Yuko wapi Komandoo Salmin Amour?

Tunaomba picha ya mama salma
 
 
Malipo ni hapa hapa duniani
 
Inasadikiwa elimu ys Dkt.Salmini ninkidato cha 4 tu.Je alipandaje pandaje mpaka kuingia IKuRU?
unachanganya kati ya Dr Salim na Dr Salmeen

Dr Salmeen Amour ana PhD ya Ujerumani akiipata akiwa na miaka 30

amehudumu Wizara kubwa kubwa tangu enzi za Baba wa Taifa

miaka ya mwisho ya Utawala wa Baba wa Taifa alikiwa ndie Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi
 
Dr Salim alishawahi kuwa Waziri Mkuu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…