Zanzibar msiposimama imara kuendelea kulinda mila na tamaduni zenu, heshima yenu duniani itashuka

Kweli serikali ya Zanzibar inajichanganya saana na kuogopa sura za watu.mimi ni mkristo lakini nikienda Zanzibar inabidi nitii Sheria ya kutokula mchana hadharani wakati wa ramadhani vinginevyo nikamatwe.serikali ya Zanzibar simamia mnachoamini bila woga.sasa mtu anapigaje msosi wakati wenzako wamefunga wakamatwe msiwadekeze kaza uzi wazee.
 
😂😂😂😂😂😂
Daah watu wana hasira sana yani jamaa hadi anajuta kuanzisha uzi wake huu..
Halafu lakuskitisha zaidi wanao mshambulia sana hapa niwale wapumbavu kabisa wanao amini mungu alikuja kama mtu Hapa duniani ilikukomboa watu harafu watu hao hao wakamchalaza bakora namakonde😂😂😂
Nambaya kabisa wakamuweka dhalili mbele ya hadhara akiwa uchi kabisa harafu juu yamti🤔
Kweli Upumbavu ni mzigo mkubwa Wa Afrika tujitambue.
 
Nilikua siku zote najiuliza nini sababu za Tanzania kuing'ang'ania Zanzibar na kuonekana kama wanalazimisha muungano na hicho kisiwa, lakini haya matukio ya dhuluma kwa wakristo kipindi cha ramadhani ni dhahiri kile kisiwa kikiachwa chenyewe kitazalisha magaidi wa kiislamu ndani ya muda mfupi sana na kuifanya Zenji iwe zaidi ya Somalia.

Nafuu Somalia ni rahisi kuwatambua, ila Wazanzibari, wale ni Wanyamwezi, Wagogo na makabila mengi ya Tanzania ambao mababu zao walichukuliwa mateka/watumwa na waarabu wakati wanaanzisha dini yao Pwani, maana kwamba wakianzisha ugaidi ndani ya Tanzania itakua vigumu sana kuwatofautisha na Watanganyika wengine.
Hivyo huo muungano bora ulindwe hata kwa ngumi yaani hapa EAC tupo hatarini sana kutokana na magaidi wa uislamu.
 
Hizo CHuki zitakupeleka wapi?
 
Joseph Kony,Uganda na lord resistance army amekuwa anafanya uharamia na ugaidi kwa miaka mingi sana kwa kutaka kusimamisha amri kumi za mungu why hausemi.
 
Ningetamani kuzijua tamaduni halisi za mbantu halisi wa hivi visiwa before invasion ya mwarabu, sababu ninachoona kinapiganiwa sana na hawa wapemba ni imani zaidi na sio kingine chochote, iyo sijui utamaduni sijui blahblah nyingi hamna kitu hapo, wanapigania imani yao zaidi hasa kipindi cha mfungo wa ramadhan.
 
Back
Top Bottom