Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

Hata kama ameshinda alichofanya ni kitendo cha kifedhuli sana. Kwa mtu mzima kuachia ubunge ili uombe tena ubunge ni kitu cha ajabu. Kwangu isingekuwa tabu sana kama angeachia halafu akaacha wengine wagombee. Nawaza kwamba huenda nchi yangu inapoteza mwelekeo kupitia wapenda sifa kama hawa, wasio Na huruma Na fedha ya wanyonge. That's ridiculous!! Iweje kweli ufanye hayo. Shame on you!!

Kwahiyo kilichokuuma ni yeye kugombea tena!

Hata kama ameshinda alichofanya ni kitendo cha kifedhuli sana. Kwa mtu mzima kuachia ubunge ili uombe tena ubunge ni kitu cha ajabu. Kwangu isingekuwa tabu sana kama angeachia halafu akaacha wengine wagombee. Nawaza kwamba huenda nchi yangu inapoteza mwelekeo kupitia wapenda sifa kama hawa, wasio Na huruma Na fedha ya wanyonge. That's ridiculous!! Iweje kweli ufanye hayo. Shame on you!!
Huyu mgonjwa hakuacha kwa kupenda bali ni muendelezo uleule wa LUMUMBA kununua.

Mtulia yupo bukheri hamsa wa ishirini musidanganyane bure hakuna cha halbadiri na mtulia atakula kiapo cha kuwa Mbunge tena tarehe 3/4/2018 saa tatu na dakika 15 fuatilia runinga siku hiyo mm sio shabiki wa mtulia lkn binadamu uwongo wengine hausidii chochote jamii yetu
Kanyeulale

[quote uid=426498 name="Mwifwa" post=26220469]JF huwa haiangushi kwa taarifa mbalimbali.
Muda ukifika hizi kauli zitakuwa wazi kwa watu wote.[/QUOTE][quote uid=6357 name="Safari_ni_Safari" post=26241241]Breaking news!

Mbunge mteule kinondono Abdallah Mtulia hali yake mahututi.

Kaka yake amesema mdogo wake huyo amepatwa na ugonjwa Wa kupooza mwili na kuzimia zimia hovyo.

Hivyo wameamua kumrudisha kesho DSM muhimbili kwa matibabu zaidi wakitokea rufiji.

Chama chake cha mapinduzi hawataki habari zijulikane lakini sasa tumeona mficha ugonjwa kifo kinamuumbua sasa sisi tumeamua kuweka hadharani.

Taarifa hizi zimetolewa na Mussa Mtulia kaka yake mbunge huyo[/QUOTE]Tulichokisema kwenye huu uzi kule mwanzoni sasa kimetimia

Breaking news!

Mbunge mteule kinondono Abdallah Mtulia hali yake mahututi.

Kaka yake amesema mdogo wake huyo amepatwa na ugonjwa Wa kupooza mwili na kuzimia zimia hovyo.

Hivyo wameamua kumrudisha kesho DSM muhimbili kwa matibabu zaidi wakitokea rufiji.

Chama chake cha mapinduzi hawataki habari zijulikane lakini sasa tumeona mficha ugonjwa kifo kinamuumbua sasa sisi tumeamua kuweka hadharani.

Taarifa hizi zimetolewa na Mussa Mtulia kaka yake mbunge huyo
Magonjwa Mtambuka
Chabruma
MBITIYAZA
Ruttashobolwa
stroke Lizaboni cocochanel Pascal Mayalla Ufipa kinondoni
oyoooo

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app

Back
Top Bottom