Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,886
Namkumbuka huyu Jamaa Mama yake alikua na hela nyingi za Madini nafikiri. Kunawakati alitembea na demu wa mtu. Akalipiziwa kisasi kwa kufanywa nyuma vibaya sana. Mama yake akampeleka Nairobi kutibiwa. Sizani kama alirudi tena Arusha kwa muda mrefu maana Picha nyingi za tukio zilienea A-town.
yupo Chugga mkuu........tunakutana nae mara nyingi sema hana mabawa tena......