Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,952
- 10,037
ana cheo gani kwenye serikali ya Muungano ?
Ni kama Waziri
ana cheo gani kwenye serikali ya Muungano ?
Scotland,Northern Ireland,England and Wales all of these are nations with their own rules but united together to bring up a one strong nation called United kingdom.And the strongest arm overtaking all is England.hizi ndio kero za muungano , kama zanzibar iliungana na Tanganyika na bado ipo je Tanganyika iko wapi ? au Tanzania ndio Tanganyika , kwanini ? ndio maana wazanzibar wanataka kero zitatuliwe , kumbuka wanasema Zanzibar ni Nchi , ina bendera na wimbo wake wa Taifa , sasa kinachoitwa muungano ni nini ?
Rais wa Tanzania bara ni nani na wimbo wa Taifa lake ni upi , je bendera yake ni ipi ?Scotland,Northern Ireland,England and Wales all of these are nations with their own rules but united together to bring up a one strong nation called United kingdom.And the strongest arm overtaking all is England.
Na hilo je unalizungumziaje???
Na hapa kinachoitwa muungano ni nini???
Tanganyika inajulikana km Tanzania bara.
Ukisikia Tanzania bara basi ujue Tanganyika tayari hyo.
Kila muungano wa mataifa una policies zake unaozitengeneza kuhusiana na hiyo Union.
Muungano Ni UKOLONI TUU FULL STOPTanzania ni JMT ya TZ Bara na TZ Visiwani, Rais wa Zanzibar ni mmoja wa viongozi 5 wakuu wa JMT wakiongozwa na President, VP, PM, Rais wa Zanzibar na Waziri Kiongozi kwa mujibu wa katiba ya JMT, au Makamo wa I na II kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ambapo rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum. Hivyo amehudhuria kama kiongozi wa kitaifa.
P
huyo kiongozi cheo chake ni nini katika JMT ???Rais wa Zanzibar ni mmoja wa viongozi 5 wakuu wa JMT
Hapa mkuu umejitoa ufahamu hakuna ukweli wowote.... Atuna viongozi wakubwa watano kwenye URTC ya 1977 kwamba shain ni Kama waziri asiye na wizara maalumu labda kwa uteuzi wakoTanzania ni JMT ya TZ Bara na TZ Visiwani, Rais wa Zanzibar ni mmoja wa viongozi 5 wakuu wa JMT wakiongozwa na President, VP, PM, Rais wa Zanzibar na Waziri Kiongozi kwa mujibu wa katiba ya JMT, au Makamo wa I na II kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ambapo rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum. Hivyo amehudhuria kama kiongozi wa kitaifa.
P
Refference tafadhariNi kama Waziri
Katiba ya JMT.Refference tafadhari
Mkuu Pascal Mayalla acha kuibananga katiba ya JMT, wapi imemtaja Rsis wa Zanzibar kama miongoni mwa viongozi wakuu wa JMT? Kwenye JMT yeye ametajwa kama Mjumbe wa BLM. Hii ya kusema ni miongoni mwa viongozi wakuu ni ya kiprotocal zaidi, anakuwa kama senior Minister!Tanzania ni JMT ya TZ Bara na TZ Visiwani, Rais wa Zanzibar ni mmoja wa viongozi 5 wakuu wa JMT wakiongozwa na President, VP, PM, Rais wa Zanzibar na Waziri Kiongozi kwa mujibu wa katiba ya JMT, au Makamo wa I na II kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ambapo rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum. Hivyo amehudhuria kama kiongozi wa kitaifa.
P
Hakuna hiyo kitu trust me anaingia kwenye baraza la mawaziri Kama rais wa zanzibarKatiba ya JMT.
Sawa, kwa hiyo ni mjumbe wa BLMHakuna hiyo kitu trust me anaingia kwenye baraza la mawaziri Kama rais wa zanzibar
Kiukweli elimu ya uraia inahitajika sana. Kumbe watu hamjui kuwa rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum na alifanikiwa na JPM. Nchi yetu Ina viongozi wakuu 5 wa kisiasa wanaotembea na msafara wa vingora.Hapa mkuu umejitoa ufahamu hakuna ukweli wowote.... Atuna viongozi wakubwa watano kwenye URTC ya 1977 kwamba shain ni Kama waziri asiye na wizara maalumu labda kwa uteuzi wako
Rais wa Zanzibar mbona sioni nafasi yake. Labda km kaalikwa ngoma kuja kusherehesha zenye uasili wa visiwaTanzania ni JMT ya TZ Bara na TZ Visiwani, Rais wa Zanzibar ni mmoja wa viongozi 5 wakuu wa JMT wakiongozwa na President, VP, PM, Rais wa Zanzibar na Waziri Kiongozi kwa mujibu wa katiba ya JMT, au Makamo wa I na II kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ambapo rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum. Hivyo amehudhuria kama kiongozi wa kitaifa.
P
Hoja zako zimekaa vizurihizi ndio kero za muungano , kama zanzibar iliungana na Tanganyika na bado ipo je Tanganyika iko wapi ? au Tanzania ndio Tanganyika , kwanini ? ndio maana wazanzibar wanataka kero zitatuliwe , kumbuka wanasema Zanzibar ni Nchi , ina bendera na wimbo wake wa Taifa , sasa kinachoitwa muungano ni nini ?
Mnajichanganya kwenye katiba cheo cha waziri kina teuliwa na rais tu na ndiye anaye weza kutengua, je Shein kateuliwa na naniAlikuwa meza kuu? Mbona Kassim Majaliwa kahudhuria alikuwa anawakilisha nchi gani? Lukuvi naye vipi? Shein kahudhuria kama Waziri tu wa JMT
Hadi nielewe maana kwenye vitu vya msingi lazima nikufuatilie mkuu unahoja zenye mashikoRais wa Tanzania bara ni nani na wimbo wa Taifa lake ni upi , je bendera yake ni ipi ?
Unaweza kunambia kwanini Zanzibar si mwanachama wa CAF ?
Rekebisha kidogo kuhusu wanaopewa msafara wa ving'ora ... Siku hizi hata DC, Askofu, Shekh, RC, waziri, Daimond, and all the hell wanapewa ving'ora kwa utashi waoKiukweli elimu ya uraia inahitajika sana. Kumbe watu hamjui kuwa rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum na alifanikiwa na JPM. Nchi yetu Ina viongozi wakuu 5 wa kisiasa wanaotembea na msafara wa vingora.
P.
- Rais wa JMT
- Makamo wa Rais
- Waziri Mkuu
- Rais wa Zanzibar
- Makamo wa Zanzibar
Nakataaa labda jaji mkuu nakubaliKiukweli elimu ya uraia inahitajika sana. Kumbe watu hamjui kuwa rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum na alifanikiwa na JPM. Nchi yetu Ina viongozi wakuu 5 wa kisiasa wanaotembea na msafara wa vingora.
P.
- Rais wa JMT
- Makamo wa Rais
- Waziri Mkuu
- Rais wa Zanzibar
- Makamo wa Zanzibar