Uzinduzi wa Siku 16 za Uanaharakati Dhidi ya Ukatili wa Kijinsia 2023

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,988
F_wo4AZXgAA8oN5.jpg

Leo, Novemba 25, 2023 JamiiForums inashiriki katika uzinduzi wa Kampeni ya Siku 16 za Uanaharakati dhidi ya Ukatili wa Kijinsia yenye kaulimbiu "Wekeza Kuzuia Ukatili wa Kijinsia". Mgeni rasmi ni Dkt. Gwajima D , Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum

Siku 16 za Kupinga Ukatili Wa Kijinsia ni Kampeni ya Kimataifa inayoadhimishwa kuanzia Novemba 25 hadi Desemba 10 (Siku ya Haki za Binadamu) kila Mwaka ili kuongeza wito wa kutokomeza aina zote za Ukatili wa Kijinsia

Ukatili mwingi dhidi ya Wanawake/Wasichana unafanywa na Watu wa karibu ikiwemo Wenza wao au Wenza walioachana nao.

Kauli mbiu

Wekeza: Kuzuia Ukatili wa Kijinsia
, Kauli mbiu hii ni wito kwa kila mmoja wetu kutumia nafasi aliyonayo katika familia, jamii ama taasisi kuchukua hatua thabiti kuzuia vitendo vya ukatili wa kijinsia. Kaulimbiu hii pia inasisitiza jamii, taasisi za umma na za binafsi kuwa na hatua za makusudi za kuongeza ulinzi kwa wanawake na watoto dhidi ya ukatili wa kijinsia. Wito huu pia unasisitiza ya kwamba vitendo vya ukatili vinazuilika na kinga ni bora kuliko tiba.

CHIMBUKO
Chimbuko la Kampeni ya Siku 16 za Uanaharakati dhidi ya Ukatli wa Kijinsia ni vuguvugu la Wanaharakati Duniani kuelewesha Umma kuhusu uwepo mkubwa wa Ukatili Wa Kijinsia na kukemea Vitendo hivyo

Mauaji ya Kinyama yaliyofanyika Nchini Dominica dhidi ya Wasichana Watatu wa Familia moja Mirabal sisters wakiwa wanatetea Haki za Binadamu yalipeleka Umoja wa Mataifa kutenga Siku hii tangu Novemba 25, 1991 kuwa Siku ya kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake.

Siku 16 za kampeni
Ndani ya Siku 16 za Kampeni ya kupinga Ukatili Wa Kijinsia kuna Siku nyingine za Kimataifa za Haki Za Binadamu ambazo ni pamoja na Novemba 29 ambayo ni Siku ya Kimataifa ya Watetezi wa Haki za Binadamu Wanawake, Desemba 1 Siku ya UKIMWI Duniani, Desemba 3 Siku ya Watu wenye Ulemavu

Desemba 6 Siku ya kukumbuka mauaji ya kikatili ya Montreal Canada ya Mwaka 1989 ambapo Wanawake 14 waliokuwa wanasomea Uhandisi waliuawa na Mtu aliyekuwa anawachukia Wanawake na Desemba 10 Siku ya Tamko Rasmi la Haki za Binadamu

Siku hizi 16 zinatoa mwanga na msukumo kwa Watu, Serikali, Jamii na Watu binafsi kutambua kwamba ukatili dhidi ya Wanawake ni ukiukwaji wa Haki za Binadamu.

Ukatili dhidi ya wanawake na watoto wa kike bado ni mojawapo ya ukiukwaji wa haki za binadamu unaoshamiri na kudumu ulimwenguni. Licha ya nchi nyingi kupitisha sheria za kupambana na ukatili dhidi ya wanawake, utekelezaji dhaifu na mila za kijamii zenye ubaguzi bado ni matatizo makubwa. Kwa kulinganisha kimataifa, wanawake wapatao milioni 736 - karibu mmoja kati ya watatu - wameshuhudia ukatili wa kimwili na/au wa kingono kutoka kwa wenzi wao, ukatili wa kingono usiohusiana na uhusiano wa kimapenzi, au vyote hivyo, angalau mara moja katika maisha yao.

Ukatili dhidi ya wanawake umekuwa mkubwa katika mazingira mbalimbali, ikiwa ni pamoja na sehemu za kazi na nafasi za mtandaoni. Utafiti wa kimataifa uliofanywa na Economist Intelligence Unit uligundua kwamba asilimia 38 ya wanawake wameshawahi kupata uzoefu wa ukatili mtandaoni, na asilimia 85 ya wanawake wanaotumia muda wao mtandaoni wameshuhudia ukatili wa kidigitali dhidi ya wanawake wenzao.

