- Thread starter
- #41
Ni Matumizi mabaya ya hela za umma, hoteli zilizoungua zinatakiwa zijengwe upya na Bima
Miye na wewe tunalazimishwa kuzijenga hizo - kinyemela.
Ni Matumizi mabaya ya hela za umma, hoteli zilizoungua zinatakiwa zijengwe upya na Bima
Ajira zitakuwa nyingi huko kuliko wanaozihitaji !Hii ngoma hadi 2040 kwa uchache Zenji wametoka.
Zanzibar ina dola lake....kwani umesikia hiyo fedha itatoka katika fungu la JMT?!!!!Hoja ni kuwa hiyo stimulus package ina macho wa wabara haiwahusu?
Hadi 2040 si watakuwa mbele ya EU?
Ajira zitakuwa nyingi huko kuliko wanaozihitaji !
Tanganyika ni Shamba la bibi..Population ratio 60:1.5
Ajira ratio 79:21
A mere monkey won't accept.
Zanzibar ina dola lake....kwani umesikia hiyo fedha itatoka katika fungu la JMT?!!!!
Hotel kubwa za kitalii hazikuwa na insurance cover against fire?SUK kupitia kwa makamu wa pili wa Rais imethibitisha hoteli zilizoungua zitarejeshwa zilivyokuwa na serikali.
Kwa hali hii Jussa na hivyo Zitto ishindikane vipi kuwaelewa...
Blaza nilishasahau kuangalia taarifa za habari au kusoma magazetiSikiliza taarifa za habari jana na leo ITV wamezipa coverage ya kutosha tu.
Yanini kuandikia mate?
Ndio hiyo hiyo inabadilika kulingana na mazingira ya vizazi hivyo vilivyoundwa juzi vimekwisha chakaa wala havijiwezi!Tokea uhuru miaka 60, au kuna serikali nyingine mkuu??
Hapo sasa si ndiyo utakuwa umewazawadia points 3 na magoli mawili 😁😁?Blaza nilishasahau kuangalia taarifa za habari au kusoma magazeti
Kwa hakika ni wakati wao. Tulipo tayari Mwinyi anapiga jaramba kupasha mwili moto. Hadi 2040 Chatto wasiwe dunia ya kwanza?Uliwahi kuandika mahala Zanzibari imekuwa Chato.. ajira watapewa, yale mapato ya sherehe fulani watapewa nusu kwa nusu, hata wakijengewa hizo hoteli ni sawa tu, wakati wao huu.
Huwa nashindwa kuvumilia kudanganywa Live kabisaHapo sasa si ndiyo utakuwa umewazawadia points 3 na magoli mawili 😁😁?
Huwa nashindwa kuvumilia kudanganywa Live kabisa
Fedha zilivyomiminwa Zenji za ujenzi, sina uhakika kama mchanga wa ujenzi wanao! Ni sawa kuwajengea kwa kuwa mgao wa Covid-19 nahisi si sahihi wao kupata kakribani 20% kwa uwiano wa wakazi, hivyo wana nafasi ya kuwajengea, na kama mkopo wa Covid-19 hizo $100m watalipa wanyewe au serikali ya muungano, kama wenyewe, sawa!
Hivi ile Comedy ya Mahakama itaendelea Leo?Hizo zaidi twazitumia ku enrich database zetu. Ni hayo tu hakuna zaidi mheshimiwa jaji 😁😁.
Hivi ile Comedy ya Mahakama itaendelea Leo?
Habari yako hujambo?nyumbani kwanza, zamu kwa zamu eti! Tumemalizana na Chato, then Zanz, tukitoka huko tuelekee kwingineko mpaka tutakapomaliza kuijenga Tanzania kwa seasons