelimishiki na bado anaendelea na ule ule ujinga wake, huyu sasa atakuwa sio mjinga tena bali ni ...
naomba nisimalizie.
P
 
Spika, Jaji Mkuu, CDF, boss wa TISS, IGP, wao wana vingora vya escorts kuwasafishia tuu njia lakini sio kusimamishiwa magari. Hawa watano traffic wanawekwa kuziba njia gari zinasimamishwa, hawa wengine hakuna traffic bali wanapishwa tuu njia kama fire au ambulance.

Hizo escorts hata mtu wa kawaida unaweza omba unalipia unaletewa, kwenye misiba, ugeni au matukio muhimu, unaomba escort unapewa.
P
Shule hii ni nzuri Sana kwa majuha. Sehemu zingine ilipaswa kulipiwa. Endelea kutoa ofa
 
Kwamba waziri mkuu na makamu wa Rais ni mabosi wa Rais wa Zanzibar
Yes nje ya muungano, ndani ya muungano rais wa Zanzibar ni sawa na Rais wa JMT, akiwa bara JPM bosi, akiwa Zanzibar yeye ndie top.
P
 
Kutokujua kitu fulani ni ujinga, nimekuelimisha kuwa Rais wa Zanzibar anaingia kwenye cabinet kama Waziri asiye na Wizara maalum. Rais JPM alimteua Dr Shein kuwa Waziri na alimuapisha Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mtu mjinga akiisha elimishwa akielimika ujinga himtoka na kuwa mwerevu, ila mtu mjinga akiisha elimishwa akawa haelimishiki na bado anaendelea na ule ule ujinga wake, huyu sasa atakuwa sio mjinga tena bali ni ...
naomba nisimalizie.
P
Lini aliapishwa mkuu? Tuwekee kumbukumbu Kama kweli wewe ni means habari... Nikukubali tuu kwa elimu unayoitoa pasipo fact.. tukumbushe lini lilifanyika tendo hilo
 
Mkuu Mwala, kwanza uheshimu muungano usiuite feki, bali una changamoto.

Makamo wa rais ni structural issue kuwa rais akitoka upande mmoja wa muungano Makamo lazima atoke upande mwingine, hivyo Samia sio mwakilishi wa Zanzibar kwenye serikali ya JMT ni rais mwenza wa JMT, in case of anything, kama kutimia kwa ile ndoto ya Lema, yeye ndiye anaapishwa kuwa rais wa JMT.

In case rais akitoka Zanzibar, makamu atatoka Bara huwezi sema makamu ni mwakilishi wa bara ndani ya serikali ya JMT.

Mwakilishi halali wa Zanzibar ndani ya serikali ya JMT ni rais wa Zanzibar anayeingia kwenye cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum.
P
Kama ndivyo,kwa nini wizara inayoshughulika na mambo ya muungano yapo ofisi ya makamu wa Rais na si Rais wa Zanzibar?
 
Kutokujua kitu fulani ni ujinga, nimekuelimisha kuwa Rais wa Zanzibar anaingia kwenye cabinet kama Waziri asiye na Wizara maalum. Rais JPM alimteua Dr Shein kuwa Waziri na alimuapisha Ikulu jijini Dar es Salaam.
Screenshot_20190818-083054.png
mwerevu, ila mtu mjinga akiisha elimishwa akawa haelimishiki na bado anaendelea na ule ule ujinga wake, huyu sasa atakuwa sio mjinga tena bali ni ...
naomba nisimalizie.
P
Ngoja nikuoneshe facts kuwa anaingia mle kwa cheo chake... Tazama hapa wajumbe wa baraza la mawaziri acha kupotosha watu
 
Sawa, kwa hiyo ni mjumbe wa BLM
Raisi wa zanzibar si waziri Kama wasukuma wanavyotaka kumfanya yeye ana nafasi tatu
1. Rais wa zanzibar
2. Mkuu wa serikali ya mapinduzi
3. Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi
Ndivyo ilivyo kwa mujibu wa katiba yetu na ya zanzibar ya mwaka 1984
Screenshot_20190818-083132.png
Screenshot_20190818-083132.png
 
Yani wewe ni rais afu umekaa kwa watazamaji! Dah, mi ningekuwa shein ata nisingetia mguu wangu hapo.
Anawatizama marais wenzie ,mimi mwenyewe jana nilicheka sanaaa ila kuna muda kamera zilikuwa zina mmulika alikuwa anaona aibu aibu
 
Back
Top Bottom