Yuko wapi Fr. Charles Hugo Kitima, BSc, MSc. Phd Katibu Mkuu wa TEC?

Yuko wapi Fr. Charles Hugo Kitima, BSc, MSc. Phd Katibu Mkuu wa TEC?

lakini gentleman,
ni wazi kwenye suala la udini ni kama kuna kaukweli fulani hivi, hasa ukilinganisha na mazonge zonge ya tawala zilizopita na hawa majamaa yalikuwepo kimya yametulia tuli, yanatazama tu alie wa dini yao akifanya yake mbele yao šŸ’.
Magufuli alisemwa na Wakatoliki wenzie,vp hatukuona huo udini?
 
Magufuli alisemwa na Wakatoliki wenzie,vp hatukuona huo udini?
si kweli,
unapotosha ukweli na wadau wa Jf kwa ujumla.

hayupo mtu, taasisi au chama cha siasa nchi hii kiliethubutu au kuwashwawashwa kuinua mdomo wala kumnyooshea kidole mkono wa chuma hayati Dr.J.P. Magufuli gentleman šŸ’
 
Na je,
Mkapuchini Jude Thaddeus Ruawa'ichi O.F.M.Cap, Archbishop of Tanzania in Dar Es Salaam Diocese, yu hali gani kisiasa kwa sasa?
Au amerudishwa madhabahuni kwa lazima na katekista J. Lodovick?

Na je,
water melon wa kanisa katoliki Tanzania, Wolfgang Pisa, O.F.M Cap, Bishop of Lindi Diocese, na Rais wa TEC, bado anaandikiwa cha kusoma kwenye vyombo vya habari na Fr.Kitima binafsi, eti kwa niaba ya TEC?

Au mapigo ya walei Lucy Michael na mwalimu wa dini makini sana, katekista Joseph Ludivick wamewapiga knockout ya kisiasa mbele ya madhabahu?

Au changamoto zimeisha Tanzania? Kwanini wameufyata mkia kwa mwendo wa ngiri, mashahidi hao muhimu sana ikiwa kutakua na kesi ICC?šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
Acha ujinga tuachie kanisa letu, nonsense woman . wakatholiki wamekukosea nini?
 
si kweli,
unapotosha ukweli na wadau wa Jf kwa ujumla.

hayupo mtu, taasisi au chama cha siasa nchi hii kiliethubutu au kuwashwawashwa kuinua mdomo wala kumnyooshea kidole mkono wa chuma hayati Dr.J.P. Magufuli gentleman šŸ’
Akili yako siyo sawa. Una matatizo kichwani
 
zile nyaraka hukuona?,au wewe ndo mpotoshaji pro...nyie bakini na imani kwamba mkikosolewa ni kwa sababu ya dini yenu...kwa hiyo dini inaruhsu watu watekwe?..kama hivyo ni sawa
 
Huchoki kuandika upuuzi huku ukitumia neno "gentleman" ukidhani ndio utaonekana mstaarabu.

Very stupid.

Hawa jamaa hawababaishwi na hizi taarabu zako.
 
Acha ujinga tuachie kanisa letu, nonsense woman . wakatholiki wamekukosea nini?
sina haja na mlei yeyote yule ndani ya kanisa hilo, ispokua hao mashetani wa madhabahuni na mashahidi wa uongo niliowataja hapo juu.

haustahili kubeba gharama ya matendo na maneno yao maovu kwa mgongo wa kanisa

just relax na usonge mbele na Imani yako ambayo sio muhimu au tatizo kwangu gentleman šŸ’
 
Akili yako siyo sawa. Una matatizo kichwani
mwenye akili sawa mbona una mihemko tu na uko pointless?

huna changamoto ya kiafya akilini kweli gentleman?
muerevu gani sasa yupo na mihemko nonsense kama wewe sasa kwa mfano?

huna point, halafu unajipiga kifua kwamba una akili?🤣
 
Tlaatlaah unatumika vibaya, hata kama unafaidika na huu utawala LAKINI zingatia kuwa heshima nikitu cha msingi ,

kanisa lina uhuru WA kutoa maoni yake kupitia Kwa viongozi WA kanisa kama Dr Kitima .
Hivi kama WA Tanzania wanatekwa na kuuwawa kanisa likae kimya kweli? Viongozi wakanisa katholiki ni wasomi wanauwrzo wakujenga hoja ndicho kinacho kuuma gentle woman , umwewazoea viongozi wadini mbumbu na mchawa wenye njaa wanahidhuukia vikao vya kulipwa posho hongo. Ila Kwa wakatholiki mmekwama.

