Zanzibar ni member wa SADC?

Zanzibar ni member wa SADC?

Kiukweli elimu ya uraia inahitajika sana. Kumbe watu hamjui kuwa rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum na alifanikiwa na JPM. Nchi yetu Ina viongozi wakuu 5 wa kisiasa wanaotembea na msafara wa vingora.
  1. Rais wa JMT
  2. Makamo wa Rais
  3. Waziri Mkuu
  4. Rais wa Zanzibar
  5. Makamo wa Zanzibar
P.
Kusema ukweli tuwape wazanzibar nchi yao kwani sisi waccm tutapungiwa nini ?
Tukiwapa Zanzibar wajitegemee?
CCM sisi ni hovyo haijawahi tokea Dunia tangu kuumbwa.

Naenda kuchomoa betri kwa ajili ya uchumi wakati.
 
Mkuu Mwala, kwanza uheshimu muungano usiuite feki, bali una changamoto.

Makamo wa rais ni structural issue kuwa rais akitoka upande mmoja wa muungano Makamo lazima atoke upande mwingine, hivyo Samia sio mwakilishi wa Zanzibar kwenye serikali ya JMT ni rais mwenza wa JMT, in case of anything, kama kutimia kwa ile ndoto ya Lema, yeye ndiye anaapishwa kuwa rais wa JMT.

In case rais akitoka Zanzibar, makamu atatoka Bara huwezi sema makamu ni mwakilishi wa bara ndani ya serikali ya JMT.

Mwakilishi halali wa Zanzibar ndani ya serikali ya JMT ni rais wa Zanzibar anayeingia kwenye cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum.
P
Usinitoe kwenye mstari
 
Kusema ukweli tuwape wazanzibar nchi yao kwani sisi waccm tutapungiwa nini ?
Tukiwapa Zanzibar wajitegemee?
CCM sisi ni hovyo haijawahi tokea Dunia tangu kuumbwa.

Naenda kuchomoa betri kwa ajili ya uchumi wakati.
Mkuu tunapewa shida kubwa na hawa watu sijawahi ona na hakuna muungano wa ajabu kama huu duniani👹👹👹💩💩💩
 
Vijana mnaleta habari za Uamshoo eehe Sasa vijana POPOTE MLIPO MTASHIKWA NA MTAJUTA
 
Msaada tutani,Hivi makamu wa Radio s,akiwa Zanzibar,ki protocol,Kati yake na Rais wa Zanzibar ni nani yupo juu ya mwenzie kimadaraka?
Kiungo mwakilishi kutoka ZNZ ni SAMIA na aliteuliwa kutoka znz kuwa makamu wa rais kuiwakilisha ZNZ kwenye muungano huu TATA.
Kwa SHENI kuhudhuria naona ni kujikomba kwa wahusika kuficha aibu ya utata wa muungano feki.
 
Msaada tutani,Hivi makamu wa Radio s,akiwa Zanzibar,ki protocol,Kati yake na Rais wa Zanzibar ni nani yupo juu ya mwenzie kimadaraka?
Hakuna makamu wa redio labda pitia kijiwe cha lumumba uwaulize watakujibu
 
Mkuu Dega, muwe angalau na shukrani japo kidogo kwa sababu ni muungano ndio umewafanya baadhi yenu mpo hadi leo, ingekuwa sio muungano kuna watu fulani , baada ya yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, wangekuwa wiped kwenye uso wa dunia, the wiper alikuwa ana wipe tuu, lakini ni kupitia Muungano huu adhimu Nyerere akazuia watu fulani wasiwe wiped.
Shukuru kwa hilo.

P
Pascal tunakutegemea humus ndani kama Mogadishu nguli lkn huitendei haki taaluma yako hivyo wataka kusema hiyo unayoiita ihsani tulofanyiwa na Baba wa taifa gharama yake ni nyinyi kuvichukua hivi Visiwa viwe mali yenu eti tuu mlisaidi kutuliza hali visiwani kwa tafsir hiyo ichukueni South Africa na Mozambique coz mlisaidia nakule pia

Mkuu Mwalla, mimi sikutoi kwenye mstari bali ndio nakunyooshea mstari wako uliopinda. Kunyoosha huku nakufanya kwa nia njema nikiamini nakusaidia. Ila kwa vile kuna wengine wanapenda zilizopinda na sio zilizonyooka, unapojitolea kumyooshea ukidhani unamsaidia kumbe ndio unamharibia, haya endelea na mstari wako uliopinda siendelei kukunyoshea kwa kukutoa kwenye mstari.
P
 
Waziri mkuu wa JMT lakini hajawahi kwenda Zanzibar kwenye ziara ya kikazi, tuna Rais wa JMT lakini hajaenda kukagua wala kuzindua mradi wowote Zanzibar kama Rais wa nchi zote mbili Zanzibar na Tanganyika.

Swali la msingi:- Je watoto huko Zanzibar wanafundishwa kua Rais Magufuli ni nani kwao? na anakuja huko kwao Zanzibar kama anavyoenda mikoa mingine?
Je watu wanaotoka Zanzibar kwenda nje ya nchi wanajitambulisha kua wanatoka nchi gani? Na wanaotoka Tanganyika wanajitambulisha kua wanatoka nchi gani?.

Kuna case moja nilikua Uchina na rafiki yangu mmoja kutoka Pemba. Yeye akiwa anajitambulisha kua anatokea nchi ya Zanzibar na Mimi natokea Tanzania wakati huohuo wenyeji wetu wanajua tunatoka nchi moja.
 
