OkYes,
chukua hiyo itakusaidia sana aise ndugu mdau wa heshma JF š
š©Na je,
Mkapuchini Jude Thaddeus Ruawa'ichi O.F.M.Cap, Archbishop of Tanzania in Dar Es Salaam Diocese, yu hali gani kisiasa kwa sasa?
Au amerudishwa madhabahuni kwa lazima na katekista J. Lodovick?
Na je,
water melon wa kanisa katoliki Tanzania, Wolfgang Pisa, O.F.M Cap, Bishop of Lindi Diocese, na Rais wa TEC, bado anaandikiwa cha kusoma kwenye vyombo vya habari na Fr.Kitima binafsi, eti kwa niaba ya TEC?
Au mapigo ya walei Lucy Michael na mwalimu wa dini makini sana, katekista Joseph Ludivick wamewapiga knockout ya kisiasa mbele ya madhabahu?
Au changamoto zimeisha Tanzania? Kwanini wameufyata mkia kwa mwendo wa ngiri, mashahidi hao muhimu sana ikiwa kutakua na kesi ICC?š
Mungu Ibariki Tanzania
Elewa...watu wasipopiga kelele hata mawe yatazungumza!Na je,

nini kimefanya waufyate mkia?Elewa...watu wasipopiga kelele hata mawe yatazungumza!
Baki na misemo yako cheap "No sense"
Mauaji yaliyofanywa na Ccm hayawezi kufutwa kwa maneno mepesi...
Iwe leo hata miaka 100 ijayo..lazma ukweli woooote uwekwe waz na hukumu zitoke hata kama watakuwa wamekufa!
USijichomoe betri watu wana yao mioyoni!
Waulize Marekani....Na je,
Mkapuchini Jude Thaddeus Ruawa'ichi O.F.M.Cap, Archbishop of Tanzania in Dar Es Salaam Diocese, yu hali gani kisiasa kwa sasa?
Au amerudishwa madhabahuni kwa lazima na katekista J. Lodovick?
Na je,
water melon wa kanisa katoliki Tanzania, Wolfgang Pisa, O.F.M Cap, Bishop of Lindi Diocese, na Rais wa TEC, bado anaandikiwa cha kusoma kwenye vyombo vya habari na Fr.Kitima binafsi, eti kwa niaba ya TEC?
Au mapigo ya walei Lucy Michael na mwalimu wa dini makini sana, katekista Joseph Ludivick wamewapiga knockout ya kisiasa mbele ya madhabahu?
Au changamoto zimeisha Tanzania? Kwanini wameufyata mkia kwa mwendo wa ngiri, mashahidi hao muhimu sana ikiwa kutakua na kesi ICC?š
Mungu Ibariki Tanzania
gentleman,We linafiki sana.
Mke na watoto wako wamepata hasara ya ww eti kuwa mme na baba wa watu.
Wakiongoea unachonga kimdomo wakikaa kimya napo unawashwq
sio nguvu kubwa zaidi ya walei, ndio iliwashinda viongozi hao wa kanisa katoliki dhidi ya mipango yao ovu ya kutaka kukiingiza chama fulani cha siasa kanisani humo?šMaslahi ya kanisa yaliguswa,na baada ya kelele na matamko mengi serikali waliufyata.
lakini gentleman,bora wanyamaze ,maana wakiongea mtu badal ya kujibu hoja anasema anashambuliwa kwa sababu ya dini yake,sasa sijui dini yake ndo imemtuma afanye anayolalamikiwa?...very low yaani
Acha chokochoko na uchokozi wewe mtoto.Na je,
Mkapuchini Jude Thaddeus Ruawa'ichi O.F.M.Cap, Archbishop of Tanzania in Dar Es Salaam Diocese, yu hali gani kisiasa kwa sasa?
Au amerudishwa madhabahuni kwa lazima na katekista J. Lodovick?
Na je,
water melon wa kanisa katoliki Tanzania, Wolfgang Pisa, O.F.M Cap, Bishop of Lindi Diocese, na Rais wa TEC, bado anaandikiwa cha kusoma kwenye vyombo vya habari na Fr.Kitima binafsi, eti kwa niaba ya TEC?
Au mapigo ya walei Lucy Michael na mwalimu wa dini makini sana, katekista Joseph Ludivick wamewapiga knockout ya kisiasa mbele ya madhabahu?
Au changamoto zimeisha Tanzania? Kwanini wameufyata mkia kwa mwendo wa ngiri, mashahidi hao muhimu sana ikiwa kutakua na kesi ICC?š
Mungu Ibariki Tanzania
mambo ya chama fulani hayo siyafahamu! Unaweza kuthibitisha madai yako?sio nguvu kubwa zaidi ya walei, ndio iliwashinda viongozi hao wa kanisa katoliki dhidi ya mipango yao ovu ya kutaka kukiingiza chama fulani cha siasa kanisani humo?
Mkuu Tila, Tlaatlaah with due respect bila kuingilia uhuru wako wa maoni kwa mujibu wa ibara ya 18 ya katiba, tuwe na heshima kwa viongozi wote wa dini zote kwa kuwa adress proper wanavyoitwa, mfano Sheikh Mkuu anaitwa Mufti, viongozi wa Katoliki wana titles zao, Papa, Kardinali, Askofu Mkuu, Askofu, Paroko, Padri etc, hii ya kuanza kumtaja kwa shirika lake Mkapuchini, bila kutanguliza Askofu Mkuu, Jude Thaddeus Ruawa'ichi O.F.M.Cap, Archbishop of Tanzania in Dar Es Salaam Diocese sio kumtendea haki!.Mkapuchini Jude Thaddeus Ruawa'ichi O.F.M.Cap, Archbishop of Tanzania in Dar Es Salaam Diocese
water melon wa kanisa katoliki Tanzania, Wolfgang Pisa, O.F.M Cap, Bishop of Lindi Diocese, na Rais wa TEC,
Mungu Ibariki Tanzania