Kafulia muda.Nakumbuka miaka hiyo Aggrey Marealle nilikuwa namuona sana kwenye media akiwa mkurugenzi wa mawasiliano wa kampuni ya TBL. Yupo wapi siku hizi huyu ndugu kwa anayefahamu.
Kafulia?! Nakumbuka alioa mdada alikuwa miss wakati huoKafulia muda.
Hatari sana. Familia kuwa na mtu wa hiviMdogo wao siku alirudi toka Italy,aisee party ile balaa tukakesha pale.
Dogo mwenyewe kumbe mchele mchele ,
Kijana,vijana walimalizana nae huko juu.
Mi nilishatambaa
Ni tabu sana watu wana hela vile litoto limoja linachafua taswira yoote dakika tu.Hatari sana. Familia kuwa na mtu wa hivi
Nadhani ndio huyo, jina lake aliitwa Kibo Marealle.Ni tabu sana watu wana hela vile litoto limoja linachafua taswira yoote dakika tu.
Yule alijulikana baadae sijui km ndo yeye kafa.
Yule aliyesoma Old Moshi enzi hizo?Mdogo wao siku alirudi toka Italy,aisee party ile balaa tukakesha pale.
Dogo mwenyewe kumbe mchele mchele ,
Kijana,vijana walimalizana nae huko juu.
Mi nilishatambaa
Sijui alisoma wapi,kulikua na party tu kwao pale pembeni ubalozi US.Yule aliyesoma Old Moshi enzi hizo?
Ni mtu maarufuAnamchango gani kwanza kwa Taifa? Tuanzie hapo.
Hatari sana.Sijui alisoma wapi,kulikua na party tu kwao pale pembeni ubalozi US.
Dah tunaambiwa kuna mgeni ndio karudi toka masomoni Italy,
Du alikuwa kavunjwa kiuno kabisa niliona picha yake tena baada km miaka 15 kajikaza kidogo.
Na uzee sasa,sijui km ndo yeye kafariki
Ndio aliko?Nenda Kili Marathon Moshi.. watakwambia
Umaarufu pekee hautoshi kutumalizia nguvu Watz kuhangaika kujua yupo wapi.Ni mtu maarufu
Ndio aliko?
Ningekuwa najua ningeuliza mkuu?Itakuwa haumfahamu vizuri....
Ulipiga wee, mmmh, Lol.Mdogo wao siku alirudi toka Italy,aisee party ile balaa tukakesha pale.
Dogo mwenyewe kumbe mchele mchele ,
Kijana,vijana walimalizana nae huko juu.
Mi nilishatambaa