Utafiti mwingine uliofanywa kimataifa kuhusu wanawake wanaofanya kazi katika sekta ya teknolojia ulibaini kwamba asilimia 44 ya wanawake waanzilishi walipata aina fulani ya unyanyasaji kazini mwaka 2020, ambapo asilimia 41 ya wanawake walipata unyanyasaji wa kijinsia.

Zaidi ya hayo, janga la COVID-19, mizozo, na mabadiliko ya hali ya hewa vimeongeza zaidi Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto wa Kike (VAWG), vikichochea changamoto zilizokuwepo awali na kuzalisha vitisho vipya na vinavyojitokeza. Kutokuwa na uhakika wa kiuchumi, maisha yaliyosambaratika, na ulinzi wa kijamii uliopunguzwa bado unaendelea kuongeza uwezekano wa wanawake na wasichana kukumbwa na ukatili.

Ukatili unavyoathiri afya na ustawi wa kimwili na kiakili wa wanawake kwa kila hatua ya maisha yao na kuathiri maendeleo yao kitaalamu na uwezeshaji kiuchumi. Ukatili dhidi ya wanawake pia una matokeo makubwa kijamii na kiuchumi kwa familia, jamii, na jamii nzima, na kuzuia kufikia maendeleo endelevu.

Utafiti mpya wa IMF katika eneo la Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara unaonyesha jinsi ukatili dhidi ya wanawake na wasichana unavyohatarisha maendeleo ya kiuchumi katika eneo hilo. Ongezeko la ukatili dhidi ya wanawake kwa asilimia 1 linahusishwa na kupungua kwa asilimia 9 katika shughuli za kiuchumi.

Mwajiri au Mtu mwenye Cheo kutumia Mamlaka yake kumshawishi Mwajiriwa au aliyechini yake kimamlaka kushiriki naye Vitendo vya Ngono kwa ahadi za Upendeleo Kazini au Kupandishwa Cheo ni Rushwa Ya Ngono

Aina hii ya Rushwa haitumii fedha au vitu kushawishi ila hutumia nguvu ya kisaikolojia
kumshawishi Mhanga kutoa mwili wake Kingono ili kupata Upendeleo kama Safari za Kikazi, Unafuu wa Kazi, Kutoadhibiwa kwa Makosa mbalimbali nk, ambapo mara nyingi Wahanga ni Wanawake
 
HALI YA UKATILI WA KIJINSIA NCHINI TANZANIA

Kwa mujibu wa ripoti ya Utafiti wa hali ya idadi ya Watu na Afya, 2022 (Tanzania Demographic Health Survey, 2022) inaonyesha kuwa 27% ya wanawake wenye umri kati ya miaka 15-49 wamekumbwa na vitendo vya ukatili wa kimwili kuanzia walipokuwa na miaka 15 huku 21% wakiwa wamewahi kukumbana na vitendo vya ukatili wa kingono. Kwa upande wa ukatili majumbani, 39% ya wanawake waneripoti kukumbana na vitendo vya ukatili kutoka kwa wenza wao wa sasa ama waliopita. Pia ripoti inaonyesha vitendo vya ukeketaji ni 8%

Uwepo wa vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa kiasi kikubwa unachangiwa na mfumo dume na kukosekana kwa uangalifu wa mgawanyo wa majukumu ya kijamii baina ya wanawake na wanaume. Hali hii pia hupelekea wanawake kushindwa kushiriki katika fursa mbalimbali kama vile za kiuchumi na uongozi na kuchochea zaidi ukandamizwaji.

Umasikini pia, hutajwa kuchochea vitendo vya ukatili wa kijinsia mathalani vitendo vya ukeketaji na ndoa za utotoni.
 
Profesa Anna Tibaijuka

Profesa Anna Tibaijuka akishiriki katika mjadala amesema kuwa Ubaguzi wa Wanawake katika Siasa unaanzia kwenye Vyama vya Siasa. Hivyo amevitaka vyama vya siasa kutoa fursa sawa na kuwawezasha wanawake kuhsiriki katika siasa, akitolea mfano yeye kuwa alipewa fursa na chama kugombea jimbo la Muleba Magharibi na akapita bila kupingwa.

Pia, kuna mahali pa Kazi ambapo Mwanamke anaweza akayumba sana, kuna Majaji, Wachumi, Wanasheria na wengineo nao wana mambo ambayo wanaweza kusimulia wanayokumbana nayo Kazini.

Profesa Tibaijuka akizungumzia kuhusu walemavu amesema kuwa Kila mmoja wetu ni Mlemavu mtarajiwa kama Mungu akipenda, hivyo hatupaswi kulisahau kundi hili la walemavu. Ni kundi linalohitaji uwezeshaji maalumu hasa mahali pa Kazi.

Amewataja wanawake wanaofanya biashara ya kuuza mwili kama kundi maalum la kijamii, akitolea mfano wa madanguro yaliyovunjwa hivi karibuni amesema 'Nimeona juzi kati harakati za kufunga Madanguro lakini imeshindikana kwasababu hili nalo ni kundi maalum. Tuache kuliaangalia hili kama ni tatizo linalohusu Wanawake

Mwisho amelizungumzia kundi la wanaume kwa kusema 'Mtoto wa Kiume naye yupo kwenye Hali hatarishi, naona kasumba za Takwimu kila wakati tunaongelea kwamba Wanawake ni wengi kuliko Wanaume. Wanaume wana presha kubwa, 'Bachelors' wengi wanakosa uwezo unaohitajika katika kuunda Familia. Kadiri Wavulana wanavyoendelea kukua kuanzia Shule ya Msingi huko ndio wanavyozidi kupotea, wengine wako Mtaani na wengine wapo Ukonga(Gerezani). Hivyo, Jamii imejisahau kutambua kwamba Wanaume wapo kwenye Presha kubwa sana.
 
Leo, Novemba 25, 2023 JamiiForums inashiriki katika uzinduzi wa Kampeni ya Siku 16 za Uanaharakati dhidi ya Ukatili wa Kijinsia yenye kaulimbiu "Wekeza Kuzuia Ukatili wa Kijinsia". Mgeni rasmi ni Dkt. Gwajima D , Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum

Siku 16 za Kupinga Ukatili Wa Kijinsia ni Kampeni ya Kimataifa inayoadhimishwa kuanzia Novemba 25 hadi Desemba 10 (Siku ya Haki za Binadamu) kila Mwaka ili kuongeza wito wa kutokomeza aina zote za Ukatili wa Kijinsia

Ukatili mwingi dhidi ya Wanawake/Wasichana unafanywa na Watu wa karibu ikiwemo Wenza wao au Wenza walioachana nao.

Kauli mbiu

Wekeza: Kuzuia Ukatili wa Kijinsia
, Kauli mbiu hii ni wito kwa kila mmoja wetu kutumia nafasi aliyonayo katika familia, jamii ama taasisi kuchukua hatua thabiti kuzuia vitendo vya ukatili wa kijinsia. Kaulimbiu hii pia inasisitiza jamii, taasisi za umma na za binafsi kuwa na hatua za makusudi za kuongeza ulinzi kwa wanawake na watoto dhidi ya ukatili wa kijinsia. Wito huu pia unasisitiza ya kwamba vitendo vya ukatili vinazuilika na kinga ni bora kuliko tiba.

CHIMBUKO
Chimbuko la Kampeni ya Siku 16 za Uanaharakati dhidi ya Ukatli wa Kijinsia ni vuguvugu la Wanaharakati Duniani kuelewesha Umma kuhusu uwepo mkubwa wa Ukatili Wa Kijinsia na kukemea Vitendo hivyo

Mauaji ya Kinyama yaliyofanyika Nchini Dominica dhidi ya Wasichana Watatu wa Familia moja (Mirabell Sisters) wakiwa wanatetea Haki za Binadamu yalipeleka Umoja wa Mataifa kutenga Siku hii tangu Novemba 25, 1991 kuwa Siku ya kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake.

Siku 16 za kampeni
Ndani ya Siku 16 za Kampeni ya kupinga Ukatili Wa Kijinsia kuna Siku nyingine za Kimataifa za Haki Za Binadamu ambazo ni pamoja na Novemba 29 ambayo ni Siku ya Kimataifa ya Watetezi wa Haki za Binadamu Wanawake, Desemba 1 Siku ya UKIMWI Duniani, Desemba 3 Siku ya Watu wenye Ulemavu

Desemba 6 Siku ya kukumbuka mauaji ya kikatili ya Montreal Canada ya Mwaka 1989 ambapo Wanawake 14 waliokuwa wanasomea Uhandisi waliuawa na Mtu aliyekuwa anawachukia Wanawake na Desemba 10 Siku ya Tamko Rasmi la Haki za Binadamu

