You are not my type

You are not my type

We wajuaje mi si type yako ilihali hatujawahi kuwa katikz uhusiano before!? Nipe chance tuwe wapenzi kisha ndio utapata jua kuwa sio type yako au la!
Hivi mtu kumjua ni lazima uwe naye kwenye mahusiano? Mimi hata nikichat na mtu kwa maandishi najua huyu ni zile aina za watu ninapenda au la
 
Hilo jibu inabidi liwe moyoni tu kwamba huyu mtu hana vigezo hitajika, ila unamtafutia jibu lingine lolote ambalo hatoumia kuliskia, tena ukimpata kaka amejipindia ukamjibu hivo, atakushushua hadharani mpk ujute, utaskia "wewe Dada mwenyewe unahadhi gani wewe na pua yako kubwa kama umeweka tonge la ugali, miguu imefanyaje fanyaje dooh, aibuuu
Hahah hapo umkute bro wangu msela kinyama, atakuchana kinoma wala hakurembei. Lazma ujione kinyesi tu hata ukiwa mzuri ka beyonce. Kesho mkikutana unamsalimia kwa adabu kinoma
 
Hahah hapo umkute bro wangu msela kinyama, atakuchana kinoma wala hakurembei. Lazma ujione kinyesi tu hata ukiwa mzuri ka beyonce. Kesho mkikutana unamsalimia kwa adabu kinoma
 
Kwani kuna haja ya kumweleza hayo maneno maisha yanazunguka kuna siku atakuwa type yako huwezi jua maisha haya. Kama humtaki mtu tumia neno la busara achana naye. Kwa mtazamo wangu
Well said ...shikamoo
 
[QUOTE="Khantwe, post: 31334189, member: 114064"
Wanaume na wanawake, let's say umetongoza au unampenda mtu yeye akakujibu 'You are not my type' au ukasikia anamwambia mtu kuwa you are not his/her type utalipokea vipi?
Mimi ninavyojua mtu akisema wewe sio type yake anamaanisha wewe si aina ya mtu ambaye angependa kuwa naye, haimaanishi amekudharau, amekushusha na kukuona una hadhi ya chini kuliko yeye kama wengi tunavyofikiria.
Kwenye mapenzi kila mtu kipo anachopenda iwe ni katika mwonekano au personality kiujumla. Wapo wanaume wanapenda chubby girls, wengine wanapenda English figure, wapo watu wanapenda mtu mchangamfu, anayeweza kufanya acheke muda wote lakini wengine wanapenda makauzu, kuona jino lake mwaka mpya hadi mwaka mpya. Kwa hiyo akikutana na wewe upo kinyume cha hapo ni kwamba wewe si type yake.
Japo si busara kumchana mtu live kuwa 'wewe si type yangu' lakini haina haja ya kukasirika, kuumia na kujenga chuki ukisikia kitu kama hicho. Maana wengine wakiambiwa hivyo wanaanza kuchambua demu mwenyewe miguu yote ya kushoto, sura kama anaramba ndimu anawezaje kutamka maneno kama hayo? Relax, kunywa maji then tafuta wa kufanana na wewe, yupo mahali anakusubiri.
Pengine kilichomfanya Diana asikupende ndio hichohicho kitakachomfanya Mwajuma asilale kwaajili yako.
Thanks
[/QUOTE] inauma sana yaani hata nikikukuta umepungukiwa na nauli au una njaa sikusaidii kwa kweli
 
inauma sana yaani hata nikikukuta umepungukiwa na nauli au una njaa sikusaidii kwa kweli[/QUOTE]Hahaha pole sana mdau
 
Kauli kama hii itamkwe na mtu anayejua kukunja midomo ikasindikizwa na kamsonyo kwa sauti ya juu tena kwenye kadamnasi.

Mzee mzima unajikuta Viatu vimekuwa vikubwa kma tairi za trekta kutembea huwezi tena mdomoni kama umewekewa supa glue

Macho unashindwa utazame juu au chini au umtazame yeye.

Duh inahitaji ujasiri.
Unazuga tu ....then una muambia kwa sauti kuu --- KAMA UMEJAMBA NISIKUAMBIE
 
That's not always the case. Mimi kuna mkaka miaka ya nyuma alikuwaga ananitaka na mimi nilitokea kumzoea na nikampenda vile tu alikuwa lakini sikuweza kuwa naye kwa vile nilikuwa nipo kwenye relationship na mtu mwingine lakini yeye alichukulia nimemkataa kwa vile hana pesa. Sasa hivi yuko vizuri financially na bado anadai ananitaka ila pia siwezi kuwa naye kwa sababu nadhani anataka anikomoe tu. Unaweza kuona ni jinsi gani hizi generalization zinatuumiza
Mpe tu mami! Anakupenda huyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom