Yupo wapi huyu Bilionea wa kiarusha, Elisante?

Yupo wapi huyu Bilionea wa kiarusha, Elisante?

Nilikua nisichangie kitu ila nomeona Tambo zenu ambazo hamna kitu kwani nawajua mlivyo,,hao Mabilionea wenu wa kutoa ofa za nyama nimekaa SDuA na kusoma IAA pale Njiro miaka3 lakini Sijawahi kusikia jina la Baby Sambeke,Mawalla sijui Elisante zaidi ya kuwasoma kwenye JF..Wakiambiwa watoke wenye ndege Baby Sambeke atatoka na yeye? Ndege ya kumwagilia dawa ya wadudu shambani ile ambayo hata kujioonyoosha tu ndani tabu.

Upatikani wa Mali zenu ni UjanjaUjanja hadi uue mtu km huyo Marehem bora hata Elisante alirithi ila alivyokuwa na kichwa ufutio Mali ya Urithi anakula bata,,Huyo Elisante hata kwa Omary Bakheresa hamfikii.
 
Jomba cheki pande hii:

...niliingia Giraffe hotel kwenye semina kama riprizenta kutoka A town!! arifu si kila nikiamka hotelini naacha matip kwenye room kudadeki waacha wahudumu wagombanie room yangu!!!! kama kawa baada ya semina mi natinga kwenye kaunta pale chini kuburuwarisim nikitoka mwendo wa matip...arifu kumbe kulikuwa na kambi ya mamisi wa Lundega pale..mwanangu zali si wahudumu wakazipiga kavukavu kugombania room yangu .....wakanihamishia upande wa wing ya mamiss....arifu...niliwaguguda!!!!

arifu siwalizani blackamerikana kwa kupagawa na matip kumbe nilikopi na kupesti masifa ya Arusha ukichanganya na yale mapigo yetu ya pamba juu mpaka chini used subaru.....

Jomba asikuambie mtu wakituuzi zaidi hawa wabana pua tunakwenda kununua mtaa huko huko kwao!!!!

ha hahaaaaaaaaaaa huu ndio ushamba wenu watoto wa kiarusha yani unajisifia kumla wema sepetu?!!!!hiyo ni taka taka kaka,mtu wa mjini akimchukua demu kama huyo wala hataki watu wajue,cuz hana mpango,ndio mamiss wa lundenga tunavyowaona mjini,najua huko kwenu nje ya mji ni big deal but not here in darisalama,hii lazima mkubali watoto wa kiarusha,hata marekani kuna NEWYORKERS,UK kuna waingereza lakini wapo LONDONERS,na bongo mpo wazalendo wa tanzania lakini tupo wadarisalama,inabidi mjikubali tu machizi,mkataa kwao mtumwa.
 
Hakusimamisha mziki ili aimbe,alisimamisha mziki ili afungue champaign,acha uongo.

Uliza kina Kinje na Omari Kimbau watakwambia habari zake.

kumbe na wewe ni wa arusha!sasa nimeanza kuelewa kwanini chadema inaonekana ina nguvu sana humu jf,kumbe memberz wengi ni waarusha wenye asili ya kilimanjaro ambao wamejikuta arusha kama wakimbizi wa njaa kali za kilimanjaro
 
Hivi tangu lini kilimanjaro ikawa na njaa unayoisemea? Je ushawahi kuona mtanzania mkimbizi ndani ya nchi yake tz? Tofautisha uhamiaji na ukimbizi,na je una uhakika members wanaoisupport chadema wanatoka hii mikoa miwili tu? Huoni wa mikoa mingine eeeh! Au wajitia upofu? Acha kufunika kichwa kwenye mchanga ukidhani umejificha,magamba hampendwi tena sana,mtaishia kufungua i.d kibao ili mpambane lakini wapi! Nenda lumumba upate chako maana nimeona kazi ulofanya kila sehemu propaganda! Daah huchagui hata jukwaa!

kapimwe akili kilimanjaro kuna njaa toka lini??
 
.....weeeeeeee wachakabisa..huyo sio taka taka kama unamawe nenda kajaribu....
 
kumbe na wewe ni wa arusha!sasa nimeanza kuelewa kwanini chadema inaonekana ina nguvu sana humu jf,kumbe memberz wengi ni waarusha wenye asili ya kilimanjaro ambao wamejikuta arusha kama wakimbizi wa njaa kali za kilimanjaro

...njooo usimame Mrina tukutambue....
 
Hakusimamisha mziki ili aimbe,alisimamisha mziki ili afungue champaign,acha uongo.

