Maoni: Yaitishwe maandamano nchi nzima ili tuambiwe yupo wapi Nchimbi.

Maoni: Yaitishwe maandamano nchi nzima ili tuambiwe yupo wapi Nchimbi.

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,715
Reaction score
10,230
Kwa mujibu wa katiba ya JMT alikuwa kiongozi wa pili baada ya raisi baada ya rais wa JMT.
Yupo wapi? Yupo hai au amekwisha toweka kama Polepole?

Taifa zima liitishe maandamano ili kujua yupo wapi?

Hii nchi sio mali ya wanaCCM mtandao.
 
Kikombe kikifurika hawa wanaocheza michezo hii hatari watajijua.
 
Muulizeni ndugu yake yumo bungeni. Inamaana jf nzima hakuna ambaye ana access na ndugu zake?
 
Kwa mujibu wa katiba ya JMT alikuwa kiongozi wa pili baada ya raisi baada ya rais wa JMT.
Yupo wapi? Yupo hai au amekwisha toweka kama Polepole?

Taifa zima liitishe maandamano ili kujua yupo wapi?

Hii nchi sio mali ya wanaCCM mtandao.
Kila mtu ashinde mechi zake, Sisi Wananchi wa kawaida hatuandamani Maana hatunaa tunachopata huko serikalini
 
Back
Top Bottom