Za Lameck zinahesabika?

Za Lameck zinahesabika?

Unasemaje?
First Ignite Your Soul.jpeg
 
Hapa kuna tofauti mbili kwenye lugha adhimu ya kiswahili
1. Za mwizi ni 40..❗ Hii ni taarifa❗
2.Zako zinahesabika..❗ Hii ni tahadhari❗

Haya mawili.. Taarifa na tahadhari havinaga mwisho mwema❗

Unapochokwa kwasababu zozote zile.. Kama kikomo cha faida yao kwao.. Ama kuingilia yasiyokuhusu❗ Ama kuota mapembe❗
Unaweza kutengenezewa utaratibu wa kutolewa kwenye circle❗

Huo utaratibu unaweza kuwa mnyoofu ama uliojaa mbigili na moja tu ikikuchoma waja wanaanua Tanga❗Maisha yanasonga

Nice kama vile huyu amekuwa kwenye mstari mwekundu(danger zone)❗Tangu yule aliponyakuliwa
Umbea na radio mbao za hapa na pale vinasema ameshanusurika (off targets) zisizopungua 2❗

Hii mpya ni comeback ya kinyumembele na wake up call kwamba bado tuko na wewe! ❗❕
Jitoe kwa hiari ama kaza fuvu tulipasue.❗

Eti wanasema kenge hawezi kusikia mpaka damu imtoke masikioni.❗Hawa hawakutoi damu tuu.. Watakutoa na sifongo❗🤷🏿‍♂🙌🏿
Anyway sisi acha tuendelee kunywa mtori, nyama tutazikuta chini.. lakini kwa hali ilivyo December mbali❗
View attachment 3682549
Hii ndio maana halisi ya platinum member...

Hoja inadadavuliwa taratibu na kiwerevu,kiweredi kama hivi
 
Back
Top Bottom