Yuko wapi Balozi Emmanuel Nchimbi?

Yuko wapi Balozi Emmanuel Nchimbi?

Mwambie Lisu kuwa amepta wa kumliwaza kule rumande, naye ni Nchimbi.
Lissu anampelekea moto yule wakili wa majambazi si mchezo
1787832920555.jpg
 
Linaweza kuwa swali la kijinga sana lakini lililobeba tafakuri kubwa
Ukimya na kutoonekana kwake hadharani kumezua sintofahamu kubwa inayotoa mwanya wa speculations za kila aina

Kwamba yuko house arrest
Kwamba yuko mahali salama
Kwamba kapokonywa simu zake zote na kuzuiwa kuonana na yeyote
Kwamba keshakimbia nchi na ataibuka siku si nyingi..!

Je kama alishajiandaa siku nyingi na kwenda mafichoni kabla hajaachia hiyo barua na sasa yuko anausoma mchezo na hizi taharuki?

Ama je kama walimuwahi kabla hajawawahi itakuwaje?
Kimsingi ni kwamba haya yote hayatokei kwa bahati mbaya yamepangwa ili kutoa nafasi tupelekwe chaka tusifuatili mengine maana TAL ndio leo anahitimisha ushahidi wake ..
Yote juu ya yote hii ngoma bado mbichi sana na mbuzi wa kafara wanaweza wasihesabike
Halijaisha hill ..!View attachment 3658089

View: https://vt.tiktok.com/ZSVgAGRQT/
 
BTW bado ni Makamu wa Rais hadi tar 4 September, lazima pia afanye handle over tena public ione makabidhiano. Kuna vimitego naviona kwenye hii issue nzima!
Huwezi kuwa Makamu wa Rais bila kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa.
 
Back
Top Bottom