Yuko wapi Balozi Emmanuel Nchimbi?

Yuko wapi Balozi Emmanuel Nchimbi?

"Wakimalizana na sisi , watakuja kwenu" -Tundu Lissu, 2017

HQeCvWeWIAAqML3.jpg
 
Linaweza kuwa swali la kijinga sana lakini lililobeba tafakuri kubwa
Ukimya na kutoonekana kwake hadharani kumezua sintofahamu kubwa inayotoa mwanya wa speculations za kila aina

Kwamba yuko house arrest
Kwamba yuko mahali salama
Kwamba kapokonywa simu zake zote na kuzuiwa kuonana na yeyote
Kwamba keshakimbia nchi na ataibuka siku si nyingi..!

Je kama alishajiandaa siku nyingi na kwenda mafichoni kabla hajaachia hiyo barua na sasa yuko anausoma mchezo na hizi taharuki?

Ama je kama walimuwahi kabla hajawawahi itakuwaje?
Kimsingi ni kwamba haya yote hayatokei kwa bahati mbaya yamepangwa ili kutoa nafasi tupelekwe chaka tusifuatili mengine maana TAL ndio leo anahitimisha ushahidi wake ..
Yote juu ya yote hii ngoma bado mbichi sana na mbuzi wa kafara wanaweza wasihesabike
Halijaisha hill ..!View attachment 3658089
EN ameshika nafasi kubwa kitaifa, nadhani amejipa muda na kutulia, sioni kibaya chochoye watamfanya...
 
Back
Top Bottom