Watanganyika kila wakiiona ZANZIBAR yenye utulivu na amani miroho yao inawauma SIJAONA MIJITU YENYE TO GO MBAYA KM MITANGANYIKA wazee wetu
Wangejua haya basi tungeungana na hata KENYA ZANZIBAR ingeneemeka kuliko hawa wasaga sumuu
 
CCM unaitaja ili iweje haswa.. kama unashida nao nenda Lumumba ukawasalimu. Inaonyesha una mawazuuuuu na hicho chama chao.. na bado utaendelea kuisoma namba maana Mwenyekiti wao ni bonge la Jembe..

Tena inakuwaje Mwenyekiti wenu hamumupambi bali muko bizi na Jembe kila wakati na Chama chake?
Jembe???? Yagheko la kulimia mavi ya ng'ombe yaliyojaa zizini au?
 
Mkuu Mwalla, mimi sikutoi kwenye mstari bali ndio nakunyooshea mstari wako uliopinda. Kunyoosha huku nakufanya kwa nia njema nikiamini nakusaidia. Ila kwa vile kuna wengine wanapenda zilizopinda na sio zilizonyooka, unapojitolea kumyooshea ukidhani unamsaidia kumbe ndio unamharibia, haya endelea na mstari wako uliopinda siendelei kukunyoshea kwa kukutoa kwenye mstari.
P
Uteuzi UMEKWISHA😎
 
CCM unaitaja ili iweje haswa.. kama unashida nao nenda Lumumba ukawasalimu. Inaonyesha una mawazuuuuu na hicho chama chao.. na bado utaendelea kuisoma namba maana Mwenyekiti wao ni bonge la Jembe..

Tena inakuwaje Mwenyekiti wenu hamumupambi bali muko bizi na Jembe kila wakati na Chama chake?
Mwenyekiti ni jembe mpini nani jembe bila ni sawa na kibogoyo kutafuna mfupa
 
Mkuu Mwalla, mimi sikutoi kwenye mstari bali ndio nakunyooshea mstari wako uliopinda. Kunyoosha huku nakufanya kwa nia njema nikiamini nakusaidia. Ila kwa vile kuna wengine wanapenda zilizopinda na sio zilizonyooka, unapojitolea kumyooshea ukidhani unamsaidia kumbe ndio unamharibia, haya endelea na mstari wako uliopinda siendelei kukunyoshea kwa kukutoa kwenye mstari.
P
Wewe ni hataree😎
 
Pascal tunakutegemea humus ndani kama Mogadishu nguli lkn huitendei haki taaluma yako hivyo wataka kusema hiyo unayoiita ihsani tulofanyiwa na Baba wa taifa gharama yake ni nyinyi kuvichukua hivi Visiwa viwe mali yenu eti tuu mlisaidi kutuliza hali visiwani kwa tafsir hiyo ichukueni South Africa na Mozambique coz mlisaidia nakule pia
Mkuu Dega umoja ni nguvu, mwanzo tulikuwa wawili, mkubwa na mdogo, tukaungana tukawa kitu kimoja, mkubwa kawa mkubwa zaidi na mdogo kawa mkubwa. Hakuna anayetaka kuvitwaa hivyo visiwa bali tumekuwa kitu kimoja. Usiangalie changamoto tuu za muungano angalia faida na manufaa ya muungano, kiukweli kabisa anayefaidi zaidi huu muungano wetu adhimu ni visiwani!, angalia maduka ya Wapemba yalivyo tapakaa huku Bara. Zingeletwa takwimu za umiliki ardhi wenzetu mnamiliki ardhi ya bara kuliko ardhi yote ya visiwa vyenu. Karibu nusu kama sio yote ya yale maghorofa ya Kariakoo na Ilala ni ya Wapemba. Angalia ghorofa la Muzamil hapo Darajani Zanzibar ulinganishe na lile la Mtaa wa Kongo hapa Dar.

Angalia biashara za Bakhresa Zanzibar ulinganishe na huku Bara, kiukweli watu wanaofaidika zaidi na muungano huu ni wenzetu Wazanzibari tena baada ya yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, kama sio muungano saa hizi tungekuwa tunazungumza mengine.
P
 
Wewe ni hataree😎
Du!, unakumbushia hayo makorokocho!, believe that and you'll believe anything!.
P
 
Du!, unakumbushia hayo makorokocho!, believe that and you'll believe anything!.
P
"
Hapa naomba nieleweke,hata watumishi idara nyeti walianza kufatilia gazeti ilo baada ya kusoma bandiko la Pascal Mayalla hapa JF, na ndipo wakaja kugundua kuwa kumbe mwandishi wa habari zile na nyeti kupitia gazeti lile ni ndugu yetu Erick Kabendera.

Kwanini walifuatilia,kiukweli kilichoandikwa na mwandishi huyo wa habari kilikuwa na ukweli wa 100%ingawa huyu Ndugu Mayalla alikipinga kwa lengo la kujipendekeza kwa msukuma mwemzake.

Je, Pascal Mayalla alijua tangu awali kuwa Kabendera ndie anayeandika habari nyeti na kuziripoti The Economist na alishindwa kumuita kama mdogo wake na kumpa onyo?

Kimsingi kifungo cha Kabendera nadhani ni furaha kwa Mayalla kwani alimjua tangu awali na alishindwa kabisa kumuita na kumuonya ingawa wote wanatoka kanda ya ziwa."
Mwisho wa kunukuu.
 
Back
Top Bottom