Siku hizi 16 zinatoa mwanga na msukumo kwa Watu, Serikali, Jamii na Watu binafsi kutambua kwamba ukatili dhidi ya Wanawake ni ukiukwaji wa Haki za Binadamu.
Report inaegemea upande wa jinsia moja tu. Duniani kuna jinsia tatu. Lakini mara nyingi riport za haki za Binadamu hutolewa zikilenga jinsia ya kike tu ilehali kuna jinsia ya kiume na jinsiatatu yaani mtu ana jinsia zote mbili. Leo kuna wimbi kubwa la kulawiti watoto wa kiume, kuna wanaume wengi wanapigwa na wenzi wao au wake zao, kuna wanaume wengi wameachiwa majukumu yote katika familia hata kama mwanamke ana kipato...hachangii chochote kwenye familia hata kama mama ana kipato. Kuna sheria ifike mahali zibadilishwe kabisa. Sheria inayomtaka mwanaume ndo awe mtimiza majukumu yote ya familia na kwamba pesa zake ni za familia ila za mwanamke siyo za familia ifutwe tu ama ibadilishwe. Hakuna aliyekuja Dunia kukaa tu ili alishwe na mwingine ama kutimiziwa majukumu yake. Hii pia siyo haki ya Binadamu.
 
Report inaegemea upande wa jinsia moja tu. Duniani kuna jinsia tatu. Lakini mara nyingi riport za haki za Binadamu hutolewa zikilenga jinsia ya kike tu ilehali kuna jinsia ya kiume na jinsiatatu yaani mtu ana jinsia zote mbili. Leo kuna wimbi kubwa la kulawiti watoto wa kiume, kuna wanaume wengi wanapigwa na wenzi wao au wake zao, kuna wanaume wengi wameachiwa majukumu yote katika familia hata kama mwanamke ana kipato...hachangii chochote kwenye familia hata kama mama
 
Leo, Novemba 25, 2023 JamiiForums inashiriki katika uzinduzi wa Kampeni ya Siku 16 za Uanaharakati dhidi ya Ukatili wa Kijinsia yenye kaulimbiu "Wekeza Kuzuia Ukatili wa Kijinsia". Mgeni rasmi ni Dkt. Gwajima D , Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum

Siku 16 za Kupinga Ukatili Wa Kijinsia ni Kampeni ya Kimataifa inayoadhimishwa kuanzia Novemba 25 hadi Desemba 10 (Siku ya Haki za Binadamu) kila Mwaka ili kuongeza wito wa kutokomeza aina zote za Ukatili wa Kijinsia

Ukatili mwingi dhidi ya Wanawake/Wasichana unafanywa na Watu wa karibu ikiwemo Wenza wao au Wenza walioachana nao.

Kauli mbiu

Wekeza: Kuzuia Ukatili wa Kijinsia
, Kauli mbiu hii ni wito kwa kila mmoja wetu kutumia nafasi aliyonayo katika familia, jamii ama taasisi kuchukua hatua thabiti kuzuia vitendo vya ukatili wa kijinsia. Kaulimbiu hii pia inasisitiza jamii, taasisi za umma na za binafsi kuwa na hatua za makusudi za kuongeza ulinzi kwa wanawake na watoto dhidi ya ukatili wa kijinsia. Wito huu pia unasisitiza ya kwamba vitendo vya ukatili vinazuilika na kinga ni bora kuliko tiba.

CHIMBUKO
Chimbuko la Kampeni ya Siku 16 za Uanaharakati dhidi ya Ukatli wa Kijinsia ni vuguvugu la Wanaharakati Duniani kuelewesha Umma kuhusu uwepo mkubwa wa Ukatili Wa Kijinsia na kukemea Vitendo hivyo

Mauaji ya Kinyama yaliyofanyika Nchini Dominica dhidi ya Wasichana Watatu wa Familia moja (Mirabell Sisters) wakiwa wanatetea Haki za Binadamu yalipeleka Umoja wa Mataifa kutenga Siku hii tangu Novemba 25, 1991 kuwa Siku ya kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake.

Siku 16 za kampeni
Ndani ya Siku 16 za Kampeni ya kupinga Ukatili Wa Kijinsia kuna Siku nyingine za Kimataifa za Haki Za Binadamu ambazo ni pamoja na Novemba 29 ambayo ni Siku ya Kimataifa ya Watetezi wa Haki za Binadamu Wanawake, Desemba 1 Siku ya UKIMWI Duniani, Desemba 3 Siku ya Watu wenye Ulemavu

Desemba 6 Siku ya kukumbuka mauaji ya kikatili ya Montreal Canada ya Mwaka 1989 ambapo Wanawake 14 waliokuwa wanasomea Uhandisi waliuawa na Mtu aliyekuwa anawachukia Wanawake na Desemba 10 Siku ya Tamko Rasmi la Haki za Binadamu

Siku hizi 16 zinatoa mwanga na msukumo kwa Watu, Serikali, Jamii na Watu binafsi kutambua kwamba ukatili dhidi ya Wanawake ni ukiukwaji wa Haki za Binadamu.
Gekul awe mgeni rasmi
 
Watoto watetewe bila kujali jinsia. Hili ni kundi linalohitaji msaada zaidi kuliko hata wanawake, cha kushangaza wanawake wanaangaliwa zaidi kuliko watoto, watoto wa kike wanaangaliwa zaidi kuliko wa kiume, tunasahau mtoto anakutana na ukatili toka pande zote, ya mama, baba, pamoja na mtoto mwenzie.
 
Ukatilio huo wanaofanyiw ni wanawake tuu kwa muktadha wa poster yako (pcha
 
Duniani taasisi hizo zipo na zinasaidia haswa na tunachangia sana tu
Sio moja bali za kila aina mpaka za haki za wanyama na wanasaidiwa kwa kila kitu

Kwa nchi masikini unakuta wanajionyesha kimataifa kuwa wameshiriki lakini hakuna msaada wowote wanaoupata
Kwa mfano mwanamke au mtoto anapigwa au kulawitiwa au kubakwa hajui pa kukimbilia zaidi ya polisi

Ila Police wengi wanaogopa na ndio maana taasisi hizi zinapoingia na kusaidia na pia mhanga anakuwa na amani kwenda kujieleza kwa hizo taasisi

Lakini hizo taasisi pia zinakuwa na makusanyo ya hela kutoka kwa wananchi wakisaidia kuendeleza huduma hizo mpaka kunakuwa na nyumba za kuwaweka bure pindi wanapopata matatizo mpaka wanaposuluhisha mambo

Ila pia hizi taasisi zinasaidiwa na wafadhili na Taasisi kubwa duniani na wanapewa hela ndefu sana lakini kama zinafika na hazisaidii watu haya maneno ni bure kabisa

Zinatakiwa taasisi za kusaidia kwa hali na mali na wanaofanya ukatili wafikishwe mahakamani haraka

Mtu kwenda polisi ni lazima apelekwe na hizo taasisi sio kwenda mwenyewe maana wanakutana na mengine huko
La mwisho natamani niwe msaada mkubwa kwa hawa watoto wanaoonewa kila kukicha
 
Report inaegemea upande wa jinsia moja tu. Duniani kuna jinsia tatu. Lakini mara nyingi riport za haki za Binadamu hutolewa zikilenga jinsia ya kike tu ilehali kuna jinsia ya kiume na jinsiatatu yaani mtu ana jinsia zote mbili. Leo kuna wimbi kubwa la kulawiti watoto wa kiume, kuna wanaume wengi wanapigwa na wenzi wao au wake zao, kuna wanaume wengi wameachiwa majukumu yote katika familia hata kama mwanamke ana kipato...hachangii chochote kwenye familia hata kama mama ana kipato. Kuna sheria ifike mahali zibadilishwe kabisa. Sheria inayomtaka mwanaume ndo awe mtimiza majukumu yote ya familia na kwamba pesa zake ni za familia ila za mwanamke siyo za familia ifutwe tu ama ibadilishwe. Hakuna aliyekuja Dunia kukaa tu ili alishwe na mwingine ama kutimiziwa majukumu yake. Hii pia siyo haki ya Binadamu.
Ipo miaka yaja mbeleni, hii hii kampeni itakuwa kuwanusuru wanaume kutoka kwenye manyanyaso ya wanawake.

Mfano mzuri nchi jirani Tu ya Kenya, Hali si Hali.

Nishauri Tu hili dawati, badala ya kuweka nguvu nyingi kumuinua mwanamke ktk Nyanja zote za kimaisha, ingekuwa Bora zaidi kama ingetumika namna ya kuweka uwiano sawa kuanzia ngazi ya chini Hadi mwisho.
 
Back
Top Bottom