You are so special! Hongera sana

You are so special! Hongera sana

Hahahaaaa!! Bora umenitoa aiseee!
Ila mie na mume wangu kipenzi wa mkataba wax (mpaka pale Manga ML atakaporudi kutoka macca) tunamtakia heri ya kuzaliwa,
Shemdarling Kaizer ukuje na mkeo DEMBA na michepuko yako yote.

Yaani baby umenifanya mm spear tyre au Manga ML ni mchepuko wako
 
Last edited by a moderator:
Waoh!! Kati ya jambo nililofurahia leo basi ni hili..
angelita, rafiki yetu kufikisha miaka kadhaa!!
Ni jambo la kumshukuru sana Mungu haswaa kwenye Ulinzi wake mpaka hapo ulipofikia, Msichana mrembo kama wewe kuweza kuepuka vishawishi hatari vya Ulimwengu huu ni jambo kubwa na yakupasa umshukuru MUNGU.

angelita my friend,
On this special day, i wish
you all the very best, all the joy
you can ever have and may you be
blessed abundantly today,
tomorrow and the days to come!
May you have a fantastic Life
and many more to come... HAPPY
BIRTHDAY!!!!

Cc: lara 1, nyumba kubwa...
and my wife shansarie!!


Sijaelewa why my babe nyumba kubwa umem cc hapo...
 
Last edited by a moderator:
Baby kwani we umeelewaje?

Nmehofia @manga kama ni mchepuko si unajua abiria chunga mzigo wako lazma niwe na wasi wasi baby

Wala hakuna tulikuwa tunaitwa tukale cake, sema we nawe sijui ulikuwa wapi umechelewa.

Naamini uneniwakilisha vema tu mwili mmoja ukila ww nmekula mm pia don't worry my dear
 
Naamini uneniwakilisha vema tu mwili mmoja ukila ww nmekula mm pia don't worry my dear

Okey honey, cake ilikuwa tamu hiyo.
Haya hebu njoo tulale, we hujui msimu wa baridi huu alafu hujarudi hadi sahivi!!!
 
Okey honey, cake ilikuwa tamu hiyo.
Haya hebu njoo tulale, we hujui msimu wa baridi huu alafu hujarudi hadi sahivi!!!

Nsharudi home mama watoto wangu baridi inanitesa sana my dear I wish ungekuwepo hapa ni singetetemeka ivi
 
Happy Birthday Angelita..May the Lord's Face keep shines up on You in Jesus name.. Amen.. Thanks..
 
Back
Top Bottom