Zanzibar Kumenoga - Serikali Kugharimia Ujenzi wa Hoteli zilizoungua Moto

Zanzibar ina dola lake....kwani umesikia hiyo fedha itatoka katika fungu la JMT?!!!!

Kwani haya magawio hujui kuwa ni JMT: Zanzibar ajabu ni kuwa share ya JMT Zanzibar tena ipo? They are in for a double share.

Wewe waijua demarcation ilipo??

Haya machanga ya macho ya mchana kweupe ni hatari kwa Muungano.

Kumbe ndiyo maana kina Jussa wameuchuna. Wako ndani ya msufuria:

IMG_20211119_091739_123.jpg

Hiiiiii bagosha!
 
SUK kupitia kwa makamu wa pili wa Rais imethibitisha hoteli zilizoungua zitarejeshwa zilivyokuwa na serikali.

Kwa hali hii Jussa na hivyo Zitto ishindikane vipi kuwaelewa...
Hotel kubwa za kitalii hazikuwa na insurance cover against fire?

Au mwekezaji ni "mwenzetu"; kwa hiyo serikali za Z'bar inaingia umamuzi wa kufanya ujenzi kwa kuwa mali ni ya "mwenzetu"??
 
Uliwahi kuandika mahala Zanzibari imekuwa Chato.. ajira watapewa, yale mapato ya sherehe fulani watapewa nusu kwa nusu, hata wakijengewa hizo hoteli ni sawa tu, wakati wao huu.
 
Uliwahi kuandika mahala Zanzibari imekuwa Chato.. ajira watapewa, yale mapato ya sherehe fulani watapewa nusu kwa nusu, hata wakijengewa hizo hoteli ni sawa tu, wakati wao huu.
Kwa hakika ni wakati wao. Tulipo tayari Mwinyi anapiga jaramba kupasha mwili moto. Hadi 2040 Chatto wasiwe dunia ya kwanza?
 
Fedha zilivyomiminwa Zenji za ujenzi, sina uhakika kama mchanga wa ujenzi wanao! Ni sawa kuwajengea kwa kuwa mgao wa Covid-19 nahisi si sahihi wao kupata kakribani 20% kwa uwiano wa wakazi, hivyo wana nafasi ya kuwajengea, na kama mkopo wa Covid-19 hizo $100m watalipa wanyewe au serikali ya muungano, kama wenyewe, sawa!
 
Walipe wenyewe? Si walisema mzigo mzito mkabizi lipumba 😁😁?
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom