Yusuf Manji amshitaki Reginald Mengi, adai fidia Sh1/-

Yusuf Manji amshitaki Reginald Mengi, adai fidia Sh1/-

Mwanakijiji,

Wewe sio mwanasheria na unayoandika hapo labda kwa faida ya kijuweni.

well well well;

Kwenye case kama hii Manji hata hana haja ya kutoa ushahidi kwahiyo yeye hawezi kuulizwa kitu chochote. Mwanasheria wao anaweza kutoa video tu ya siku Mengi alipotoa hizo tuhuma.

Mengi ndiye anatakiwa kuthibitisha madai yake. Pia mahakama ina uwezo wa kuamua kama ushahidi unaotaka utolewe je una faida kwenye case husika? Ili kujua Manji ndiye alirudisha pesa lazima uwe na ushahidi wa hivyo ambao umepatikana kihalali, je utautoa wapi? Ndio maana ni rahisi kwa serikali kwenye cases kama hizi na wala sio mtu binafsi.

na hapa anazungumza mwanasheria?

Ukiongelea kiushabiki ni rahisi mno lakini cases haziendeshwi kwa ushabiki, zinaendeshwa kwa kufuata sheria.

Kama mtu anafikiri hii case itafungulia madhambi ya akina Manji, mnaweza kuja kuwa dissapointed kweli kweli.

sheria gani inafuatwa wakati nimesema sheria inayofuatwa ni ipi.. sijui ni kitu gani kinawafanya mfikiri sheria ya Tanzania haipi nguvu mahakama kwenye kesi za madai kuita mashahidi au kuitisha ushahidi.. somebody show me mtu ambaye siyo mwanasheria. Naomba mwanasheria anioneshe please.
 
Naomba mnioneshe sheria inayosema kuwa Mahakama ya Tanzania haiwezi kuingilia kati Manji au Mengi kwenye kesi ya madaia; na ya kuwa haina nguvu ya kuita mashahidi au kuitisha ushahidi. Please do nitakubali.. maana naambiwa naangika kiushabiki na ya kuwa sheria haiko upande wangu. Mimi nasimamia Civil Procedure Code ya 1966 (sheria namba 49). So help me out.

But I boldly accuse you guys to have errered in law and in fact. Hoja zenu hazina msingi wa sheria zaidi ya hisia tu. Correct me If I'm wrong. Mnaweza kuita majina au vyovyote vile but the law is not on your side. Please do.
 
Wewe umei cite hiyo sheria kuunga mkono hoja yako. Wao wanahoji kulingana na nini?
 
Mkuu,
Nitajaribu kukujibu kama ifuatavyo:
1.Kwenye gharama au viwango - mdai hawezi kulazimishwa kupewa asichoomba.Yeye kaomba kiwango hicho japo anayo haki ya kudai kikubwa zaidi na ukubwa utaamuliwa kufuatana/kulingana na " thamani" yake au hasara atakayoweza kuipata kwa kukashifiwa au kuchafuliwa.( kwa kifupi sana)
2.Kwamba naamini au siamini iwapo Manji anatumia haki yake kisheria au ana lake jambo - I reserve my comments on this one.
Asante!

Lakini mara nyingi gharama za kuendesha kesi zinalipwa na mdaiwa kama akishindwa

Inawezekana Manji anadai fidia ya Sh.1 na gharama za kesi

Ikumbukwe gharama za kesi zinaweza kufika hadi bilioni 8 kama ukitumia wale mawakili wetu walioisimamia BoT
 
Naomba mnioneshe sheria inayosema kuwa Mahakama ya Tanzania haiwezi kuingilia kati Manji au Mengi kwenye kesi ya madaia; na ya kuwa haina nguvu ya kuita mashahidi au kuitisha ushahidi. Please do nitakubali.. maana naambiwa naangika kiushabiki na ya kuwa sheria haiko upande wangu. Mimi nasimamia Civil Procedure Code ya 1966 (sheria namba 49). So help me out.

But I boldly accuse you guys to have errered in law and in fact. Hoja zenu hazina msingi wa sheria zaidi ya hisia tu. Correct me If I'm wrong. Mnaweza kuita majina au vyovyote vile but the law is not on your side. Please do.
nADHANI NI KUELEWA TU TOFAUTI ya mamlaka na wajibu wa Mahakama katika Civil na criminal cases.Kufuatana na hiyo CPC uliyoitaja, principles za sheria ya mwenendo wa daawa ni very clear na nitazitaja kwa kifupi:
- Use of adversarial principle where parties to the suit are responsible for the case
-from the adversarial principle - comes formative rules which are 1.parties investigation since court will not do that 2.parties to prosecute or argue their case and the court will not assist ( this includes calling witnesses) 3. Court will then come up with a decision based on rule 1 and 2.
Kama tutaendelea kubishana tena basi labda hatujadili hii sheria ya Civil Procedure
 
nADHANI NI KUELEWA TU TOFAUTI ya mamlaka na wajibu wa Mahakama katika Civil na criminal cases.Kufuatana na hiyo CPC uliyoitaja,

Sidhani kama ni uelewa tofauti naamini kutokuelewa kitu kilichodhahiri. Unaposema "Mahakama" inategemea unazungumzia ya wapi. Mimi nazungumzia ya Tanzania. Sasa mahakama ya Tanzania kwenye Civil Law inaongozwa na hiyo sheria hapo (CPC). Sasa, tujikite kwenye mahakama ya Tanzania.. tukiangalia mengine tutajikuta tunazunguka hapa hapa hatuendi.

principles za sheria ya mwenendo wa daawa ni very clear na nitazitaja kwa kifupi:
- Use of adversarial principle where parties to the suit are responsible for the case
-from the adversarial principle - comes formative rules which are 1.parties investigation since court will not do that 2.parties to prosecute or argue their case and the court will not assist ( this includes calling witnesses) 3. Court will then come up with a decision based on rule 1 and 2.
Kama tutaendelea kubishana tena basi labda hatujadili hii sheria ya Civil Procedure

This is a classic red erring.. hatujabishana juu ya princiiples za civil procedure. Tumezungumzia a specific issue ambayo wewe umekubaliana na Dillunga kuwa mahakama za Tanzania kwenye civil case hazina nguvu za kuitisha ushahidi au kulamizisha mashahidi. Mimi nimesema wote wa tatu (na Mtanzania) mmekosea.

Matokeo yake ninaambiwa siyo mwanasheria na kuwa nazunguka kwa jazba. Nashukuru wewe unazungumza kiungwana zaidi bila ad hominem..

Swali kwako: Je Mahakama ya Tanzania katika kufuata sheria za Tanzania kwenye kesi ya Madai (kama hii ya Manji Vs. Mengi) inaweza:

a. Kuita ushahidi
b. Kuita mashahidi
c. Ku compel both of them?

Jibu siyo suala la principles of criminal procedure. Ni kwamba haina nguvu hizo au inazo.

Vyovyote utakavyojibu utakuwa mwisho wa mjadala wangu. Maana tutaanza kutoka nje ya hoja iliyoibuliwa hapa.
 
It doesn't get any clearer than that!!!!
 
Sidhani kama ni uelewa tofauti naamini kutokuelewa kitu kilichodhahiri. Unaposema "Mahakama" inategemea unazungumzia ya wapi. Mimi nazungumzia ya Tanzania. Sasa mahakama ya Tanzania kwenye Civil Law inaongozwa na hiyo sheria hapo (CPC). Sasa, tujikite kwenye mahakama ya Tanzania.. tukiangalia mengine tutajikuta tunazunguka hapa hapa hatuendi.

This is a classic red erring.. hatujabishana juu ya princiiples za civil procedure. Tumezungumzia a specific issue ambayo wewe umekubaliana na Dillunga kuwa mahakama za Tanzania kwenye civil case hazina nguvu za kuitisha ushahidi au kulamizisha mashahidi. Mimi nimesema wote wa tatu (na Mtanzania) mmekosea.

Matokeo yake ninaambiwa siyo mwanasheria na kuwa nazunguka kwa jazba. Nashukuru wewe unazungumza kiungwana zaidi bila ad hominem..

Swali kwako: Je Mahakama ya Tanzania katika kufuata sheria za Tanzania kwenye kesi ya Madai (kama hii ya Manji Vs. Mengi) inaweza:

a. Kuita ushahidi
b. Kuita mashahidi
c. Ku compel both of them?

Jibu siyo suala la principles of criminal procedure. Ni kwamba haina nguvu hizo au inazo.

Vyovyote utakavyojibu utakuwa mwisho wa mjadala wangu. Maana tutaanza kutoka nje ya hoja iliyoibuliwa hapa.
Mkuu,
1.Mimi kama wewe sote tunazungumzia sheria za Tanzania - specifically CPC - Which is the applicable law.
2. Hizi principles na rules sijazitoa pengine isipokuwa kwenye CPC hiyo hiyo na any practicing lawyer anaweza kuthibitisha hili
3.Principles hizi ndizo zinazoongoza mwenendo wa daawa ( civil cases) kama Manji vs Mengi - hawatatumia sheria tofauti kwenye procedure
4.from 1-3 ndipo penye jibu kwa maswali yako matatu uliyouliza.Kwa kifupi Mahakama itakachofanya ni kuandika summons kwa mashahidi watakaotakiwa na wenye kesi na hao mashahidi wasipokuja uamuzi utafanyika bila wao.Na hao mashahidi wanatakiwa watoe ushahidi relevant to the matter in court.
I rest my case
 
4.from 1-3 ndipo penye jibu kwa maswali yako matatu uliyouliza.Kwa kifupi Mahakama itakachofanya ni kuandika summons kwa mashahidi watakaotakiwa na wenye kesi

Kwamba mahakama inaweza kuingilia kati na kuita mashahidi kwa vile ina nguvu. Very good!

na hao mashahidi wasipokuja uamuzi utafanyika bila wao.

are you suggesting kuwa wanaweza kukaidi amri hiyo ya mahakama (summons) without consequences? Kwamba wana hiari kuja au kutokuja?

Na hao mashahidi wanatakiwa watoe ushahidi relevant to the matter in court.

This even a first day student of law anaelewa.. you can't go and testimony of something irrelevant to the case!

I rest my case

you tried, but not so fast. I probably should rest mine.
 
"25. Subject to such conditions and limitations as may be prescribed,
the court may, at any time, either of its own motion or oft application
of any party-
(a) make such orders as may be necessary or reasonable, in all
matters relating to the delivery and answering of interrogatories,
the admission of documents and facts, and the discovery, inspection,
production, impounding , and return of documents or other,
material objects producible as evidence;"

Hicho kipengele kinahusu orders kuhusiana na discovery and admission of evidence na interrogatories. Hizo orders zinatolewa na jaji throughout the case. Siyo witness subpoena hizo.

26. The Provisions of sections 23 and 24 shall apply to summonses
witness to give evidence or to produce documents or other material objects.

Hicho kipengelea kinaongelea section 23 and 24, haki "pigilii misumari section 25" kama ulivyosema, bali kinaongelea section 23 an 24 ambavyo ni kuhusu defendant summons na siyo witness subpoena.

27. The court may compel the attendance of any person to whom
a summons has been issued under section 25 and for that purpose may-
Penalty for
default
(a) issue a warrant for his arrest;
(b) attach and sell his property;
(c) impose a fine upon him not exceeding one thousand shillings;
(d) order him to furnish security for his appearance and in default
commit him as a civil prisoner.

Hicho kipengele hakisomeki chenyewe, kinaenda pamoja na kipengele 25. Kipengele hicho kinahusiana na witness "who is required to attend," not just any old Joe. Statutory construction hazisomeki kama tafsiri ya kitabu cha tamthiliya.
 
Dilunga,

Kuna watu hapa tunasoma sheria kama novel na ndio matatizo yake.

Mimi sio mwanasheria na ninafurahi kuelemishwa hapa. Hakuna makosa makubwa kama ku quote sheria kama ilivyo unless ni mwansheria ambaye tayari umeshaitumia, vinginevyo wengine tunachangamsha genge tu hapa.
 
...Siyo witness subpoena hizo.

Hicho kipengelea kinaongelea section 23 and 24, haki "pigilii misumari section 25" kama ulivyosema, bali kinaongelea section 23 an 24 ambavyo ni kuhusu defendant summons na siyo witness subpoena.

Hicho kipengele hakisomeki chenyewe, kinaenda pamoja na kipengele 25. Kipengele hicho kinahusiana na witness "who is required to attend," not just any old Joe. Statutory construction hazisomeki kama tafsiri ya kitabu cha tamthiliya.

duh.. hapa hata sijaribu kuelimisha. Basi nimekubali maana kama mtu haelewi summons na subpoena kati ya sheria za Kiingereza na Kimarekani basi tuna kazi.

Sawa: Mahakama zetu katika kesi za madai hazina uwezo wa kumuita shaidi au ushahidi kama kwa uamuzi wake au kwa kuomba na pande yoyote katika kesi usiku.

Sawa:
Washtakiwa katika kesi za madai hawana haki ya kuwaita mashahidi wa watakao kutetea upande na hawawezi kufanya hivyo kwa sababu Jaji atawashangaa.

Sawa:
Katika kesi za madai za Tanzania mshtakiwa hana haki ya kuita mashahidi na mahakama haiwezi kulazimisha mashahidi hao kuja mahakamani.

Nimekubali sijui sheria kwa sababu nasoma kama novel!! Nimekubali kushindwa handedly.
 
Hii ni habari njema sana

Huu nio muda muafaka, Tunacho takiwa kutambua ni kwamba hii si kesi ya Mengi na mafisadi, ni kesi yetu wote walala hoi wa Tanzania juu ya mafisadi ambao wamekuwa wakitufisadi watanzania wote na kutufanya tuishi maisha ya shida kiasi hiki.

Wito: kwa wana sheria wote, huu ndio muda wa kuonyesha uzalendo na mapenzi kwa nchi yenu, unganeni na kushikama kuhakikisha hawa mafisadi wanapata iliyo stahiki yao.

Wahadhiri wa sheria pote na hasa mlimani, hapa ndo muda wa kuonyesha usomi wenu, kumbukeni hicho kimshahara mnachopata cha namba ya viatu kiini chake ni kwamba mafisadi wamesabbaisha uchumi wa nchi yetu uishie mifukoni mwao. Muungeni mkono mzalendo Mengi, kwa bure.. kwa kuchangia elimu yenu mliyo jaliwa kuhakikisha sheria inafuata mkondo wake, na ufisadi unakomeshwa.

Mahakimu:
Kumbukeni nanyi ni watanzania, shida zetu ni zenu, ama ndugu zenu, msikubali katu kupindisha sheria kwa kupewa tumakombo na hawa mafisadi. Fateni haki ili ujambazi huu ukomeshwe. hamuhitaji kufanya kazi ya ziada zaidi ya kuwa waungwana kwa kukataa kupokea chochote na kusimamia haki.

kama wote tukishiriki kwa moyo mmoja, nina uhakika, hizi kesi zitatusaidia kupata kile tulicho kihitaji.

Iteni wote wenye ushahidi, Yupo kamanda wetu Dr Slaa, yote yakitendewa haki, ukombozi wa Tanzania utakuwa umekamilika.

MUNGU WABARIKI WATANZANIA, WAPE ROHO YA UZALENDO, KILA MTU KWA NAFASI YAKE ASIKUBALI KUNUNULIWA ILI HAKI YETU IRUDI NA TUFURAHIE ASALI NA MAZIWA YA NCHI YETU TANZANIA ULIYO TUJALIA.

Watu wengine bwana.....................
 
duh.. hapa hata sijaribu kuelimisha. Basi nimekubali maana kama mtu haelewi summons na subpoena kati ya sheria za Kiingereza na Kimarekani basi tuna kazi.

Sawa: Mahakama zetu katika kesi za madai hazina uwezo wa kumuita shaidi au ushahidi kama kwa uamuzi wake au kwa kuomba na pande yoyote katika kesi usiku.

Sawa:
Washtakiwa katika kesi za madai hawana haki ya kuwaita mashahidi wa watakao kutetea upande na hawawezi kufanya hivyo kwa sababu Jaji atawashangaa.

Sawa:
Katika kesi za madai za Tanzania mshtakiwa hana haki ya kuita mashahidi na mahakama haiwezi kulazimisha mashahidi hao kuja mahakamani.

Nimekubali sijui sheria kwa sababu nasoma kama novel!! Nimekubali kushindwa handedly.
Mzee Mwanakijiji,

Na wewe kwa upotoshaji kweli umekubuhu, ukija pewa nafasi sitashangaa nikiona unakuwa worse kuliko hata hao akina Rweyemamu. Katika mjadala wote huu sijaona mahali popote palipokufanya uje na conclusion kama hiyo unless kama lengo ni ku SPIN.

Kama nilivyosema mimi sio mwanasheria ila nimeona cases nyingi tu ambazo mashahidi wanaotakiwa na upande mmoja au mwingine hawafiki mahakamani na case inaendelea.

Mfano juzi tu hapa case ya prof. Mahalu ambayo mashahidi mbalimbali wa serikali wameshindwa kwenda mahakani na hakimu akaamua case iendelee.

Angalia pia Milosovic naye alitaka mashahidi kibao lakini akaambiwa wao sio relevant kwenye cases husika.

Mimi nakumbuka hata wakati wa case ile ya wale waliotaka kumpindua Nyerere, mashahidi wengi ambao waliomba waje mahakamani, hawakwenda.

Sasa nitashangaa kweli kwenye case ya madai kama utaweza kumuita mtu yeyote unayemtaka bila kuonyesha sababu za msingi za kuwepo kwake. Kwa mfano ili uweze kusema Manji ndiye alirudisha pesa za Kagoda lazima uwe na ushahidi kuonyesha hivyo, ushahidi ambao umepatikana kwa njia halali. Hapo ni bank iliyopokea au wale waliokuwa wanapokea hizo pesa, vinginevyo mahakama itakataa kumwita shahidi huyo.

Case ya mafisadi ingekuwa na maana kama Mengi na wengine tunaopinga mafisadi ndio tungeifungua case na sio vinginevyo. Kwasasa kazi kubwa ya kuhakikisha madai ya ufisadi iko kwa Mengi na wala sio kwa hao mafisadi.

Pia Mengi ni wrong person kupigana hii vita ya ufisadi kwasababu ni rahisi sana kuonyesha kwamba kwa njia moja ama nyingine kuna ugomvi na wahusika hasa Manji. Huo ugomvi wao binafsi whether ni kwenye biashara au huko Yanga, sio tu unawagawa watu bali pia unashusha uzito wa case.

Hawa mafisadi ilitakiwa wafikishwe mahakamani na watu ambao wako clean kwenye suala zima.

Ninakuwa na wasiwasi kweli na hawa watu wanaowashauri viongozi wetu au wafanyabiashara maarufu. Huenda kwasababu hao viongozi wetu hawaambiliki au washauri wetu ni opportunists na wanaangalia boss anataka nini kisha kwenda na wazo kama hilo. Mshauri ambaye ni huru angeweza kabisa kumwambia Mengi timing sio nzuri.

Vinginevyo hata mimi nasubiri hiyo case. Tatizo tu Mengi akishindwa tayari atakuwa ameua case nzima na hawa mafisadi na itakuwa ngumu sana kwa mtu mwingine kuwavaa.
 
Back
Top Bottom