Nimefurahi kuwa Ndugai amekuwa pia mwathirika wa hii Katiba Mbovu.Nchi hii ukiwaza tofauti tu na Rais wake. Umekwisha.
Katiba hii ya Tanganyika siyo kabisa.
Nawaza wenzetu Kenya [emoji1139] Rais anawaza kivyake na makamu kivyake. Lakini hata mende hawafi !!
Atakuwa ndani anajuta waliomshawishi aseme kuhusu mkopo wamemtelekeza.Hata simu zake watakuwa hawapokei.Katika hali ya kushangaza ambayo si utamaduni wa Watanzania pale inapotokea tendo la kuapishwa kwa mtu anayechukua nafasi katika uongozi wa Umma, mtamgulizi / watangulizi wake kama wapo hai uhudhuria na hata kupiga nae picha ya pamoja...
Kama anahudhuria, sidhani kama ma-cameraman wangeacha kumuonyesha.Ngoja waje... tutajua tu kama yupo au lah!!
Kwa jinsi CCM walivyokuwa mafundi wa maigizo, wanaweza kuandaa tukio la kumpokea Bungeni kwa shangwe na vigelele lengo likiwa ni kumtia nguvu, kumuondolea aibu na pia kujaribu kuhadaa umma kwa Ndugai hana kinyongo na kwamba CCM wote wako pamoja katika hili.Mbunge wa Kongwa ni mtoro bungeni.
Ubunge angeupiga chini tu!Mbunge wa Kongwa ni mtoro bungeni.
Kula huo mshahara na kukabiliana kisaikolojia na yalimtokea ni vitu viwili tofauti.Ndugai hata akifukuzwa ubunge, ataendelea kula mshahara 80% wa Tulia na ma spika wengine kibao watakaofuata pamoja na marupurupu kibao.
Tuachane na wanasiasa, tufanye maisha ndugu zangu .!
Kuna wakati unaweza kuwa na pesa na kila kitu ila huna raha tuNdugai hata akifukuzwa ubunge, ataendelea kula mshahara 80% wa Tulia na ma spika wengine kibao watakaofuata pamoja na marupurupu kibao.
Tuachane na wanasiasa, tufanye maisha ndugu zangu .!
Kweli kabisa kodi zetu zitaendelea kumlishaNdugai hata akifukuzwa ubunge, ataendelea kula mshahara 80% wa Tulia na ma spika wengine kibao watakaofuata pamoja na marupurupu kibao.
Tuachane na wanasiasa, tufanye maisha ndugu zangu .!
Nasema hivi kile kijamaa sijui kama kitahudhuria bungeni!!hata kama ni mimi bora na ubunge wao , wauchukue tu, kwani tayari ni spika mstaafu, ana shida gani?Hivi tangu Bunge limeanza hiyo jana kama sikosie, Ndugai ameonekana Bungeni kushiriki vikao vya Bunge...
Ndo unavyowadanganya ivo apo kijijini kwenu?Ndugai bado haamini posho na marupurupu yamemtoka hana access tena
Taharuki ya nini? Aweza kuwa na sababu binafsi tu kama Wabunge wengine ambao pia hawakuwepo. Taharuki ingekuwepo kama angekuwa bado ni Spika na haonikani Bungeni bila taarifa kwa Umma.Katika hali ya sintofahamu ambayo imezua taharuki mitaani ni kutoonekana kwenye viwanja vya Bunge siku ya leo kwa Ndugu Job Ndugai. Wanaharakati wa haki za binadamu tunahoji wapi mmemficha Job Augustino Ndugai?