Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 21,438
- 56,283
Nitumie link PM ni downloadHapana sina na mimi nimeona mjini x
Nitumie link PM ni downloadHapana sina na mimi nimeona mjini x
Iko hivo ukisha ingia mikononi mwa mtu kama mafwele basi tena.Ndio hivyo unae mtumia unahisi ni mdau mwenzio nae ajionee live, kumbe ni mfanyakazi wa Fwele boi.
Wee, 😂😂😂😂
😄😄😄Nitumie link PM ni download
Hata kuagwa hamna ,,unakuwa chakula Cha viumbe bahariniIko hivo ukisha ingia mikononi mwa mtu kama mafwele basi tena.
Kwaheri yakuonana 😅
Hapana sina nenda mjini xNitumie link PM ni download
Hapo sasa, 😂😂😂Iko hivo ukisha ingia mikononi mwa mtu kama mafwele basi tena.
Kwaheri yakuonana 😅
Umeona eeh? 😂😂😂Hata kuagwa hamna ,,unakuwa chakula Cha viumbe baharini
Syo umalaya mkuu ,watu Wana uchu wa madaraka ,ukiwa ndani ya CCM kukikucha upo na nafasi yako mshukru Mungu ,nafasi za juu ni za motoUtawala wa sasa wanashindana u.m.a.l.a.y.a tu.
Kazi ni kipimo cha utu
Madelu kwa kinyiramba ni mandevuMadelu Majenereta
Niingie account gani ?Hapana sina nenda mjini x
Hata kuagwa hamna ,,unakuwa chakula Cha viumbe baharini
Hao kina mafwele ni Perpetrators of extrajudicial killings.Umeona eeh? 😂😂😂
Ni kawaida sanaaaa, nimeshakuwa na mamalaya kadhaa wana namba za wabunge wengi tu na wanapita naoImagine changudoa anakuwa na audacity ya kutuma video kwa mbunge. Sio changudoa wa kawaida.
Ashuum mamba anakutafna mzima mzima anaanzia utumbo au miguu ,hayo maumivu yake sasa.Umeona eeh? 😂😂😂
Yaan acha tu kwa kweli. WeeAshuum mamba anakutafna mzima mzima anaanzia utumbo au miguu ,hayo maumivu yake sasa.
Ili ufanye hivyo kupiga picha na kupost ,wewe kama wewe unatakiwa ulipwe shingap.vaa huo kuhusika?Yaan acha tu kwa kweli. Wee