Uliza kina Kinje na Omari Kimbau watakwambia habari zake.

nimuulize mtu kitu nilichoshuhudia?kimbau mimi ataniambia nini enzi hizo mimi nasumbua anasoma KIMBWELU anavaa suruali pana kama sketi!
 
nimuulize mtu kitu nilichoshuhudia?kimbau mimi ataniambia nini enzi hizo mimi nasumbua anasoma KIMBWELU anavaa suruali pana kama sketi!
Hao kina Kimbau si ndo walikuwa macelebrity wenu hapo bongo?Na Kinje,halafu bado sijui kuna kina "ndama mtoto wa ng'ombe"

Samahani hata hivyo sina muda wa kudisscuss watu,nina shughuli zangu.
 
sina uhakika unaelewa unachokisema au unatania. Wale watu wanapesa bwana! Pesa kutoka mgodini huko haina uchungu wa kuitumia. Na ninachowapendea wanapeleka watoto wao the best schools the money can talk!

besides tambo zisizo na maana mi nachokiona ni kuwa arusha town na miji mingine tanzania ni miji mdogo, kwahio mtu akiwa na hela nyingi ni lazima ajulikane, tofauti na dar ni mji mkubwa wale wanaojulikana ni baadhi tu, ila wapo wenye nazo wengi..... Kimtazamo tu sidhani kama idadi ya wanaosoma best schools arusha inazidi dar mazee tuongee ukweli....
 
besides tambo zisizo na maana mi nachokiona ni kuwa arusha town na miji mingine tanzania ni miji mdogo, kwahio mtu akiwa na hela nyingi ni lazima ajulikane, tofauti na dar ni mji mkubwa wale wanaojulikana ni baadhi tu, ila wapo wenye nazo wengi..... Kimtazamo tu sidhani kama idadi ya
wanaosoma best schools arusha inazidi dar mazee tuongee ukweli....

Arusha, watoto wa matajiri wengi wanasoma katika best schools in South Africa, Ulaya na Marekani, tena kuanzia primary schools.
 
arusha, watoto wa matajiri wengi wanasoma katika best schools in south africa, ulaya na marekani, tena kuanzia primary schools.

ok mazee i got u... Ila hakuna statistics ya kuonyesha haya tusemayo..... So poa.
 
watoto kuingia JF imeharibu kabisa.. wanashindwa hata kufanya utafiti mdogo... DAR ES SALAAM wenye hela ni wenyeji wa Dar? Na Arusha wenye hela ni wenyeji wa ARUSHA? wewe kitoto ambaye baba yako ni mtumishi wa umma leo ameamishiwa Dar au Arusha unajiita wa hapo.. Kesho akipelekwa Nkasi?
 
Hivi tangu lini kilimanjaro ikawa na njaa unayoisemea? Je ushawahi kuona mtanzania mkimbizi ndani ya nchi yake tz? Tofautisha uhamiaji na ukimbizi,na je una uhakika members wanaoisupport chadema wanatoka hii mikoa miwili tu? Huoni wa mikoa mingine eeeh! Au wajitia upofu? Acha kufunika kichwa kwenye mchanga ukidhani umejificha,magamba hampendwi tena sana,mtaishia kufungua i.d kibao ili mpambane lakini wapi! Nenda lumumba upate chako maana nimeona kazi ulofanya kila sehemu propaganda! Daah huchagui hata jukwaa!

Inawezekana ccm inaonekana haipendwi humu jf sawa,nikupe benefit of doubt kwa hilo,lakini swali je jf ina members wangapi?ukishapata jibu la swali hilo,upime kama kura za hao members zinatosha hata kuchagua diwani?acheni kuichukulia michango ya members wa jf kama ndio sampling nzuri ya kuonyesha kwamba cdm inakubalika sana,ndio mana matokeo yakija huwa mnalialia humu tume tume,hakuna cha tume ni kwamba cdm ina safu nyembamba ya wapiga kura,nazungumzia wale royal voters sio wale wanaoweza kugeuzwa usiku wa kuamkia uchaguzi.CHADEMA inahitaji kuwatengeneza royal voters wake kama cuf ilivyofanikiwa eneo la pemba,hata uwajenge lami mpaka mlangoni wao na cuf cuf na wao
 
Hao kina Kimbau si ndo walikuwa macelebrity wenu hapo bongo?Na Kinje,halafu bado sijui kuna kina "ndama mtoto wa ng'ombe"

Samahani hata hivyo sina muda wa kudisscuss watu,nina shughuli zangu.

ndama nae unamtaja hapa,kweli wewe umekuja mjini mkubwa,who is ndama chali angu?tatizo lenu wa mikoani mtu akiimbwa na bendi mnadhani ana hela,ndio wengine huwa wanadhani Hussein macheni ana hela nyingi sana mpaka wanaiga jina lake huko arusha nasikia kuna hussein macheni feki,wakati mngejua konda huyo wa mabasi ya "relwe" zamani alivyo mchovu wala msingesema,kina ndama wale kelele mingi tu na umjini wao ndio unaowafanye muwaogope
 
Back
Top Bottom