Zanzibar 2020 Zanzibar: Hafla ya kuapishwa Rais mteule Awamu ya Nane, Dkt. Hussein Mwinyi Uwanja wa Amaan

Naomba Kujua kama Rais Wa Tanzania yuko kwenye shughuli ya kumuapisha Rais wa Zanzibar Maana Sio KAWAIDA KUKOSEKANA
 
Asante, tunafuatilia kwa makini, na haswa hotuba yake ya leo, itaponya vidonda vyote vilivyosababishwa na uchaguzi huu, japo makovu yataendelea kubaki.
P
Kwani kuna vidonda ? Mbona ameshinda vizuri tu. Uchaguzi ulikuwa huru, wenye haki na amani. Sio muda wa kuanza kuponya vidonda, ni muda wa kuendelea kutumbua majipu.
 
Asante, tunafuatilia kwa makini, na haswa hotuba yake ya leo, itaponya vidonda vyote vilivyosababishwa na uchaguzi huu, japo makovu yataendelea kubaki.
P

Makovu yalishaponywa na katiba yao na Amani na Maalim seif.
Huyu kaja kuturudisha miaka ya nyuma tena kwa chuki zaidi ya ilokuwepo wakati tunaanza vyama vingi.
Ni uchaguzi ulojaa maguvu na vitendo vya kinyama. Ni uchaguzi ambao hussein ili kumweka kutawala roho nyingi za Wazanzibari zimepotea huku mamia wakiumizwa na wengine mpaka leo hawajulikani walipo.

Hotuba gani ya maana ? Basi angalau angesema anaagiza viongozi wote wa kisiasa wanao shikiliwa waachiwe mara moja na wengine wanachama wa upinzani nao wachiwe huru na watu warudi majumbani kwao.

Angesema anajutia mauaji yaliotokea kwa jina lake na ataunda tume kuchunguza ukiukwaji wa haki za raia na wale wote walio husuka watachukuliwa hatua.

Hii ndo hotuba ya kusoma. Ila hotuba ya kuandikiwa na polepole always ni ya kuwafanya wazanziabri wakombane na kugombana kwa faida ya bara.

Na inacho sikitisha wakati akiapishwa baadhi ya vijiji pemba watu wanaendelea kupigwa ndani ya majumba yao.
Huyu ni mtihani.
By the way Magu kakimbia sherehe za kumuapisha puppet wake
 
Mkuu gango2 , no sijaiona hotuba yake, ila mimi ni trends reader mzuri. Huyu Dr. Mwinyi namfahamu kitambo toka tukiwa Shule pale Tambaza, ni muungwana sana na mstaarabu sana. Hivyo kwa hali ya Zanzibar, atafanya tuu uungwana, atamteua Maalim Seif kuwa Makamu, na kwa vile ACT haina wajumbe wa kutosha kuunda GNU, atawateulia wawakilishi 5 wa ACT kuwa mawaziri wa GNU!.
P
Nuungwana anaingia madarakani kwa uchaguzi haramu.... Uungwana Siyo sura ya upole na maneno ya unyenyejevu. Ni matendo ya mtu.
 
Huna unachoelewa SNITCH mkubwa. Nakudaharau sana pamoja na umri mkubwa ulionao umebaki omba omba usiye na mbele wala nyuma. Mama yake Erick ataendelea kukucharaza laana hadi siku ya kiyama.
Unamlazimisha au kumchagulia cha kuandika na kupenda unachopenda wewe,maneno makali yote ya nini?

Halafu mnapiga makelele uhuru wa kujieleza, sijui demokrasia, hivi mnajua maana yake au?
 
Kwa yanayoendelea Maalim Seif kwa sasa hawezi tena kukataa cheo cha Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar.

Funzo alilipata mwaka 2015 baada ya kugomea uchaguzi wa marudio akitegemea serikali ya Mapinduzi Zanzibar itakwama.

Yaani kwa sasa atawatosa ACT-Wazalendo kama watamshinikiza asiwe sehemu ya serikali ya Dkt. Mwinyi.

Nimeshindwa kufahamu ni kwa nini unaamini kuwa Seif Sharif hatoweza kukataa cheo cha umakamo? Funzo gani alilipata mwaka 2015?
Kwa maoni yangu endapo atakubali umakamo atakuwa amewaliti wale wote waliouliwa, kupigwa, kuwekwa vizuizini na kupotea wakati wote wa kampeni za kutaka ACT iingie madarakani zanzibar.
 
Yaani Ma CCM yana roho kutu kweli kweli, huko kunaitwa kuswali bila kutawaza!!!!!!, yaani li gavana linaapishwa huku vifaru na mizinga ipo mtaani inawatashia wenye nchi yao
 
Mkuu gango2 , no sijaiona hotuba yake, ila mimi ni trends reader mzuri. Huyu Dr. Mwinyi namfahamu kitambo toka tukiwa Shule pale Tambaza, ni muungwana sana na mstaarabu sana.

Hivyo kwa hali ya Zanzibar, atafanya tuu uungwana, atamteua Maalim Seif kuwa Makamu, na kwa vile ACT haina wajumbe wa kutosha kuunda GNU, atawateulia wawakilishi 5 wa ACT kuwa mawaziri wa GNU!.
P
ahaaaaaa msaka tonge kumbe upo, kumbe huyo gavana ni mate wako? hopeful hata kusahau kwenye ufalume wake, lakini najaribu kuvuta picha simkumbuki, huyu gavana alikuwa Tambaza ipi?? ya Kalumuna au ya Mushi? ya 'shetani', 'no mbungi' au ya puzza??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom