Rural Swagga
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,643
- 1,177
Umewajuaje mkuu hao watu,,Au nipigie mstari kale kamsemo "Waswahili wa pemba wanajuana kwa vilemba??"Mkuu msianze kuwataja huku, najua ni akina ANTI BILAL, SIJUI, ANTI PETER,patanuka huku!
Umewajuaje mkuu hao watu,,Au nipigie mstari kale kamsemo "Waswahili wa pemba wanajuana kwa vilemba??"Mkuu msianze kuwataja huku, najua ni akina ANTI BILAL, SIJUI, ANTI PETER,patanuka huku!
We kijana hebu nipatie matokeo yako ya Form 4!! Nina mashaka na weweArusha aka chugga aka R-mawe aka jambakolo Citeee!! Ukisema iyo Citee ukiiitaja vizuri maa-ni-naaa ni lazma vimate mate vitoke na jicho ulitoe kuashiria ugumu! Mimi niko chugga lakini nakwambia amna ndezi anaeza sema kitu yeooote apa ya eti anatokea Dar na anajitia janjaroo! Watu tumevunga tu tunawasoma nyendo zenu zakitoto lakni sisi ndo ma Top kila kitu! Amna kitu tunashindwa fanya nyie mnachokiona kwenu ni kwere kiasi cha kuona watu wengine mapimbi atwezi jua wala kufanya,tunaeza kila kitu especially ubabillon waina yeyote ile mapimbi nyie,atusubirii kutafuniwa sisi wenyewe nikila kitu
Sent from my BlackBerry Z10 using JamiiForums
hahahaaaaa unashangaaa nini sasa, nakutumia voucha sasa hivi ili uamini
we m'bwang umeshaingia town basi unadanganya tuuu.....vocha ikwapi?
aise namkumbuka miaka iyo alitamba balaa
jf kwa umbea ptuuuuuu nimewavulia nguo khaaaa
Kwanza baby sambeke yupi ?ni yule alikuaga pale moshi akifanya vitendo vya kishamba kuchukua wanawake kinguvu na ujinga mwingine wa kuendesha magari kwa fujo mjini?ndio huyu ambae kaangusha ndege,alijifunzia wapi kuendesha ndege huyu
Mkuu salama?
Duh avatar yako inanisisimua mwili kila nikiiona, kama unaweza badilisha mmmmh.............................!
kimbweeeeeeeee.....
Hahhahaaaa mie ndio Bwanga ja Town, nilikutumia voucher naona imerudi kwangu, nakutumia kwa email sasa ivi.....wene mndee iwee hahahaaaa leo kama ijumaaa vile
ahahahahahahahahaahahaaaaaaaaa_Preta mimi bado sijajua kutafuta hizo pesa,..anyway_ukipata naomba unigawie au nifundishe kuzitafuta..!
waaaapii......kwangu leo ni jumatatu!!! mkoloni amenikaba balaaaaaaaa
Twende zetu Korogwe kweney milima ya Usambara tuikalime Bangi imeshahalalilshwa Bungeni, inalipa sana ujue
Kimji cha Arusha kina mambo,wenyewe wajiona wajanja kumbe mafala tu lol
una trekta la kilimo kwanza?!?!?
Kweli kabisa dar ni kimyakimya,ndio maana hata huwezi kuskia vijibendi vikiwatajataja ma tycoon wa dar mara Papa musofe,ndama mutoto ya ngombe ooh aisha madinda watu wenyewe sanasana wanamiliki viji prado,sasa hiyo timu yoote ya wajanja wa dar haijazi kiwiko cha Babu sambeke,mwenye vindege viwili tu,hivi shirima naye yupo kwenye list ya matajiri wa dar?hao wajanja wa dar ujanja wao kudhulumu wajane vijishamba. Sana mnabebwa na wahindi na waarabu,wenyeji wa dar ni wajinga kupindukia na ndio maana kina mangi wanakuja huko kuzichota na kuja kujenga migombani.mnajisifia magorofa nyie wenyewe mnaishi kwenye vibanda?uzuri wa kaskazini ni kuwa wenyeji wameweza kumiliki uchumi kwa asilimia kubwa mno,na senti zao zinazunguka humohumo mitaani,bakhresa anaweza kuzungusha round ya bia kwa walalahoi?Umenisoma vizuri. Haya majitu Bhana, washamba sana. Mara kawamaliza watoto wa mawenzi, mara alisababisha nani na nani wa weruweru wafe. Sasa hizi ni sifa au akili finyu. Madada zao ndio usiseme, wanajifanya wapo kipesa zaidi. Ila kwa sisi wa Dar awajaribu sababu still washamba wapo kilometa 2000 nyuma, wanawaweza hao hao mapimbi wenzao
Watu tupo na pesa zetu za kutosha. Familia zetu ndio zinazo fahamu.
naona una guarantee card ya maisha wewechifu, sisi watu wa mwanza hatuna maneno mengi aisee. Sasa sifa zetu zinapatikana katika kutunisha akaunti zetu za benki tu.
Hivi hujasikia sisi watu wa mwanza ni kawaida kudeposit mfululizo miaka 10 bila ya kuwithdraw? Tunafanya sana hivyo; siku tukienda kutoa, hadi tunatunukiwa zawadi na benki!!!
Njoo ushuhudie watu wa mwanza tunavyofanya mambo ya kutisha kimyakimya....utakimbia.
Ni ukweli husiopingika mafogo wa arusha wana sifa za kishamba.
Hapana Flora........Elisante hajafa......labda unamsemea Baraka ambae alikuwa rafiki yake ndio alikufa.....