Kwani kuna vidonda P?Asante, tunafuatilia kwa makini, na haswa hotuba yake ya leo, itaponya vidonda vyote vilivyosababishwa na uchaguzi huu, japo makovu yataendelea kubaki.
P
Ripoti inasema mzigo ulikuwa wa huru na haki.
Kwani kuna vidonda P?Asante, tunafuatilia kwa makini, na haswa hotuba yake ya leo, itaponya vidonda vyote vilivyosababishwa na uchaguzi huu, japo makovu yataendelea kubaki.
P
Hivi Maalim Sefu yuko wap anaruhusu vipi jamaa kuapishwa kirahisi.
Kwani kuna vidonda ? Mbona ameshinda vizuri tu. Uchaguzi ulikuwa huru, wenye haki na amani. Sio muda wa kuanza kuponya vidonda, ni muda wa kuendelea kutumbua majipu.Asante, tunafuatilia kwa makini, na haswa hotuba yake ya leo, itaponya vidonda vyote vilivyosababishwa na uchaguzi huu, japo makovu yataendelea kubaki.
P
Atafanya au afanye nini ?Hivi Maalim Sefu yuko wap anaruhusu vipi jamaa kuapishwa kirahisi.
Asante, tunafuatilia kwa makini, na haswa hotuba yake ya leo, itaponya vidonda vyote vilivyosababishwa na uchaguzi huu, japo makovu yataendelea kubaki.
P
Nuungwana anaingia madarakani kwa uchaguzi haramu.... Uungwana Siyo sura ya upole na maneno ya unyenyejevu. Ni matendo ya mtu.Mkuu gango2 , no sijaiona hotuba yake, ila mimi ni trends reader mzuri. Huyu Dr. Mwinyi namfahamu kitambo toka tukiwa Shule pale Tambaza, ni muungwana sana na mstaarabu sana. Hivyo kwa hali ya Zanzibar, atafanya tuu uungwana, atamteua Maalim Seif kuwa Makamu, na kwa vile ACT haina wajumbe wa kutosha kuunda GNU, atawateulia wawakilishi 5 wa ACT kuwa mawaziri wa GNU!.
P
Unamlazimisha au kumchagulia cha kuandika na kupenda unachopenda wewe,maneno makali yote ya nini?Huna unachoelewa SNITCH mkubwa. Nakudaharau sana pamoja na umri mkubwa ulionao umebaki omba omba usiye na mbele wala nyuma. Mama yake Erick ataendelea kukucharaza laana hadi siku ya kiyama.
Kada Pascal Mayalla naona mmefanikisha Nchi yetu kurudi kwenye mfumo wa chama kimoja ili furaha yenu ipate kutimilika.....Asante, tunafuatilia kwa makini, na haswa hotuba yake ya leo, itaponya vidonda vyote vilivyosababishwa na uchaguzi huu, japo makovu yataendelea kubaki.
P
Kwa yanayoendelea Maalim Seif kwa sasa hawezi tena kukataa cheo cha Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar.
Funzo alilipata mwaka 2015 baada ya kugomea uchaguzi wa marudio akitegemea serikali ya Mapinduzi Zanzibar itakwama.
Yaani kwa sasa atawatosa ACT-Wazalendo kama watamshinikiza asiwe sehemu ya serikali ya Dkt. Mwinyi.
ahaaaaaa msaka tonge kumbe upo, kumbe huyo gavana ni mate wako? hopeful hata kusahau kwenye ufalume wake, lakini najaribu kuvuta picha simkumbuki, huyu gavana alikuwa Tambaza ipi?? ya Kalumuna au ya Mushi? ya 'shetani', 'no mbungi' au ya puzza??Mkuu gango2 , no sijaiona hotuba yake, ila mimi ni trends reader mzuri. Huyu Dr. Mwinyi namfahamu kitambo toka tukiwa Shule pale Tambaza, ni muungwana sana na mstaarabu sana.
Hivyo kwa hali ya Zanzibar, atafanya tuu uungwana, atamteua Maalim Seif kuwa Makamu, na kwa vile ACT haina wajumbe wa kutosha kuunda GNU, atawateulia wawakilishi 5 wa ACT kuwa mawaziri wa GNU!.
P