Zanzibar ni member wa SADC?

Zanzibar ni member wa SADC?

Hata kama inapambwa hii kitu inazo kasoro Pascal . Nenda Zanzibar halafu utamke kuwa makamu wa Rais wa JMT, ana nguvu kuliko Rais wao kama utaeleweka !!.
Mkuu Odhiambo Cairo, sio kasoro bali ni changamoto tuu. Rais wa Zanzibar anachaguliwa na Wazanzibari tuu, yeye ni rais wa Zanzibar tuu, Makamo wa rais anachaguliwa na Watanzania wote wakiwemo Wazanzibari, ni Makamo wa rais wa JMT, kwenye setup ya muungano, sio tuu Makamo wa rais ni mkubwa kuliko rais wa Zanzibar, bali hata Waziri Mkuu ni mkubwa kuliko rais wa Zanzibar, ki protocol rais wa Zanzibar ni wa 4, lakini hadhi yake ndani ya setup ya muungano ni hadhi ya Waziri tuu. Lakini kwa Zanzibar, Rais wa Zanzibar ni mkubwa kuliko rais wa JMT.
Kwenye setup ya Zanzibar, Rais wa JMT
, Makamo wa rais na Waziri Mkuu, kule Zanzibar they are nobody's ila ni heshima tuu.
P
 
Watu wa nchi ya Zanzibar bana are extremely emotional.. Haya nyie ni nchi furahini sasa .. Msisahau kumwambia rais wenu aende kwenye meetings za head of states UN
 
Daaah umemjibu kwahisia Kali Sana mkuu mm bado mpenzi mtazamaji
Kwan ni nan rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ???
Hivi Tanzania inaweza kuwepo pasi na Zanzibar ???
Sijui dada sijui kaka vp Mbona unauliza maswali ambayo hayaingiii kichwan???
Yeye ni rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ambayo inaunda pia serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Na SADC summit ilikua ikihusiana na Tanzania as the host of the summit sio Tanganyika.
Na ingetokea km ndio waje wawakilishi wa muungano km ilivyo kwa watabe Nyerere na Karume basi wawakilishi contemporary wa pioneers wangetoka Magufuli na Shein.
Au ww mzanzibar unaongea kwa hisia???!!!!
SAMAHANI ILA HILI NI SWALI LA KITOTO,SAMAHANI KWA HII KAULI.
 
unaposema nje ya muungano unamaanisha nini wakati Tanganyika na Zanzibar ndizo ziliunda Muungano huo ? je nje ya muungano Tanganyika ina nafasi gani ? kutetea hili jambo unapaswa kujiondoa utu kwanza , si rahisi kulitetea
Huwezi kunielewa kama hujashughulisha kichwa chako vizuri maana binafsi napenda kujua huko nje ya muungano ni wapi! Tukisema tanganyika imevaa koti la muungano sidhani kama tutakosea.
 
Raia wa Tanzania bara ni raia wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania aliyetoka pande za mainland.
Na wimbo wa Taifa ni ule wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania.

Ni kama Scottish is a citizen of United Kingdom from Scotland.
Wapi unakwama mkuu.???
Rais wa Tanzania bara ni nani na wimbo wa Taifa lake ni upi , je bendera yake ni ipi ?
 
Mnabishana Sana aisee,
Tuanzie hapa, Zanzibar ni nchi au sio nchi?
Tukishaelewana hapa, huko mbele itakua ni rahisi.
 
Back
Top Bottom