You are so special! Hongera sana

You are so special! Hongera sana

Amen!! mimi na Mke wangu shansarie..

Tukiungana na marafiki zetu wote!!

Mtoto halali na hela, Mr Rocky na mkewe Dena Amsi..

Arushaone na mkewe Lady doctor..

'Valentina' na waume zake wote..

Mentor na mkewe mwallu

Eli79 na michepuko yake yote mtoe everlenk na cute b na atoto hawa walimgomea.. usimtoe prado!!

Khantwe yule anayekaribia kuzeeka

janeth1 na mumewe Mwanyasi!!

Kibo10 na charty.. ni wengi sana aisee

Japo watakuja wenyewe lakini,

niseme!! Tunakutakia maisha marefu...



Heaven on Earth uko wapi utoe pambio, si ushafuturu!?


Kwanza cute b ni ex shemeji, mwingine hapo anajikomba tu ila nishambwaga zamani...mwingine nilikuwa naringishia tu...huyo mwingine aaaah, she's my orange, my onion, my love..teh!
 
Last edited by a moderator:
Kwanza cute b ni ex shemeji, mwingine hapo anajikomba tu ila nishambwaga zamani...mwingine nilikuwa naringishia tu...huyo mwingine aaaah, she's my orange, my onion, my love..teh!

Hahahaaaaa!! Eli79 hebu weka ujumbe wako bayana, wataje tu kama ulivyomtaja huyo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom