hivi Yusufu Manji kumtaka Mengi amlipe fidia ya shiling 1 ni dharau au? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi Yusufu Manji kumtaka Mengi amlipe fidia ya shiling 1 ni dharau au?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zamlock, Jan 18, 2011.

 1. z

  zamlock JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  nimeshangazwa sana na huyu muhindi kumtaka mengi amlipe fidia ya sh moja na kumtangaza kwa kumuomba radhi mara saba kwenye tv yake kwa kweli usicheze na ubabe wa pesa
   
 2. f

  furahaeliud Member

  #2
  Jan 18, 2011
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka hao wana ugomvi wa biashara ila manji iko pesa
   
 3. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,498
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  duh!
   
 4. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Siyo yake kaiba kwa waTZ. kodi yako mkuu inaongea hapo.
   
 5. father

  father Member

  #5
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hujawahi kusikia wabunge wakitishia kuondoa shilingi kwenye mshahara wa waziri asipojibu hoja vizuri !
   
Loading...