Arushaone
Platinum Member
- Mar 31, 2012
- 15,237
- 13,567
Last edited by a moderator:
ZAWADI AMEPATA MAMA TERRY ATUPE TU DIRECTION ILA JAMAN MAMA TERRY KUMBE UNA WANAUME WENGI..KWNINI USIBAKI NA NYANI NGABU WAKO NA ANAKUPENDA...cc NYANI NGABUangelita hongera mamii mpaka hapo ulipofika,mimi na my hubby Nyani Ngabu tunakuombea heri zote kwako. charty hebu njoo na ile zawadi huku
Cc Kaunga
Ujumbe: umbea hauna posho ila hapa najihami
ulikuwa wapi usiku wote ule?
hahahaa both kaunga na nyumba kubwa wako happy sharing
ila wanajiuliza kama unataka join the family too
weee nawe unapenda mitara ndo maana nilishtuka mapema...shikamoo the boss
Hahahaa both Kaunga na nyumba kubwa wako happy sharing
ila wanajiuliza kama unataka join the family too
Wewe uoga wako
hujiulizi wanawake wa kweli kama nyumba kubwa na Kaunga wote kwangu?
huoni kuna kitu special wanakipata?
Anakaribishwa ila kama ana wivu atadai talaka ndani ya wiki...kama wenzie walojaribu...mie moyo wangu mbishi...till death babe....Hahahaa both Kaunga na nyumba kubwa wako happy sharing
ila wanajiuliza kama unataka join the family too
Wewe uoga wako
hujiulizi wanawake wa kweli kama nyumba kubwa na Kaunga wote kwangu?
huoni kuna kitu special wanakipata?
BORA NILIOGOPA MAPEMA...MAANA UNGENIUA KWA PRESHA NA HUU WIVU UNLIMITED..!!NAJUA UNA MAMBO MENGI HADIMU NILIYATAMANI KUYAPATA ILA NDO HIVYO WENYE VISU VIKAL cc nyumba kubwa na kaunga ndo waliishia kula nyama..EID NITAKUTAFUTA HIVYOO TUONGEE HATA KIDOGO:A S-rose:
are you you? The wife of someone here!!?
Watch out, tutaondoka na hiyo miguu..