Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

Sasa hivi mambo ni fire fire,hata Mungu naona atashangaa akupe ubunge alafu ujiuzulu ubunge mwenyewe alafu uje ugombee tena.Mungu adhiakiwi chochote apandacho mtu atavuna.Nalipa direct and indirect tax mtu ajiamulie kujiuzulu kodi zetu zitumike kufanya uchaguzi mwingine Law of Karma itakutafuna.
 
Yuko kwao Rufiji...wamemficha ...sasa hivi mtulia siyo yule anayemjua sahiv analia peke yake mda mwingine wanamkuta anacheka peke yake ...kaenda kupewa matambiko kwao rufiji.
Na Anatokwa damu ktk haja kubwa!...Mungu ni kuogopa aisee
 
Mtulia yupo bukheri hamsa wa ishirini musidanganyane bure hakuna cha halbadiri na mtulia atakula kiapo cha kuwa Mbunge tena tarehe 3/4/2018 saa tatu na dakika 15 fuatilia runinga siku hiyo mm sio shabiki wa mtulia lkn binadamu uwongo wengine hausidii chochote jamii yetu

Ahahahahaaa.Ndugu yake Bwana Mussa Mtulia amesema wanampeleka Muhimbili baada ya kushindwa kuficha maradhi.Wanamtoa Rufiji na kumpeleka Muhimbili.Tafuta habari wewe siyo unapiga kelele tu.
 
ataapishwa tarehe 3 na atamalizia mungu nisaidie!!!!!!!
serikali zote za kidunia ni dhalimu.
 
Breaking news!

Mbunge mteule kinondono Abdallah Mtulia hali yake mahututi.

Kaka yake amesema mdogo wake huyo amepatwa na ugonjwa Wa kupooza mwili na kuzimia zimia hovyo.

Hivyo wameamua kumrudisha kesho DSM muhimbili kwa matibabu zaidi wakitokea rufiji.

Chama chake cha mapinduzi hawataki habari zijulikane lakini sasa tumeona mficha ugonjwa kifo kinamuumbua sasa sisi tumeamua kuweka hadharani.

Taarifa hizi zimetolewa na Mussa Mtulia kaka yake mbunge huyo
 
JF huwa haiangushi kwa taarifa mbalimbali.
Muda ukifika hizi kauli zitakuwa wazi kwa watu wote.
Breaking news!

Mbunge mteule kinondono Abdallah Mtulia hali yake mahututi.

Kaka yake amesema mdogo wake huyo amepatwa na ugonjwa Wa kupooza mwili na kuzimia zimia hovyo.

Hivyo wameamua kumrudisha kesho DSM muhimbili kwa matibabu zaidi wakitokea rufiji.

Chama chake cha mapinduzi hawataki habari zijulikane lakini sasa tumeona mficha ugonjwa kifo kinamuumbua sasa sisi tumeamua kuweka hadharani.

Taarifa hizi zimetolewa na Mussa Mtulia kaka yake mbunge huyo
Tulichokisema kwenye huu uzi kule mwanzoni sasa kimetimia
 
Sasa hivi mambo ni fire fire,hata Mungu naona atashangaa akupe ubunge alafu ujiuzulu ubunge mwenyewe alafu uje ugombee tena.Mungu adhiakiwi chochote apandacho mtu atavuna.Nalipa direct and indirect tax mtu ajiamulie kujiuzulu kodi zetu zitumike kufanya uchaguzi mwingine Law of Karma itakutafuna.
Well said mkuu
 
Breaking news!

Mbunge mteule kinondono Abdallah Mtulia hali yake mahututi.

Kaka yake amesema mdogo wake huyo amepatwa na ugonjwa Wa kupooza mwili na kuzimia zimia hovyo.

Hivyo wameamua kumrudisha kesho DSM muhimbili kwa matibabu zaidi wakitokea rufiji.

Chama chake cha mapinduzi hawataki habari zijulikane lakini sasa tumeona mficha ugonjwa kifo kinamuumbua sasa sisi tumeamua kuweka hadharani.

Taarifa hizi zimetolewa na Mussa Mtulia kaka yake mbunge huyo
Haaa!.......inawezekana wale wabunge 8 wa viti maalumu waliotumbuliwa wakarejeshwa fasta?.....duu ndumba nini?
 
Back
Top Bottom