Zanzibar Kumenoga - Serikali Kugharimia Ujenzi wa Hoteli zilizoungua Moto

Unamwamini mkuu wa nchi aliyeingia madarakani kwa kupora uchaguzi?

Anaaminiwa hivi:

1. Kwa mgao Zenji anapata sasa tokea JMT ashindwe vipi?
2. Umemsikia Jussa au hata Zitto na lolote la Zenji?

Hata Maalim angekuwapo leo na Hangaya rais upepo ungekuwa hivi hivi.

Bara imekula kwetu na hiyo ndiyo habari yenyewe.
 
SUK kupitia kwa makamu wa pili wa Rais imethibitisha hoteli zilizoungua zitarejeshwa zilivyokuwa na serikali.

Kwa hali hii Jussa na hivyo Zitto ishindikane vipi kuwaelewa...
Hazikua na BIMA? Mmmghh hapana sio sahihi
 
SUK kupitia kwa makamu wa pili wa Rais imethibitisha hoteli zilizoungua zitarejeshwa zilivyokuwa na serikali.

Kwa hali hii Jussa na hivyo Zitto ishindikane vipi kuwaelewa...
Ni Matumizi mabaya ya hela za umma, hoteli zilizoungua zinatakiwa zijengwe upya na Bima
 
labda hizo ni hotel za serikali lakini kama sio basi bima ndio inatakiwa kukava
 
labda hizo ni hotel za serikali lakini kama sio basi bima ndio inatakiwa kukava

Iko ITV habari - wenye Hoteli ambao si serikali walitoa neno la shukurani:

Habari kuu ya pili. Sisi nani kuupinga uhondo huo 😁😁?
 
Kupanga ni kuchagua,

Sekta ya utalii ni uti wa mgongo wa uchumi wa Zanzibar kwa hiyo serikali kuja na mpango wa STIMULUS PACKAGE si swala geni katika uga wa tawala duniani.

#Siempre JMT
 
Kwa hakika hadi 2025 watakuwa ranks za Mauritius au Mayotte 😁😁.

Hiiiiii bagosha!
 
Back
Top Bottom