Za Lameck zinahesabika?

Za Lameck zinahesabika?

Kwenye dunia ya ujasusi.. Kitengo kina taarifa kamili za kila mhusika
Hobby zako
Matamanio yako
Udhaifu wako..nknk!
Kupitia faili lako ni rahisi mno kukutengeneza watakavyo🙌🏿🤔

Kama wewe ni mgonjwa wa chuchu mwiba unalengeshwa hukohuko.. Ukimaliza kunona dakika 20 nyingi.. Unaachwa unavuruga kimoko baada ya hapo unavurugikiwa❗🙌🏿😂 Unaweza kupigwa mpaka finga na usijue🤔🤣
Niwekee bideo kuna nini mbona mmeniaxha kwenye mataa ubungo
 
Hapa kuna tofauti mbili kwenye lugha adhimu ya kiswahili
1. Za mwizi ni 40..❗ Hii ni taarifa❗
2.Zako zinahesabika..❗ Hii ni tahadhari❗

Haya mawili.. Taarifa na tahadhari havinaga mwisho mwema❗

Unapochokwa kwasababu zozote zile.. Kama kikomo cha faida yao kwao.. Ama kuingilia yasiyokuhusu❗ Ama kuota mapembe❗
Unaweza kutengenezewa utaratibu wa kutolewa kwenye circle❗

Huo utaratibu unaweza kuwa mnyoofu ama uliojaa mbigili na moja tu ikikuchoma waja wanaanua Tanga❗Maisha yanasonga

Nice kama vile huyu amekuwa kwenye mstari mwekundu(danger zone)❗Tangu yule aliponyakuliwa
Umbea na radio mbao za hapa na pale vinasema ameshanusurika (off targets) zisizopungua 2❗

Hii mpya ni comeback ya kinyumembele na wake up call kwamba bado tuko na wewe! ❗❕
Jitoe kwa hiari ama kaza fuvu tulipasue.❗

Eti wanasema kenge hawezi kusikia mpaka damu imtoke masikioni.❗Hawa hawakutoi damu tuu.. Watakutoa na sifongo❗🤷🏿‍♂🙌🏿
Anyway sisi acha tuendelee kunywa mtori, nyama tutazikuta chini.. lakini kwa hali ilivyo December mbali❗
View attachment 3682549
Mshana Acha utani kabla ya kuutupa makoneksheni huo ni uoongooo🤸
 
Back
Top Bottom