Zanzibar ni member wa SADC?

Tanzania ni JMT ya TZ Bara na TZ Visiwani, Rais wa Zanzibar ni mmoja wa viongozi 5 wakuu wa JMT wakiongozwa na President, VP, PM, Rais wa Zanzibar na Waziri Kiongozi kwa mujibu wa katiba ya JMT, au Makamo wa I na II kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ambapo rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum. Hivyo amehudhuria kama kiongozi wa kitaifa.
P
 
Msilete kujuana kwenye mali za watu , Sadc si mali ya ccm , ni mali ya nchi wanachama tu , Zanzibar haimo , hizi ndio kero za Muungano , ni kama vile mlivyoihujumu Zanzibar kule CAF

CCM unaitaja ili iweje haswa.. kama unashida nao nenda Lumumba ukawasalimu. Inaonyesha una mawazuuuuu na hicho chama chao.. na bado utaendelea kuisoma namba maana Mwenyekiti wao ni bonge la Jembe..

Tena inakuwaje Mwenyekiti wenu hamumupambi bali muko bizi na Jembe kila wakati na Chama chake?
 
ana cheo gani kwenye serikali ya Muungano ?
Kwan ni nan rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ???
Hivi Tanzania inaweza kuwepo pasi na Zanzibar ???
Sijui dada sijui kaka vp Mbona unauliza maswali ambayo hayaingiii kichwan???
Yeye ni rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ambayo inaunda pia serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Na SADC summit ilikua ikihusiana na Tanzania as the host of the summit sio Tanganyika.
Na ingetokea km ndio waje wawakilishi wa muungano km ilivyo kwa watabe Nyerere na Karume basi wawakilishi contemporary wa pioneers wangetoka Magufuli na Shein.
Au ww mzanzibar unaongea kwa hisia???!!!!
SAMAHANI ILA HILI NI SWALI LA KITOTO,SAMAHANI KWA HII KAULI.
 
Unaweza kunambia kwanini Zanzibar si mwanachama wa CAF ?
 
CCM unaitaja ili iweje haswa.. kama unashida nao nenda Lumumba ukawasalimu. Inaonyesha una mawazuuuuu na hicho chama chao.. na bado utaendelea kuisoma namba maana Mwenyekiti wao ni bonge la Jembe..

Tena inakuwaje Mwenyekiti wenu hamumupambi bali muko bizi na Jembe kila wakati na Chama chake?
Kwi! Kwi! Kwi!
 
Asa atakuaje mwanachama wa CAF ilhali Tanzania yawakilisha serikali zote????
Nikuulize na ww,kwan Zanzibar kama Zanzibar ipo ktk wanachama wa UN???
hizi ndio kero za muungano , kama zanzibar iliungana na Tanganyika na bado ipo je Tanganyika iko wapi ? au Tanzania ndio Tanganyika , kwanini ? ndio maana wazanzibar wanataka kero zitatuliwe , kumbuka wanasema Zanzibar ni Nchi , ina bendera na wimbo wake wa Taifa , sasa kinachoitwa muungano ni nini ?
 
Back
Top Bottom