Yupo wapi huyu Bilionea wa kiarusha, Elisante?

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sio mwarusha mkuu ni mtu wa mbeya, enzi hizo wanasubiri visichana vya Arusha meru/arusha sec wanatoka shuleni jioni saa kumi, basi jamaa wanaungurumisha ma pikipiku uhuru road, ilimradi tu ilikua vurugu kubwa
 
Elisante wa makeke alikuwa bwana mdogo sana ni kwenye teenage years (unazungumzia mwanafunzi wa sekondari ambae hakuwa amefika ata form 4 alipoanza kuwika) na fujo zenyewe Arusha labda zilikuwa zinawatesa vijana tu, hakuna mtu mwenye hela yake ya maana aliekuwa akiangaika nae.

Dar alikuwa akipelekwa na mshikaji wake wa Ilboru ‘Yusuph Amour’ kuna pikipiki zilipekwa kwa ajili ya polisi Zanzibar dogo akafanikiwa kuchomoa mbili wakafanyia fujo sana ndio kiini cha umaarufu wa Elisante na mpunga wa baba alipofariki alikuwa katoka kuuza mawe Dar business partner akuchukua ata shillingi hela yote akapelekewa dogo.

Makeke yaliisha baada ya kuwatorosha watoto wa weruweru wanaenda disco Arusha wakapata ajali na kuuwa mabinti; after that Elisante grew ata 20 years alikuwa ajafikisha akatulia.
 
Duuh walikufa wangapi??? Kesi iliishaje??

Aisee kwa hiyo Alisante kwa sasa atakuwa anamrudishia Mungu sifa na utukufu kwa kuwa aliyemla kiboga kadondoka na ndege? Hujafa hujaumbika!!! Aise kutafutiwa genge la wahuni wakakubakua yaani inauma sana. Hakika yule tajiri yetu wa Dar kule Mbezi hakuweza kuvumilia kuliwa kiboga na genge na ndiyo maana aliamua kujimaliza. Namsifu Elisante hakufanya maamuzi ya kufa bali alimrudia Mungu na kuokoka.
"Yule tajiri wetu wa Dar, Mbezi hakuweza kuvumilia kuliwa kiboga na genge akajimaliza". NI NANI HUYU?
 
Elisante wa makeke alikuwa bwana mdogo sana ni kwenye teenage years (unazungumzia mwanafunzi wa sekondari ambae hakuwa amefika ata form 4 alipoanza kuwika) na fujo zenyewe Arusha labda zilikuwa zinawatesa vijana tu, hakuna mtu mwenye hela yake ya maana aliekuwa akiangaika nae.

Dar alikuwa akipelekwa na mshikaji wake wa Ilboru ‘Yusuph Amour’ kuna pikipiki zilipekwa kwa ajili ya polisi Zanzibar dogo akafanikiwa kuchomoa mbili wakafanyia fujo sana ndio kiini cha umaarufu wa Elisante na mpunga wa baba alipofariki alikuwa katoka kuuza mawe Dar business partner akuchukua ata shillingi hela yote akapelekewa dogo.

Makeke yaliisha baada ya kuwatorosha watoto wa weruweru wanaenda disco Arusha wakapata ajali na kuuwa mabinti; after that Elisante grew ata 20 years alikuwa ajafikisha akatulia.

Wewe lazima wa kunyumba......jmosi njoo basi kwa mromboo tumenye mbavu za mbuzi........
 
Back
Top Bottom