Yupo wapi Spika Mstaafu, Job Ndugai?

Napinga kumwita spika mstaafu, neno mstaafu lina maana yake na lina heshima zake, wapo wanaostahili kupewa heshima hizo, siyo hata wahuni wanaitwa wastaafu, watafutieni jina lao linaloendana na matendo yao
 
Lakini kura yake ni kati ya zile 376 zilizopigwa.. Lakini tukiachana na hilo katika hali ya kawaida hata wewe usingeweza kuonekana mitaa hiyo
Kura yake ni Kati ya zile 376.
Tunajua kabisa kwamba hakuwepo bungeni.
Ni mangapi tunadanganywa toka bungeni?
Ndio maana bunge LIVE mtaishia la Kenya.
 
Hivi kufukuzwa ni kustaafu?
 
Napinga kumwita spika mstaafu, neno mstaafu lina maana yake na lina heshima zake, wapo wanaostahili kupewa heshima hizo, siyo hata wahuni wanaitwa wastaafu, watafutieni jina lao linaloendana na matendo yao
Hicho ni kiswahili rasmi cha mtu anaeachia mjukumu fulani, sasa kama unaona sio sahihi jaribu kutunga lako.
 
Hicho ni kiswahili rasmi cha mtu anaeachia mjukumu fulani, sasa kama unaona sio sahihi jaribu kutunga lako.
Amefika mwishoni mwa majukumu yake katika muda aliopangiwa kuitumikia nafasi husika, huyu angeitwa mstaafu 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…