Bahati mbaya Mimi SI mwanasisa ila kwenye dhehebu langu nitakujibu Kwa vyoyote vile acha dharau
 
kwanini nithibitishe mambo maovu obvious ndugu mdau? sidhani kama kuna sababu ya maana hata moja ya kufanya hivyo. Acha imtafune mwenyewe dhambi hiyo dhalimu na ya udhalilishaji,

by the way,
nimetoa ushauri mujarabu bure kabisa kwa wadau wote wa JF kua careful dhidi ya uovu unaojificha kwenye wema now days,

ikiwa sio muhimu, try careless na itapendeza zaidi ndugu mdau šŸ’
Unaitaje neno maovu wakati nanyi mnafanya?
Wewe ni manipulator ni mnafiki
 
Tlaatlaah unatumika vibaya, hata kama unafaidika na huu utawala LAKINI zingatia kuwa heshima nikitu cha msingi ,

kanisa lina uhuru WA kutoa maoni yake kupitia Kwa viongozi WA kanisa kama Dr Kitima .
Hivi kama WA Tanzania wanatekwa na kuuwawa kanisa likae kimya kweli? Viongozi wakanisa katholiki ni wasomi wanauwrzo wakujenga hoja ndicho kinacho kuuma gentle woman , umwewazoea viongozi wadini mbumbu na mchawa wenye njaa wanahidhuukia vikao vya kulipwa posho hongo. Ila Kwa wakatholiki mmekwama.

Bahati mbaya Mimi SI mwanasisa ila kwenye dhehebu langu nitakujibu Kwa vyoyote vile acha dharau
Gentleman,
kwani wewe kua ndani ya JF huru, kuunga mkono hoja, kushauri, kutoa hoja au kupinga hoja ni kwamba unatumika?

na ikiwa kanisa lina uhuru wa kutoa maoni yake, Je, na mimi binafsi sina haki ya kufanya hivyo?
na huo usomi wa viongozi wa kanisa katoliki au usomi wako binafsi au wa mdau mwigine yoyote yule wa JF, una nihusu nini mimi?

nadhani mengine ni porojo nonsense ambazo sidhani kama kuna mtua anaweza kubabaika nazo au kupoteza muda wake kuzieleza.

hata hivyo,
si haja na dhehebu lako na wala mihemko yako useless. Ni muhimu zaidi kujikita kwenye hoja mahususi mezani bial kuweweseka :NoGodNo:
 
Huchoki kuandika upuuzi huku ukitumia neno "gentleman" ukidhani ndio utaonekana mstaarabu.

Very stupid.

Hawa jamaa hawababaishwi na hizi taarabu zako.
tuliza mihemko nonsense jukwaani gentleman, hasa ukiwa pointless :NoGodNo:
 
Unaitaje neno maovu wakati nanyi mnafanya?
Wewe ni manipulator ni mnafiki
nilimuona Baba Mtakatifu Leo akiwa Hispania,
alikeamea sana viongozi wa dini wachochezi lakini pia mapadre na maaskofu wenye mapepo ya ngono wanaoendekeza ulawiti na dhuluma za kingono kwa vijana wa kike na kiume ndani ya makanisa ya kikatoliki.

hawa wa hapa Tanzania ni wachochezi wa kisiasa na washiriki dhuluma za kingono kisiri na kujivika utakatifu feki madhabahuni :NoGodNo:
 
Hakuna mtu mchochezi, kwanini viongozi wa dini wakikemea rushwa, ufisadi, utekaji nyie mnaiita uchochezi? Thats why nakwambia wewe ni mnafiki , kuna waovu kule juu hawataki uovu wao uonekane uovu , wanajificha kwenye kivuli cha kuita uchochezi, hakuna atakae keti upande Mungu kama ambavyo mnaamini ikiwa nanyi hamkemei maovu.
 
Hakuna mtu mchochezi, kwanini viongozi wa dini wakikemea rushwa, ufisadi, utekaji nyie mnaiita uchochezi?
kwanini wakemee?
kwanini wasiwafundishe watoto wawe waamini na raia wema baadae na badala yake wanaishia kuwafundisha ngono tu?

huoni kama kanisa linafundisha ujinga, halafu baadae linakuja kinafiki eti kukemea ujinga lililowafundisha waamini wake tangu wakiwa watoto?

kiongozi wa kanisa unamdhulumu mtoto kingono halafu unatarajia awe kuingozi muaminifu na mtakatifu?

hiyo ni nonsense kabisa gentleman :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom